Nilikapenda haka kamsemo kutoka kwa mwana JF mmoja...

tumethubutu, tumeweza, na tunasonga mbele

niliupenda hasa ulipotumiwa kwenye mambo ya I kopa U
 
ukimuona ana vaseline, jua kapasuka miguu

au

ukionya manyoya, jua yamepukutika yenyewe bila kuguswa.
 
yarabi, tobaaaa! Mwambie arudi kwao

au
ukitaka kula, lazima nawewe uivishe chakula.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom