Elections 2010 Nilikuwa mkereketwa wa CHADEMA lakini nimejitoa

Zawadi umeolewa? .

Hara hara wandugu jina la ZAwadi linatumika kwa jinsia zote mbili, haliko specified kuidentify gender ya mtu tufauti na majina kama William au Grace au Abdallah abayo ukiyasikia tu huna haja ya kuuliza gender ya mtu>>> Wasiwasi wangu msijekutakiwa kumwomba radhi mwenzenu"...
 
3. Si maarufu Dar wala Dodoma. sijui atakaa ikulu ya wapi.

4. Ndie mbunifu wa mavadhi ya CHADEMA (ishara ya vurugu)

We Zawadi unmatofauti gani na ile Chorus ya ule wimbo wa mchagueni Kikwete sababu kaileta Brazil????
Asante kwa kunihabarisha kuwa ili uingie ikulu ni lazima uwe maarufu Dodoma na Dar
 
Nilipojua Kampeni za Mbowe na comany yake ya Chama kumuandaa Mh Slaa kuwa ndio Mgombea wa urais, nilishtushwa sana. Kwa vile sikuwa na uwezo wa kutengua uchaguzi wao (kwa ukilitimba wao ndani ya chama) niliamua kujitoa.

Mnajua huyu mtu namfahamu, hana uwezo kabisa wa kuongoza nchi hii yenye wakazi zaidi ya watu 35 milioni. Uwezo wake kuongoza jimbo tu, na hivyo alistahili kuwa mbunge mpaka atapostaafu mwenyewe.

Sababu tano zinazomfanya kutofaa kuwa Rais:

1. Ataigawa nchi vibaya sana.

2. Atarudisha nyuma Demokrasia (huyu ni dikiteta no 1)

3. Si maarufu Dar wala Dodoma. sijui atakaa ikulu ya wapi.

4. Ndie mbunifu wa mavadhi ya CHADEMA (ishara ya vurugu)

5. Hana sera yeyote ile ya uchumi.

Hayo ni machache tu lakini udhaifu wake ni mwingi mno.

Ni heri kubaki bila chama kuliko kumpigia debe Mh Slaa. Ndio maana niliamua kukihama chama.
Naipenda hiyo nyekundu hapo juu....you are right in your own right!
Hivi unajua nini? A section of Tanzanians who were on the wrong side of Nyerere's no nonsense iron hand branded the old man a "dictator". And they were bloody right in their own right just like you are now.

Sidhani hawa tunaowaita fisadis sasa na wafuasi wao wangekuwa wanaendelea kutanua mitaani (let alone kwenye majukwaa ya kampeni) enzi za mwalimu....no bloody way!

For so long Tanzanians have been craving for a modern Nyerere, and in Slaa, I can see one.
Una haki ya kuandika ulichoandika lakini warudishie salaam waliokutuma kuwa moto wa kuirudisha nchi hii kwenye misingi aliyoiacha mwalimu umekolezwa kisawasawa hivi ninavyokwambia na tanuru lake litakamilika Oct 31!
 
Kura yako Mpe Dr. Slaa!

Huyu ni mtanzania wa pili baada ya Nyerere kuchukia ufisadi kwa vitendo. Ni mtanzania wa pili kuchukia umaskini wa watanzania kwa vitendo. Ni Dr. Slaa aliyesimama na kutaja majina ya wala rushwa na mafisadi. Akataka wale wanaopinga wampeleke mahakamani. Hakuna aliyethubutu kujitokeza kumpeleka mahakamani.

Ni Dr. Slaa aliyesimama bungeni kuomba posho za wabunge kupunguzwa kuzielekeza zaidi kwa watanzania maskini. Ni Dr Slaa aliyesimama bila woga kunyosha vidole kwa matumizi mabaya ya ofisi za umma. Ni Dr Slaa amekuwa mtanzania baada ya Nyerere kutoa hoja za nguvu zinazomlenga kumkomboa mtanzania maskini. Maisha bora kwa kila mtanzania yako wapi? Ajira milioni moja ziko wapi? Hebu mwenye mbavu za kujibu swali hili ajibu bila unafiki!

