Niliwamisi, acheni masihara...........!

zile raba kaazima Ze finest! kasema anataka kumtokea blaki womani lakini wallet hairuhusu! nilimkatia na jero ya togwa. Halaf jamaa nuksi kweli, akiazima spare wiki anakaa nayo mwezi.
Duh....we ndo umepotea njia aisee. Mi nlimwazima soksi (siyo za madaburini), tangu mwaka juzi hajanrudishia....
 
Hahahaha......kwa babuuuuu kuna makao mazuri sanaaaaaa.........kuna makao mazuri sanaaaaa!
Kwa babu ni pazuriiii ndugu tunapokaaa, tukipatana vyemaaa na tukipendanaa,
ODM hebu mwambie Daughter aje na mwenzake!
 
sasa acheni nitoke nje na kidarubini changu kuangalia mwezi! baadae bana fellow tablet aspirin na sweetheart, honeymoon, laaziz, sharbaati, mahbuba, sweetpie, heartbeat wangu Keren Happuch!
 
Babu nimekupigia weeeeeeeeeee mpaka nimechoka,ur tigo 4n is offfffffffffffffffffff,au umeme umekatika kwenye cm?
Orayt.......This one is noted and filed.......

Pearl naomba nipigie.........:hungry:
 
uje umetawadha kabisaa, afu kwani kama idd ni kesho leo tutakula daku?
Na si unajua nilivyo na subira? ............waiting!<br />
<br />
Jibu PM yangu, nshakuelekeza kituo. Hapa wanga wengi............
<br />
<br />
 
Back
Top Bottom