Nilipomwambia nina hamu na yeye tu, akabadili zamu!

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,933
1,294
Nina dem wangu ni nesi,mara zote shift zake zote ananiambia na tulikuwa tunakwenda samba. Hapa kati akaanza kunipa ratiba isoeleweka. Juzi nilipanga kukutana nae eneo letu tulilozowea na nikamsisitiza kuwa nina hamu nae akitoka saa 9 jioni ile kumwambia vile tu toka asubuhi cm yake haikuwa hewani! Mi jioni nikaenda eneo la tukio hola hakuja! Nikampigia cm akasema ndo kaingia shift ya jioni na akadai eti alipitiwa kunijulisha! Nimepanga kumpiga chini ushauri unatakiwa plz!
 
Ralphryder

Labda nianze kwa kuuliza . Mkuu are u upset because u were not informed of the changes,kabla ya kwenda kwenye tukio au with the fact that the shift was changed at all?
If its for the later, then forgive me for saying this maana u like kama mtoto mdogo anaendekeza ukame badala ya ..................................Si utafute wadada poa!!??
 
yaani hiyo ndo sababu sababu ya kumpiga chini? Au humpendi na mwenzio kagundua anatumika tu bila love?
 
mie niko fifty fifty hapa.
Naweza sapoti umbwage, sababu ushasema haeleweki, kwa umpendaye kupeana taarifa huwa kama mko ITV
mwaambizana mambo mengi, ukishaona unaanza kusahaulika 'be eyes'

nikisema usimpige chini, labda kwanza ukae naye mzungumze, ujue nini kinaendelea, umweleze hukuwa happy na yeye kukufungia simu, afu ndo msameheane.
 
Ana kila dalili za dharau na hivyo anastahili kibuti. Piga chini huyo.
 
Ralphryder

Labda nianze kwa kuuliza . Mkuu are u upset because u were not informed of the changes,kabla ya kwenda kwenye tukio au with the fact that the shift was changed at all?
If its for the later, then forgive me for saying this maana u like kama mtoto mdogo anaendekeza ukame badala ya ..................................Si utafute wadada poa!!??

kutonijulisha ni moja ya tatizo ila kajua nampenda ndo kaanza visa! Hakuwahi kufanya hivi ila dalili niliziona karibuni. Madada poa mkuu sijawahi,wanaweza kukuadhiri ktk malipo msipoelewana!
 
ni mara ya ngapi anatenda kosa hilo? au mkuu we ndo tatzo

kosa hili ni mara ya kwanza ila ameanza ujanja ujanja,mara naitwa kwa mjomba mara kikao cha harusi! Mpaka muda mwingine anachelewa kazini!
 
mie niko fifty fifty hapa.
Naweza sapoti umbwage, sababu ushasema haeleweki, kwa umpendaye kupeana taarifa huwa kama mko ITV
mwaambizana mambo mengi, ukishaona unaanza kusahaulika 'be eyes'

nikisema usimpige chini, labda kwanza ukae naye mzungumze, ujue nini kinaendelea, umweleze hukuwa happy na yeye kukufungia simu, afu ndo msameheane.

Asante mkuu.
 
na we mpigie kimya mpaka akutafute kwani we tu ndo unahamu naye? Na asipokutafuta jua hana mpango na wewe!
 
Back
Top Bottom