Niliwakosa sana jamani

carmel

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,836
262
Kiukweli kwa muda wote uliopita takriban mwezi na ushee umepita bila mi kuonekana hapa, nlikuwa napata shida sana kucope na hali hiyo, niliwamiss wote, kila mmoja kwa namna ya pekee. nashukuru kwa sasa nitapata muda hata japo kidogo niwe hapa. Love you all friends.
 
luv you too dear....uliendaga wapi?...tulikumiss sana.....kwani mlienda na cheusi?...welcome back sweeeerie
 
......Hata mie nilimiss posts zako shosty, hope kimya chako kilikuwa cha heri.:welcome:
 
misn u too dya bt hujasema ulipokuwa........
all in all happy to see u again!!!!!!
 
Kiukweli kwa muda wote uliopita takriban mwezi na ushee umepita bila mi kuonekana hapa, nlikuwa napata shida sana kucope na hali hiyo, niliwamiss wote, kila mmoja kwa namna ya pekee. nashukuru kwa sasa nitapata muda hata japo kidogo niwe hapa. Love you all friends.

Good to read from you Carmel!..one love:)
 
Thank you dears, its like nilienda kutangaza nia nikashikwa na takukuru nikijaribu kupenyeza rupia , so am back ha ha haaaa. I missed everything in here.
 
Its nice to have you back.,...hapa nisisema sana yupo Big Brother Asprin atasema kwa niaba yake.....akisaidiana na "junta' Teamo (sijui kama unamjua) , ambaye tumemrecruit majuzi kutoka kundi la JEM (Justice and Equality Movement).

Pia uangalia nguo zako kuna Acid moja hapa nadhani ni conc H2SO4 so kuwa nayo makini unaweza KUUNGUA.

Mdogo wetu JS anahitaji ushauri pia kwa namna ya pekee. Wageni wengine bado wapo wapo mlangoni utawaona tu kwa mavazi yao!

welcome back Carmel.....we missed you!:A S 8:
 
Hahaha Pole sana yote heri! Welcome back...tulikumiss sana ! Ila topics za infidelity zimeongezeka sana toka upotee....
 
Thank you dears, its like nilienda kutangaza nia nikashikwa na takukuru nikijaribu kupenyeza rupia , so am back ha ha haaaa. I missed everything in here.

Hahahahaha dah pole lakini naamini mmesha yamaliza.
Karibu pole sana na mihangaiko naona infidelity hapa kama kawa zinaendelea.
 
Its nice to have you back.,...hapa nisisema sana yupo Big Brother Asprin atasema kwa niaba yake.....akisaidiana na "junta' Teamo (sijui kama unamjua) , ambaye tumemrecruit majuzi kutoka kundi la JEM (Justice and Equality Movement).

Pia uangalia nguo zako kuna Acid moja hapa nadhani ni conc H2SO4 so kuwa nayo makini unaweza KUUNGUA.

Mdogo wetu JS anahitaji ushauri pia kwa namna ya pekee. Wageni wengine bado wapo wapo mlangoni utawaona tu kwa mavazi yao!

welcome back Carmel.....we missed you!:A S 8:
Namkaribisha tena kwa masikitiko makubwa. Infidelizesheni imepata pigo kubwa kwa kurudi kwake.

Anyway imeandikwa mpende Adui Yako. Karibu tena Carmel, I missed you a lot!:welcome:Back!
 
Karibu mwaya Carmel ulikoswa sana hapa jamvini. umetuletea zawadi?????:becky::becky::becky::becky:
 
Its nice to have you back.,...hapa nisisema sana yupo Big Brother Asprin atasema kwa niaba yake.....akisaidiana na "junta' Teamo (sijui kama unamjua) , ambaye tumemrecruit majuzi kutoka kundi la JEM (Justice and Equality Movement).

Pia uangalia nguo zako kuna Acid moja hapa nadhani ni conc H2SO4 so kuwa nayo makini unaweza KUUNGUA.

Mdogo wetu JS anahitaji ushauri pia kwa namna ya pekee. Wageni wengine bado wapo wapo mlangoni utawaona tu kwa mavazi yao!

welcome back Carmel.....we missed you!:A S 8:
kwa kweli ntakuwa mwangalifu sana na hiyo acid especially. Js ushauri najua kashapata wa kutosha lol.
 
Back
Top Bottom