Ni Dr Slaa anayeweza kudhibiti matumizi mabaya ya ofisi za umma. Ni Dr Slaa anayeweza kuwapa elimu ya bure watoto wetu pale mlimani. Achana na longolongo za CCM kuwatoza ushuru watoto. Waulizeni majukwaani wao Nyerere aliwatoza ada? Kama si kutaka watanzania waendelee kuwa mambumbumbu ni nini? kama si kutaka watanzania tuendelee kuwa watumwa ni nini?

Ni Dr Slaa anayeongelea mfumko wa bei -nani hajajua dola leo hii ni sawa na tsh 1500. Uchumi unadidimia kwa kasi. Ahadi nyingine za uongo lukuki zinatolewa tena, wakati zile tulizoahidiwa mwaka 2005, hata moja haijatekelezwa. Watanzania walio wengi na hasa wa vijijini, wamelala usingizi. Wanafumbuliwa macho, lakini wamesinzia bado! Wanatabasamu, wanachekelea na kuridhika na vitisheti vya kijani na vikofia za njano. Wamekwishazoea shida kiasi kwamba wanadhani ni sehemu ya maisha yao. Ee mwenyezi Mungu, tunusuru na hili balaa..

Ni Dr.Slaa anaweza kuzuia wizi wa matrilion ya pesa kutoka migodi yetu ya Buzwagi, Geita, Bulyankulu, Buhemba, Nyamongo, Tulawaka, Nzega na Tanzanite. CCM wameshindwa kwa sababu ni washirka wakubwa na wameruhusu wizi huo. Ni Dr Slaa anaeweza kuwalipa wafanyakazi zaidi ya shilingi 350.000 achana na longolongo za CCM ambayo imeshindwa kusimamia maliasili ambazo zingeliwapa wafanyakazi kima cha chini kinachokidhi mahitaji yao.

Ni Dr. Slaa ambaye amepanga kubadili katiba ili Rais afuate matakwa ya walio mwajiri ambao ni wananchi. Waulize CCM hata kama mtu kaiba anapewa mda arudishe pesa. Hivi inaingia akilini kweli? Utawala wa sheria uko wapi?

CCM hawawezi hayo? Eti wanataka ushahidi. Nani kawambia rushwa tule wawili harafu tutoe vielelezo? Tunaiona rushwa kwa matokeo yake. Matengenezo ya barabara ya bilion 200, baada ya siku mbili imeharibika. Kwanini usimfukuze waziri na katibu wake wa wizara kwanza? CCM hawawezi! eti wanataka vielelezo!

Ni Dr Slaa anayeweza kufanya hayo. Nani anabisha! Si tumeona alivyowataja mafisadi wote! hapo akiwa ni mbunge tu! Je akiwa rais si watakimbia nchi? Jamani nawambia tumpe miaka mitano tu awakurupushe muone moto utakavyowaka.. Tutapata dawa, tutapata shule za bure, tutapata madawati. Jamani hivi kweli karne ya leo watoto wanasoma wamekalia mawe? We must be serious!

Nani asiye jua madaktari wetu wengi bingwa wapo botswana kwa sababu ya maisha duni Tanzania na hivi kwenda kutafuta maisha bora wakati hapa kwetu wananchi maskini wanakufa bila madawa? Nani asiyejua matatizo ya umeme, maji, makazi, maradhi, yanavyotutesa? Nani asiyejua wakulima wetu wasivyokuwa na masoko ya mazao yao? Nani asiejua asilimia 85 ya watanzania wanatumia vibatari au makoroboi kama mwanga? nani asiejua tunavyonyonywa na hawa wakoloni waliokuja kuchukua kila kitu?

Jamani wafanyakazi, wakulima, na wanafunzi, kwa nini mnalala usingizi? Kwa nini mnapiga miayo ya njaa wakati maghala yetu yamejaa nafaka? Ni akili gani hii? Nchi yetu inazo raslimali za kututosha, lakini wanaozifaidi ni vibaka wachache. Mtalala hadi lini?

