Nilipigwa bonge la kofi ndotoni Khaaa....

TajiriMutoto

Member
Jun 20, 2012
87
38
Kisa cha kweli kilinitokea miaka ya nyuma huko, aisee siku hiyo nilikuwa nimelala na laaziz wangu, basi ndoto zikanipata nikaanza kumuota darling wangu mwingine, afu tena kwa sauti "Diana, Diana....", kumbe laaziz wangu pembeni hajalala bana, alinipa bonge la kofi
A%20S-confused1.gif
yani nilishtuka usingizini na mkofi afu ndo kesi ikaanza sasa nitoe maelezo ya huyo Diana , Dah ilikuwa si mchezo kivumbi chake mpaka kunakucha nikanuniwa wiki, ila akaja akanisamehe:msela:tukaendelea kula Bata :A S shade:.

Aiseee, nimeikumbuka hii, nikaona niwashirikishe wanajamvi wa Malavidavi, ndoto sometimes sio.
 
Sasa kumbe unaetayari wa kuna nae bata unawatakia nini wanawake wa JF, kama huyo alikupa kofi, wa JF atakata kichwa hicho kikawekwe museum kama cha mkwawa.
 
Hata mi ilishanitokea bahati nzuri nilikuwa kwa kimada baada ya hapo ilini bidi niende kwa doctor kucheki kama na tatizo la sleep talk.
Ila kumbuka Mkuu ile kauli
"A Good liar should have a good Memory"
 
Back
Top Bottom