%Nilishakuwaga na waaangu ila akanitenda ....mimi nabaki nalia na moyo %

Hayo mambo ya kawaida saaaaana! Hiyo imenitokea mara 3. Nitafute nikushauri kabla hujajinyonga maana hakawii, sababu ninaexperience ya kutosha
 
akikutema si ndiyo vizuri?unapata mda wa kutafuta mwingine bombaaa....!!!.mi ningepata wa kuingia nao mkataba angalau wa miezi miwili miwili.unamung'ang'ania mwenzio amekua mbingu?unajifanya mwaminifu kwake yeye anachakachua kama kawa.mi simo.mia
 
Back
Top Bottom