Nilioa mtoto wa waziri mkuu kutokana na mpira

Mar 6, 2010
74
0
Aliekuwa mchezaji wa simba Abadallah kibaden king ameweka wazi kwenye moja ya gazeti la toleo la leo la mchezo kwamba alipata mke kutkana na mpira,...
akiongea na mwandishi wa habari kibaden anasema walifanikiwa kuifunga timu
ya YANGA magoli 6-0 kipindi akiwa simba baada ya mechi alikutana na mtoto wa aliekuwa waziri mkuu kipindi hicho mh Marehemu RASHID MFAUME KAWAWA mwanae alikuwa mpenzi sana wa mpira na toka tulipoifunga akawa rafiki yangu sana wa kawaida ikiwa simba inacheza alikuwa akinipigia tunakwenda wote anahudhuria mechi...mwisho akaoniweka wazi unajua king nakupenda sana jinsi unavtocheza na mi ni mpenzi mkubwa wa simba kama babangu,..toka hapo tukawa marafiki wa kweli nampaka leo ni mmoja wa wakeZangu tunaendelea kula raha.......king ambae amesema ana nyumba kama tatu hapa dar na gari moja mkoko GX 100 alifurahsha sana....akuishia hapo na kusema ameamua kuomba kugombea kufundisha timu ya taifa...ingawa anasema yeye yuko radhi hata akiwa kama kocha msaidizi lengo lake awe kwenye timu ya taifa...

hongera kibaden nafikiri tenga amesikia
 
Huyu anajisifia wake wengi si kumzalilisha
x-waziri mkuu wetu kawawa??
 
Alipokuwa mchezaji tu akapata wake je akiwa kocha tena wa taifa stars itakuwaje
 
Back
Top Bottom