Daffi Jr
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 3,825
- 906
Hakika hapo unatakiwa kuwa jasiri na kumweleza ukweli wooote bila kumficha,itaku'cost' endapo mwenyewe atasikia na kuambiwa habari na mwingine,na isitoshe itapunguza upendo wako kwake na kumpa wasiwasi ambao kimsingi unaweza kuuepuka.Just take the step mwambie bila kumficha,vaa moyo uliojaa ujasiri na kujiamini