Niliwamisi, acheni masihara...........!

Kunradhi kaka...
Mimi siishi Dar....so huwa naandikia from Kilwa to Dar....
Orayt.......This one is noted and filed.......

ah ah ah lol Babu!Nyagi ukichanganya na pweza cku ya idd,ukaweka na kile cha Arusha kibichiiiiiiiiiiiiiii,teketeke unafika pale mahala alipojificha Ankal Gadafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Pearl naomba nipigie.........:hungry:
 
hivi iddi ni iskukuu ya watoto ama wakubwa? babu,kufunga kwako kuliathiri uchumi wa wengu,welcom back ohh
 
Gademu! huku tripoli vikosi vya gadaffi vimetungua mnara wa zantel basi netiweki ni mbaya sana!
halaf Fellow tablet mwambie Keren Happuch wajanja wameniibia saa yangu ya water proof aisee!
 
ODM hapo kwenye kuandama nipo na wewe, uandame usiandame mi kesho ni IDD tu hata mkoloni analijua hilo. hakuna kitu kibaya ka unapika maandazi ya kesho then unakuta haujaandama! lol
mi kesho ni sikukuu bana!
Mkuu ODM nami nakuambia kamwe hautakua pekee kesho
 
Gademu! huku tripoli vikosi vya gadaffi vimetungua mnara wa zantel basi netiweki ni mbaya sana!
halaf Fellow tablet mwambie Keren Happuch wajanja wameniibia saa yangu ya water proof aisee!
Aisee pole sana fellow tablet.... Naamini raba mtoni zile unazomringishiaga Husninyo ziko salama....

ODM hapo kwenye kuandama nipo na wewe, uandame usiandame mi kesho ni IDD tu hata mkoloni analijua hilo. hakuna kitu kibaya ka unapika maandazi ya kesho then unakuta haujaandama! lol
mi kesho ni sikukuu bana!
Mkuu ODM nami nakuambia kamwe hautakua pekee kesho
Mi nshavuka steji moja zaidi......... Tayari nshauona mwezi..... Kesho mi nnapareee!......Mkoloni analijua hilo, Koo langu nshalitaarifu na hakuna wa kunizuia!
 
Aisee pole sana fellow tablet.... Naamini raba mtoni zile unazomringishiaga Husninyo ziko salama....

zile raba kaazima Ze finest! kasema anataka kumtokea blaki womani lakini wallet hairuhusu! nilimkatia na jero ya togwa. Halaf jamaa nuksi kweli, akiazima spare wiki anakaa nayo mwezi.
 
Back
Top Bottom