Ni Dr Slaa mzalendo wa kweli, na sio kwa ajili ya sifa, anaweza kutuvusha tulipo. Nchi hii ni maskini na umaskini wenyewe ni wa kujitakia. Tanzania ni tajiri tuna kila kitu - mito, maziwa, national parks, migodi, mazao ya misitu, na kila aina ya utajiri. Lakini kila leo rais kuwaabudu wazungu na bakuli la kuombaomba! Naona huruma na umaskini wa kifikra wa watanzania. Ee Mungu utuhurumie!

Hivi kuna mtu hajui mapolisi wanalala kwenye vibanda vya mabati? Hivi kuna ambao hawajui mapolisi watendaji wanalipwa laki moja? Wamekosa nini hawa? Ni ajabu! pamoja na laki yao moja utakuta bado wanatumika kuwanyanyasa watetezi wao. Hata maaskari amkeni hiyo laki moja yenu haina tija hadi mrubuniwe kuwanyanyasa wapinzani ambao kimsingi wanawatetea ninyi! Hivi maaskari mnayo macho ya kuona? Jamani tuache woga inawezekana! Mbona Kenya wameweza? Mbona malawi wameweza?Mbona zimbabwe wameweza? Mbona Ghana wameweza? Kufanya mabadiliko sahihi, inawezakana na nafasi ni hii tuitumie.

Tumtume Dr Slaa atukurupushie wezi wote na atuwekee katiba sawa. Huo ndio msingi wa yote. Ni Dr. Slaa asiyeogopa kuwepo na mgombea binafsi. CCM hili hawaliwezi. Wamelipinga hadi mahakamani. Wanataka wao tu ndio waendelee kututawala na kutunyonya.

Jamani 2010 hakuna kudanganyika! enough is enough. Acheni kudanganyika. Wakati ndio huu. Watanzania msipoamua sasa, mtamlaumu nani tena? Nawatamani watu wa kule Mara -hakuna kura inaibiwa. Zote zinasimamiwa. Tukibadilika inawezekana, tena ni rahisi.

Peleka ujumbe huu kwa marafiki, ndugu, jamaa, babu na bibi yako kule kijiji ambako wanadhani bado Nyerere ndiye rais wa nchi hii. Waambie Nyerere alikwishakufa na nchi imeishatekwa nyara na vibaka. Peleka ujumbe huu haraka kwa simu kama ipo, au kwa njia ya posta, mradi tu wale jamaa waliochoka kuishi wasiikwapue barua wakidhani ni hela..

[FONT=Book Antiqua, serif]Kila la heri: mak.ralph@yahoo.com[/FONT]​

MMH, kweli u did ur homework!!!
 
Nilipojua Kampeni za Mbowe na comany yake ya Chama kumuandaa Mh Slaa kuwa ndio Mgombea wa urais, nilishtushwa sana. Kwa vile sikuwa na uwezo wa kutengua uchaguzi wao (kwa ukilitimba wao ndani ya chama) niliamua kujitoa.

Mnajua huyu mtu namfahamu, hana uwezo kabisa wa kuongoza nchi hii yenye wakazi zaidi ya watu 35 milioni. Uwezo wake kuongoza jimbo tu, na hivyo alistahili kuwa mbunge mpaka atapostaafu mwenyewe.

Sababu tano zinazomfanya kutofaa kuwa Rais:

1. Ataigawa nchi vibaya sana.

2. Atarudisha nyuma Demokrasia (huyu ni dikiteta no 1)

3. Si maarufu Dar wala Dodoma. sijui atakaa ikulu ya wapi.

4. Ndie mbunifu wa mavadhi ya CHADEMA (ishara ya vurugu)

5. Hana sera yeyote ile ya uchumi.

Hayo ni machache tu lakini udhaifu wake ni mwingi mno.

Ni heri kubaki bila chama kuliko kumpigia debe Mh Slaa. Ndio maana niliamua kukihama chama.

Zawadi,japo sina uhakika kama jina la Zawadi ni pen name ua real name, kama ni just pen name, its ok, iache hii thread hivi hivi ilivyo lakini kama Zawadi ndilo jina lako halisi nakushauri tubu kwa kuposti uwongo huu before its too lake. Your name say it all, naamini unazijua sababu za wewe kupewa jina hilo lakini hujui sababu iliyowafanya wazazi wako yawakute yaliyowakuta kabla wewe hujazaliwa, hivyo nakushauri usilianzishe ukijiaminisha its like a joke humu JF, kwa mujibu wa law of 'karma', there is a price to pay for every evil you do delibarately.

The motive behind post yako hii ni evil belive me, you'll pay very dearly na sio mbinguni ni hapa hapa duniani. Amini usiamini usifikiri laana lazima itoke kwa waliokuzaa tuu, watu wana powers za ajabu, tubu before its too late vinginevyo!....
 
Kiukweli Slaa hakuwa amejiandaa kugombea nafasi ya urais. Kwani angejiandaa kwa kuoa na kufanya mambo muhimu yanayoweza kujenga taswira nzuri ya rais. Hata CHADEMA kama chama hakikuwa na dhamira ya dhati ya kushika dola ndo maana hawakusimamisha wagombea katika majimbo yote.
 
Nilipojua Kampeni za Mbowe na comany yake ya Chama kumuandaa Mh Slaa kuwa ndio Mgombea wa urais, nilishtushwa sana. Kwa vile sikuwa na uwezo wa kutengua uchaguzi wao (kwa ukilitimba wao ndani ya chama) niliamua kujitoa.

Mnajua huyu mtu namfahamu, hana uwezo kabisa wa kuongoza nchi hii yenye wakazi zaidi ya watu 35 milioni. Uwezo wake kuongoza jimbo tu, na hivyo alistahili kuwa mbunge mpaka atapostaafu mwenyewe.

Sababu tano zinazomfanya kutofaa kuwa Rais:

1. Ataigawa nchi vibaya sana.

2. Atarudisha nyuma Demokrasia (huyu ni dikiteta no 1)

3. Si maarufu Dar wala Dodoma. sijui atakaa ikulu ya wapi.

4. Ndie mbunifu wa mavadhi ya CHADEMA (ishara ya vurugu)

5. Hana sera yeyote ile ya uchumi.

Hayo ni machache tu lakini udhaifu wake ni mwingi mno.

Ni heri kubaki bila chama kuliko kumpigia debe Mh Slaa. Ndio maana niliamua kukihama chama.

hivi kwa kauli kama hii utawapa bill hao ccm ya kuwafanyia kampeni?
any way zile t-shirt na safari za kwenye malori ndio bei yako? mpenzi Zawadi?
 
Mods kama mwenzangu aliyetangulia mm pia ninaheshimu uhuru wa mawazo wa mtu yeyote,nadhani kuwe na IQ test kabla ya m2 kupost hasa Junior members.wanoibuka kila uchao!!!..
 
wana mageuz poleni kwa hii, namuombea msamaha mana anaonekana ni anal thinker
 
Nilipojua Kampeni za Mbowe na comany yake ya Chama kumuandaa Mh Slaa kuwa ndio Mgombea wa urais, nilishtushwa sana. Kwa vile sikuwa na uwezo wa kutengua uchaguzi wao (kwa ukilitimba wao ndani ya chama) niliamua kujitoa.

Mnajua huyu mtu namfahamu, hana uwezo kabisa wa kuongoza nchi hii yenye wakazi zaidi ya watu 35 milioni. Uwezo wake kuongoza jimbo tu, na hivyo alistahili kuwa mbunge mpaka atapostaafu mwenyewe.

Sababu tano zinazomfanya kutofaa kuwa Rais:

1. Ataigawa nchi vibaya sana.

2. Atarudisha nyuma Demokrasia (huyu ni dikiteta no 1)

3. Si maarufu Dar wala Dodoma. sijui atakaa ikulu ya wapi.

4. Ndie mbunifu wa mavadhi ya CHADEMA (ishara ya vurugu)

5. Hana sera yeyote ile ya uchumi.

Hayo ni machache tu lakini udhaifu wake ni mwingi mno.

