Nilikuwa najua leo idd

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
707
Nikaua kitoweo changu bure. Na mwezi haujaandama any way ntafuturu nchana huu hata sisubiri adhana

karibumsosi.jpg
 
mmmh kibudu hicho, mbona sioni shingo kutengana na mwili

Madam nilikula Ban best.

Shingo huwa haitenganishi na mwili ikitengenganishwa na mwili ndio inakuwa kibudu kule kwetu moshi huwa tunaziba mdomo na pua tunapiga kisu kifuani damu yote unaipa tumboni haipotei maana baadae inatakiwa imine kwenye supu inaitwa kisusio. madamu unakuwaje kama sio mchagha?
 
hahaha mbona mnampa majina mengi hivyo? ngoja nitafanya research maeneo ya kimara nijue ashabatizwa majina mangapi

Hebu fanya mitaa hiyo namimi ntafanya kipande ya A town alafu tuje tupia hapa wadau wachangie tujue hii kitu hii chakula ina majina mangapi
 
Back
Top Bottom