Nilijifunza kutongoza kwa hii nyimbo ona basi

Ahadi yangu ile ya nyota? naikumbuka sana, nasubiri kwa hamu.
If need be, potea tena kwa siku kadhaa, but make it. lol
Maarifa ya MziziMkavu yanaishia kwenye mwili tu,
hagusi roho na nafsi, don't worry!
thats ma gal! nilizani utakuwa umesahau aisee!
Karibuni tu dili litaclick, na senk god nimenyang'anywa sweetlady. Am as free as a bird.
aaaaaowww! source:marehem michael jakson
 
Tunatoka kijiji kimoja huyu mwali, tayari kuna njemba ina shamba la kolosho ishalipia nusu mahari na mimi napatiwa share yangu kwa kumlinda. Sasa akiibiwa na mimi kibarua kinaota mbawa. Think! dokta think!
Deskmate, hivi korosho hua tunavuna lini hivi?
Nina shida ya pesa, nataka kununua BB!
Naonekana mshamba nikibrowse na haka ka nokia ka tochi.
 
thats ma gal! nilizani utakuwa umesahau aisee!
Karibuni tu dili litaclick, na senk god nimenyang'anywa sweetlady. Am as free as a bird.
aaaaaowww! source:marehem michael jakson
Kumbe sweetlady hayupo tena kwenye orodha?
Who was next in the queue?:eyebrows:
 
Ahadi yangu ile ya nyota? naikumbuka sana, nasubiri kwa hamu.
If need be, potea tena kwa siku kadhaa, but make it. lol
Maarifa ya MziziMkavu yanaishia kwenye mwili tu,
hagusi roho na nafsi, don't worry!
Si unajuwa Bibie Mwali Roho na nafsi ni Siri ya Mwenyeezi Mungu ukienda huko ni hatari ingawa baadhi ya mambo ninayajuwa siyatumii ila kuwe na Dharura kubwa huwa natumia usijali kila kitu hapa kipo mwali. Tafadhali usiniogope muogope Mwenyeezi Mungu.
 
Hakuna kinachoendelea, just focus on MziziMkavu. lol
Hivi wewe ulipotea lini exactly?
Ni kama una siku nyingi sana hujaingia humu. lol
Hapo red, nikiona posts zako napoteza memories zote labda nimPM mod anikumbushie. lol
Mimi bana nilikuja nikakuta couple inavuma sana jamvini nikajua deskmate tayari amenikimbia class.
 
Deskmate, hivi korosho hua tunavuna lini hivi?
Nina shida ya pesa, nataka kununua BB!
Naonekana mshamba nikibrowse na haka ka nokia ka tochi.
Acha nicheki na chifu alfonso, si unajua mi mwenyewe nimetoroka kijijini kidogo lakini hela ya BB itapatikana tu. Worry not
 
Hapo red, nikiona posts zako napoteza memories zote labda nimPM mod anikumbushie. lol
Mimi bana nilikuja nikakuta couple inavuma sana jamvini nikajua deskmate tayari amenikimbia class.
Mi nipo tu, sema mwalimu wetu kapotea,
na Barubaru ambae alikua mwalimu msaidizi katuaga kwa thread kabisa!
Ivuga (whom I kinda like too) nimemwambia akaongee na Uncle Kaizer hataki,
Na mimi siwezi kuanza uhusiano wowote bila Anti na Uncle kunikubalia!
 
Pole sana Doc, I didn't mean to remind you of him.
I am so sorry.
Usijali Baba amefariki mwaka 2005 na mama alitangulia kufariki mwaka 2003 Baba alikuwa mzee sana alifariki akiwa na umri wa miaka 87 na mama alifariki akiwa na umri wa miaka 72 asante sana umenikumbusha mbali usijali.
 
Mi nipo tu, sema mwalimu wetu kapotea,
na Barubaru ambae alikua mwalimu msaidizi katuaga kwa thread kabisa!
Ivuga (whom I kinda like too) nimemwambia akaongee na Uncle Kaizer hataki,
Na mimi siwezi kuanza uhusiano wowote bila Anti na Uncle kunikubalia!
Kama walimu wote wamepotea I think its the right time for private discussion, unaonaje?
 
Usijali Baba amefariki mwaka 2005 na mama alitangulia kufariki mwaka 2003 Baba alikuwa mzee sana alifariki akiwa na umri wa miaka 87 na mama alifariki akiwa na umri wa miaka 72 asante sana umenikumbusha mbali usijali.
Dah! pole sana dokta aisee!
 
Mi nipo tu, sema mwalimu wetu kapotea,
na Barubaru ambae alikua mwalimu msaidizi katuaga kwa thread kabisa!
Ivuga (whom I kinda like too) nimemwambia akaongee na Uncle Kaizer hataki,
Na mimi siwezi kuanza uhusiano wowote bila Anti na Uncle kunikubalia!
asante mwali..love you too tatizo kila siku nikienda kwa uncle kaizer namkuta amelewa iwe asubuhi au jioni
 
Usijali Baba amefariki mwaka 2005 na mama alitangulia kufariki mwaka 2003 Baba alikuwa mzee sana alifariki akiwa na umri wa miaka 87 na mama alifariki akiwa na umri wa miaka 72 asante sana umenikumbusha mbali usijali.

Asante na mimi nimezaliwa Tweens mwenzangu amefariki mwaka 1991 wa kike.
Pole sana doc. Kazi ya Mungu.
Wanapumzika salama wote, wanasubiri Umm ul qiyamah... Soma Suratul Imran (169-170)
 
Back
Top Bottom