Nilitukanwa bila kujua kosa langu!

Hussein J Mahenga

JF-Expert Member
Mar 5, 2012
745
633
Nilikuwa na girfrnd tangu nlipoanza kdto cha kwnz n tulkuwa tunapendana sana! Baadaye nlipoingia kdto cha II,nliamua kuhama shule na ilikuwa n nje ya mkoa mwka 2009! Bahati mbaya hakuwa na cmu n hvyo tulkosa mawasiliano kw muda! Ukapita kma mwka mzima n ndpo nliamua kwnd lkzo kumsalimia mama nyumbani! Nilipata bahati tukazungumza naye n tayar alkuwa n cmu sasa! Tangu hapo tukawa n mawasiliano n tukawa tunachat mara kwa mara!

Tuliishi kw furaha sana! Mwka jana mwanzoni kabisa nikapata wasaa kwnda kumsalmia tena mum wakati huo niko kidato cha IV! Nlimpgia cmu kama kawaida n akaniruhusu nikamtembelee home kwao! Nami ckusita nikaenda kwao! Alifurah sana na mm nlifarijika! Kesho yke ilikuwa j4 cku ya shule hvyo nlitembelea pale shuleni tukaongea na marafiki zngu tulikuwa 2nasoma nao!

Wakati ukafika sasa mm kuwaaga mm nrudi shule, lkn ucku huo ilibd tupumzike naye geto vizur kabisa! Asbh nikajiandaa akanisindikiza ndo nikaondoka! Zkapta kama cku nne nikampigia cmu cha ajabu alnitolea matusi ambayo ckuwah kuyapata!

Japo iliniuma,nliamua kumchkulia poa n nikafuta hata namba zke! Nlipomaliza kdto ch IV mwka jana akawa ananpigia cmu na mm sasa ninaye mwngne ambaye tunapendana sana! Jaman wanaJF, mm nifanyaje au nmsaidieje? Naombeni ushaur wenu!
 
*****, jibu unalo inachotaka ni support kufanya maamuzu ya kijinga ya kumrudia.
 
Sir H, Nafikiri kuna mengi hujaeleza hapa ili upata msaada! Husemi alikutukanane wala usemi kama ulimuuliza sababu ya matusi! Wewe sio mkweli! Inaonekana siku hiyo alipolala gheto, wewe ulilala ya underwear hadi asubuhi! Au uzoefu wako ulikuwa chini ya kiwango!
 
Sasa kakuporomoshea matusi bila sababu au alikua na wazimu wakati huo? mbona jibu unalo tayari na jibu ni huyo mwanamke nikiasi chakumwambia bila aibu kua huwezi kuendelea nae sababu uko na mwengine na unampenda sana.
yeye ajipange,au kama unataka kote kote hapo itakula kwako....
 
Back
Top Bottom