Nilikuwa namhurumia sasa kanigeuka

Nashukuru kwa wote mliochangia, (Ngeleja alikuwa amechukua umeme wake ndo umerudi just now) ukweli hana ujauzito wangu because japo nilinaswa na mtego bila kujua i was careful to use protection and it was just once on that day. Tatizo ni kwamba anaongeza mawasiliano kwa kasi sana ndo nimeamua tuu kupuuzia i dont reply. Kuhusu kusomesha kamwe i will not do in the way she like, coz it seems (japo hajasema) its like she want me to treat her like a wife. So i cant do. Unajua wadau mii nilimheshimu sana kwa miaka yote hiyo kama ningetaka ningeshamla cku nyingi but i knew it could bring problems, but now ukweli nilitegwa na si unajua tena hisia zikishaamka na mazingira yakisharuhusu ndo hivyo tena.
 
hebu naomba mnijuze, cheating inaanzia wapi? kwenye kitendo cha kusaula nguo ama hata hizo hidden meetings na lunch za kumezeana mate?
suala la nyongeza: partner wako akijamiiana na a total stranger (say, kununua ngono) for whatever reason ikiwa ni pamoja na kudanganywa na shetani sijui nini, ama akawa na mtu anashare nae moments nyingi kama dinner etc,akiwa na shida kazini anamuambia wanashauriana na kuambiana nakupenda etc bila kusaula nguo,ar they both termed cheatings?
 
Nashukuru kwa wote mliochangia, (Ngeleja alikuwa amechukua umeme wake ndo umerudi just now) ukweli hana ujauzito wangu because japo nilinaswa na mtego bila kujua i was careful to use protection and it was just once on that day. Tatizo ni kwamba anaongeza mawasiliano kwa kasi sana ndo nimeamua tuu kupuuzia i dont reply. Kuhusu kusomesha kamwe i will not do in the way she like, coz it seems (japo hajasema) its like she want me to treat her like a wife. So i cant do. Unajua wadau mii nilimheshimu sana kwa miaka yote hiyo kama ningetaka ningeshamla cku nyingi but i knew it could bring problems, but now ukweli nilitegwa na si unajua tena hisia zikishaamka na mazingira yakisharuhusu ndo hivyo tena.
check unavyoongea ka vile unatangaza habari njema! Hv huoni aibu? Dont tel me mkeo akigundua uozo huo utakuwa unaongea hv? Aaahg! Unatia hasira....eti ungetakaga ungemla zamani....umaana wa wewe kudelay umekwisha cuz umeshamfunua...iwe kwa mpira au peku,umezini, umegawa penzi la mkeo...repent dude! Ila .......!
 
You can cheat on your spouse... and maybe you will get away with it, but your marriage/relationship will never be the same! This is why you are not to create situations that could lead you to cheat. I never understand these friendships between men and women that do not involve spouses... must be lust. See what that got you....? Kubali akuchune huyo homewrecker... think also atakapokutana na the next "true love" itakuwaje?

I hate the tone ya kujipongeza kwa huo ufuska... shame on you for not keeping your pants up Mr! Sasa hapa tukushauri nini? Frustrating...
 
We mpige p.u.m.b.u then ulale mbele mkuu,ukianza kuiga mapenzi ya tamthilia itakula kwako nd it seems huyo dada ni mjanja sana so anakutega 2 hapo.
 
Hivi ni kweli kuwa hukuugundua huo mtego kwa muda wote huo au na wewe ulikuwa sitaki nataka?

Mimi kama mwanamke nakushauri hivi;
1. Suala la shule kataa katakata..............bora akuone una roho mbaya..............huo ni mtego mwingine kuelekea kwenye commitment......
2. Suala la mahusiano naye sitisha kabisa..................kwa stori yako nadhani wife anamfahamu
3. Kwa stori yako nadhani wife anamfahamu...........kama ndivyo.....mshirikishe kuhusu hatari unayoiona.....ie urafiki kugeuka mapenzi
..........muombe ushauri namna ya kukabiliana na hilo
4. Mweleze ukweli huyo binti kuwa unasitisha kila kitu....................baada ya hapo...............mawasiliano yote yapitie kwa wife(kama wanafahamiana)
5. Acha kusifia kisicho chako..........mkeo ni mzuri sana ndio mana ulimuoa..........mtunze apendeze..................sifa zote za kike mpe yeye
......................boresha mapenzi yako na mkeo.............penye mapungufu .....fanya naye mawasiliano na mrekebishe kwa kusaidiana.
 
Ingawa umeshaonja kaka ila mi nakushauri ujivue "gamba" hujachelewa sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom