Nilitemwa uspika kwa hila za vigogo-sitta

Hebu toka hapa wewe 6, Vigogo ni nani hao? Wewe ulikuwa kigogo namba 3 ulifanya nini? Haukuua mjadala wa Richmond kiaina? Kapumzike bana
 
Jamaa zake wamempa fupa sasa anapiga kelele za nini?
Ndiyo matunda ya kuvaa sare za kijani,kwa manjano. Yakikushinda tupa manyanga chini. Adhabu yako ni hiyo ya kupewa fupa.

Ng’ang’ana fupa lako, wacha fujo. Hukuelewa kuwa wanakutia mfukoni?
Wanasema “Tumikia……………upate mradi wako!” There you go!
 
lo que puedo decir es seis es un luchador de verdad pero problem suyo es el tiene miedo. Es un cobadre.
 
Mzee Sita hakukataa kuteuliwa uwaziri wa Jumuia,labda anataka kupeleka mapambano akiwa ndani ya Cabinet.

Huwezi kusukuma gari ukiwa ndani, shuruti ushuke ndio ulisukume. Huyu mzee hajui kuwa kilicho mkosesha uspika ni unafiki wake na kutokuwa na msimamo. Hakuna mtu yeyeto ambaye ameweza kuwa mwanaharakati na akakosa msimamo. Walio mmaliza walijua udhaifu huo ndani yake na wakautumia. Sasa aache blaablaa asubiri kutumwa kazi na afanye akiendelea kupiga domo na huo uwaziri watamtema ndio ajue kuwa kashaisha kisiasa, si dhani kama hili analijua.
 
Back
Top Bottom