Nilitoa....Nimerudisha

Kwa maombi ya wengi nimeamua kuludisha. Na pia kero za Lizzy zmenifanya nirudishe!! Kwa nini nisifanye kitu moyo unapenda? Hilo ni moja.
La pili.......Sifurahishwi na hali ya pale ninapofanya tendo la ndoa, simalizi mpaka nimfikirie mpenzii wangu wa zamani. Inanisumbua hata sijui nifanyeje kwakweli.

Kutoa na kurudisha nini mbona mafumbo wewe Salimia wewe.....................
 
Kwahiyo mmekonkludi kuwa tuliite daraja la kikwete sio hata kama hela tumekopa korea...au?
 
Inaonesha huyo uliyenaye sasa hukumpenda na wala humpendi; bora uachane naye anaye anayemlizisha.
 
Haya, vijino pembe wametia fitna kwa Mods mpaka avatar yangu binafsi imetolewa, kisa **** langu linawakosesha raha vimbaumbau kama Lizzy. Sasa jicho je?? Nalo mtalilalia mlango wazi? mwadhani la kichina unh? Mwanamke jicho bwana! si wengine hapa mimacho imewatoka kodo utadhani chula kabanwa na mlango..........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom