Nilikapenda haka kamsemo kutoka kwa mwana JF mmoja...

na msemo huu naupenda

he he he, kusutwa suna, matarumbeta kelele.

Au he he, jibebe, hayo ni maneno tu hata kwenye keki yapo na yanaliwa vile vile.
 
"mfungwa wangu anatamani gereza lako"(nakumbuka alikua anafundisha mtu kutongoza)....salute ulietupia hii, maana haipiti cku cjaukumbuka na kucheka.

ww unakumbuka msemo gani humu JF? unaokupa raha au hata karaha!!

kuna msemo mmoja wa Malaria Sugu, unaitwa MoU ya kanisa na serikali.
 
you can easily separate boys from men.................toka nilpouona humu kila nikimwona mwanamme naanza kumgroup,nimegundua kuwa wanaume wachache saaana wengi boys.haaaaala.
 
Any man can father a child but it takes a special man to be a Dad.


 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom