Nilinyanyaswa na wauguzi wakati wa kujifungua: Salma Kikwete

Huyu mama mae hana jipya kama mzee. Najiuliza maswali hapa. Huko hospitlai alitumia jina gani la ubini? Baada ya kutoka hospitali alichukua hatua gani? Kipi kimeboreshwa hadi leo? Haoni kuficha jina la ospitali analea maradhi? Anamwogopa nani? Kishindwa kujibu maswali hayo aende zake huko
 
Huyu mama mae hana jipya kama mzee. Najiuliza maswali hapa. Huko hospitlai alitumia jina gani la ubini? Baada ya kutoka hospitali alichukua hatua gani? Kipi kimeboreshwa hadi leo? Haoni kuficha jina la ospitali analea maradhi? Anamwogopa nani? Kishindwa kujibu maswali hayo aende zake huko

This's fishy, as the first lady, why not name the name of the hospital??!!!...if she's scared, scared of whaat????!!!!, she's the first lady after all???!!!...na yeye kama mwanamke/ mama mwenye kujua uchungu wa mzazi, this should've been her first priority on her to do list(kama anayo) kusaidia kina mama na Taifa kwa ujumla when she became the first lady. And then all this time kanyamaza while she knows what these women r' facing???!!!.....maaaaaaaaan!'

Ngoja ninyamaze nisije sema vibaya bure kwa wazito.....aaaaaaghhhhhhhhh!
 
Huyu mama mae hana jipya kama mzee. Najiuliza maswali hapa. Huko hospitlai alitumia jina gani la ubini? Baada ya kutoka hospitali alichukua hatua gani? Kipi kimeboreshwa hadi leo? Haoni kuficha jina la ospitali analea maradhi? Anamwogopa nani? Kishindwa kujibu maswali hayo aende zake huko

Tuna Vikwete wachache sana Tanzania kama alitumia Mrs Kikwete/Mama Kikwete au Salma Kikwete lazima watu wangestuka na kujua ni mzito maana wakati huo Kikwete alikuwa kishapitia Wizara nyingi na jina lake lilishakuwa al maarufu sehemu nyingi nchini na hasa Dar, hivyo kusema kwamba alinyanyaswa na kutukanwa kwa kuwa hawakumfahamu yeye ni nani ni usanii tu wa aina yake.
 
hili suala zito sana...............tunatakiwa tujipange taratibu tunapokuwa na wajawazito kwenye familia.

baba mtoto punguza beer japo moja kwa siku na ingiza pesa kwenye account ya uzazi. kwa miezi tisa nafikiri utakuwa na pesa japo kidogo ya emergency kama itatokea.

nasema hivi kwa sababu serikali yetu ni Nembo tu.....haipo pale kutusaidia hata kidogo. ni bora tukakubali ukweli huo mapema kuliko kuvunjwa moyo kila siku
 
huwa nashangaa mtu ana pesa lakini anakimbiza mkewe Ilala au Temeke au anampleleka kijijini kabisa

Kweli mchapa kazi wenyewe wanasema akajifungulie kijijini kwa mama yake ili ampumzike na maswala ya nyumba kisha apikiwe mtori vizuri kwa mama yake, see after 3 months. kumbe ndio wanatafuta matatizo
 
MKE wa Rais Jakaya Kikwete, Mama Salma amesimulia namna wauguzi walivyomnyanyasa wakati akijifungua mtoto wa kwanza.

Salma hakuitaja hospitali hiyo lakini amesema,wauguzi walimlaza sakafuni wakati akisubiri huduma ya madaktari.

Amesema, kuwa alipofika hospitalini hapo,alilazwa chini na kwamba wahudumu walikuwa wakimjibu vibaya kama mtu asiye na thamani.


Alisema kilichomsaidia ni baada ya daktari kumtambua kuwa ni mke wa Waziri Jakaya Kikwete ndipo alipata huduma na lugha nzuri na kuondolewa chini hali ambayo hata hivyo ilimfadhaisha.
Kumbe sie makapuku akina YAKHE ambao hatuna majina ndo tufule kabisa ...watatujaje sasa hata kama tuna vijisenti vyetu uchwara?. Kudadadeki..hakina tuoneane huruma.
 
