Nilijifunza kutongoza kwa hii nyimbo ona basi

:shock: Deskmate!!!
Wewe uliepewa kazi ya kunilinda?
Nakusema kwa Uncle... Akiamka tu nakusema!
Sasa mlinzi wa maembe si embe likidondoka anaokota au? inaonesha kabla koz ya kiarabu itabidi tuanzie kwenye koz ya u security kwanza.
Yule anko mwenyewe sku ile si alikwambia hata nikikufanya nini wewe uchekecheke tu itakuwa ni sehem ya ulinzi. Umesahau?
 
we mi niki pigwa BAn unaingia mitini..
Nikirudi nawe huyo wakwanza kunipokea..
Wakijarib kukupiga ban ndio watajua mimi nani? Ex waifu wangu anafanya kazi microsoft, sitanii Afrodenzi, nina uwezo wa kuigeuza hii JF ikawa blank ndani ya sekunde.
 
Sasa mlinzi wa maembe si embe likidondoka anaokota au? inaonesha kabla koz ya kiarabu itabidi tuanzie kwenye koz ya u security kwanza.
Yule anko mwenyewe sku ile si alikwambia hata nikikufanya nini wewe uchekecheke tu itakuwa ni sehem ya ulinzi. Umesahau?
ayaaaaaaaaaaa!! naenda kusema
 
Back
Top Bottom