Ni heri kubaki bila chama kuliko kumpigia debe Mh Slaa. Ndio maana niliamua kukihama chama.

one phrase to you,
wakati wa kupepeta mchele, pumba huwa nyepesi mno kiasi kwamba ni vigumu kurejea kwenye ungo. hupeperushwa na upepo kuangukia ardhini hamapo mambo mawili hutokea, kati ya kufagiliwa na kutupwa jalalani au kudonolewa na kuku au ndege. ndiyo yaliyokukuta zawadi. pole sana. subiri ndege wakufanye msosi au uelekeo wa jalalani
 
Sababu tano zinazomfanya kutofaa kuwa Rais:

1. Ataigawa nchi vibaya sana.

2. Atarudisha nyuma Demokrasia (huyu ni dikiteta no 1)

3. Si maarufu Dar wala Dodoma. sijui atakaa ikulu ya wapi.

4. Ndie mbunifu wa mavadhi ya CHADEMA (ishara ya vurugu)

5. Hana sera yeyote ile ya uchumi.

Hayo ni machache tu lakini udhaifu wake ni mwingi mno.

Ni heri kubaki bila chama kuliko kumpigia debe Mh Slaa. Ndio maana niliamua kukihama chama.

[/SIZE][/SIZE]
aisee!.....
this is what we call GREAT THINKING!?...:biggrin1::biggrin1:
 
Zawadi .... Pole sana. Tafuta njia nyingine ya kulaghai mlango uliopitia hakuna wa kumkamata !!!! Mfa maji............. !!!!
 
Atarudisha nyuma Demokrasia (huyu ni dikiteta no 1) ]

This is character assassination. MODS, naomba huyu mama apewe ONYO KALI

Si maarufu Dar wala Dodoma. sijui atakaa ikulu ya wapi. ]

Na hii nayo ni MOJA ya ''sababu'' unayotaka wananchi waitumie kumnyima kura Dr. Slaa?? kweli akiri ni nywele..... wengine wanatumia za kwapani

Wewe kama ulijitoa CHADEMA, ni sawa na kuvuja kwa pakacha tu. Toka na nenda zako taratiiiiibu. Huna sababu ya kutoa sababu na matusi yasiyo na kichwa wala miguu
 
Nilipojua Kampeni za Mbowe na comany yake ya Chama kumuandaa Mh Slaa kuwa ndio Mgombea wa urais, nilishtushwa sana. Kwa vile sikuwa na uwezo wa kutengua uchaguzi wao (kwa ukilitimba wao ndani ya chama) niliamua kujitoa.

Mnajua huyu mtu namfahamu, hana uwezo kabisa wa kuongoza nchi hii yenye wakazi zaidi ya watu 35 milioni. Uwezo wake kuongoza jimbo tu, na hivyo alistahili kuwa mbunge mpaka atapostaafu mwenyewe.

Sababu tano zinazomfanya kutofaa kuwa Rais:

1. Ataigawa nchi vibaya sana.

2. Atarudisha nyuma Demokrasia (huyu ni dikiteta no 1)

3. Si maarufu Dar wala Dodoma. sijui atakaa ikulu ya wapi.

4. Ndie mbunifu wa mavadhi ya CHADEMA (ishara ya vurugu)

5. Hana sera yeyote ile ya uchumi.

Hayo ni machache tu lakini udhaifu wake ni mwingi mno.

Ni heri kubaki bila chama kuliko kumpigia debe Mh Slaa. Ndio maana niliamua kukihama chama.

Stupid.....! Mnxiuuu!
 
naamini kwenye suala la uhuru wa maoni lakini vilevile inabidi admn uweke minimum IQ requirement kupost kwenye hii forum ,mtu anasema dr slaa si maarufu dar wala dodoma atakaa ikulu ipi? sikumbuki kusoma comment ya kipumbavu zaidi hii

Nilijua ni mimi peke yangu ambaye nimeiona ya kipumbavu, I bet alikuwa anaandika hii thread akiwa kifuan kwa msela.., maana kwa akili ya kawaida hata chizi hawezi andika upupu huu
 
Back
Top Bottom