Hii taarifa kutoka New York Times inaweza kupatia watu picha halisi ya hospitali za Kitanzania. Childbirth in Tanzania - Slide Show - The New York Times

Asante Mchapakazi, hizi picha mimi zimeniacha hoi!
sasa wale kwa wale wa vijijini ambao wanazalia nyumbani kwa sababu hawawezi kufika hospitali, au wanafika kwenye zahanati na kujikuta wanamatatizo yanoyohitaji Cesarian section lakini hakuna huduma ya opesheni matokeo yake ndio haya, Tanzania mojawapo ya nchi zinazoongoza kwa vifo vya uzazi duniani
misaada haitasaidia sana kutatua tatizo kwa sababu inanufaisha wachache, kwa ufumbuzi wa kudumu wa hili tatizo lazima hali ya uchumi kwa ujumla iangaliwe, kama wauguzi watatu na daktari mmoja au bila daktari ndio wana hudumia wanawake zaidi ya 20 wenye uchungu at the same time watakuwaje na muda wa kushughulikia post partum hemorrhage nk. Mishahara ikiwa mizuri na nguvu kazi ya kutosha haya matatizo yatapungua sana, na kule vijijini madktari, registered nurses na watu wengine wote watazidi kupakimbia unless wakulima wakiendelezwa na kuwezeshwa kuendeleza vijiji angalau viwe na hadhi ya kuishi binadamu. otherwise zahanati za vijijini zitabaki hohe hahe bila work force wala resources
 
Jmushi1
If you have been following her activities since her husband took office as the President of this country,you will agree with me that she has tried her best inn Women and children development [especially eduction,early pregnancies, mother and child healthcare issues.
 
Tunapoteza muda kujadili usanii wa huyo First lady, hiyo story ni ya kutunga ila kaiweka katika mambo ambayo yanatokea. Nadhani yuko kazini katika kuhakikisha wanawake wanamwonea huruma mumewe.
 
Kwani huyu mama kipindi chote tangu mumewe achaguliwe kuwa rais amekua akifanya nini???????????
Mnyonge mnyongeni lakini kahaki kake mumpe. Hizi tofauti zetu za siasa zimetufanya kuwa na upofu wa kuona hata mazuri na wanayofanya viongozi wetu eti kwa sababu za kisiasa.

Kwa hiyo.....?
 
Huyu mama mae hana jipya kama mzee. Najiuliza maswali hapa. Huko hospitlai alitumia jina gani la ubini? Baada ya kutoka hospitali alichukua hatua gani? Kipi kimeboreshwa hadi leo? Haoni kuficha jina la ospitali analea maradhi? Anamwogopa nani? Kishindwa kujibu maswali hayo aende zake huko

Tupunguze hasira, huu mwaka wa uchaguzi. Ni lazima watumie fiction katika kuonesha kuwa wapo connected. Sasa akiitaja hiyo hospitali kuwa ni kufikirika mtaiweza kuitembelea. This is politics at its best!
 
Za kuambiwa, changanya na za kwako.......

Hii hadithi haiendani na facts zilizopo.

Mtoto wa kwanza wa Salma na Jakaya ni Khalfani (Mwenyekiti Taifa wa Chipukizi CCM) ambaye alizaliwa 1997 au 1998, wakati Salma akiwa bado mwalimu wa shule ya msingi, na JK akiwa waziri Foreign.

Watu wanaofahamu undani wa kuzaliwa Khalfani na waliokuwa karibu na Salma wanajua mtoto alizaliwa aidha Aga Khan au Hindu Mandal, na siyo hospitali yo yote ya serikali...

Kwa tuishiyo Dar na tunaozifahamu hizi hospitali mbili tunajua kuwa, ukiwa mja mzito na tayari kujifungua:

1. Unakuwa na daktari wako anayefuatilia hali yako
2. Hakuna mgonjwa yo yote wa aina yo yote anayelala chini, au hata kulala wawili kitanda kimoja
3. Hauwezi kwenda tu kama huna appointments, na daktari wako hajulikani, kwa suala kubwa kama hilo

pamoja na hayo, Salma alikuwa na dereva wake na gari ya wizara ambayo ilikuwa inampeleka kila mahali hadi saloon kutengeneza nywele, je iwaje aende kama mtu wa kawaida wakati muhimu zaidi wa kujifungua mtoto wake wa kwanza akiwa mke wa waziri?

JK mwenyewe alisema, za kuambiwa unachanganya na za kwako.........mbayuwayu......

...Dah! sisi wengine sijui tuko dunia gani? definitely, we do not have an ear to the Ground, as James Hadley Chase would have said! Mtoto wa kwanza wa JK na Salma ni Khalfani???:confused3: How about Riz?? na yule Mdada??:rolleyez:
 
Back
Top Bottom