nilihisi haniamini sasa Simuamini yeye

ustaarabu wa kwamba simu ni yenu wote na hamna cha kuficha mi ulishanitokea puani!mtu kakuta msg ya utani simuni,pamoja na maelezo ya zaidi ya masaa manne na kumpa uthibitisho wote mtu haelewi tu!kila saa kupekuana,umemaliza kuangalia champions league umesinzia dakika hata tano bado,mtu huyo kwenye simu,sipendiiiiii!

najua sasahivi haikusaidii ila labda baadae inaweza saidia.............simu kila mtu atumie ya kwake,marufuku kushika wala kupokea ya kwake na yeye asiguse ya kwako!sipendi kuchunguzwa kama nisivyopenda kuchunguza!
 
Pole sana mkuu. kablla hujamuuliza hebu fuatilia kule alikonunua hicho kiwanja unaweza kupata details zaidi huenda kiwanja si chake labda kanunua kwa niaba ya nduguye au rafiki aliye mbali. ikiwa ameku-bypass basi ni hatari. pia inawezekana anataka kuja kukupa surprise kuwa amefanya vitu kwa faida yenu kama ni chake peke yake basi ni tatizo. tafuta kwanza details kisha uje tena humu tutaweza kukushauri zaidi
 
Back
Top Bottom