Nilifuata tigo mke wangu!

Chipyopyo

Member
May 17, 2010
18
0
Habari wana JF?

Mambo mengine yakijadiliwa hapa ndugu zangu unaweza kudhani ni ya kutunga lakini kumbe yapo, hii ni live imetokea kitaa juzi!!

Kuna jirani yetu hapa ambaye huwezi dhania ila ndiyo kama hivyo (mtu Mzima), alifumaniwa na mkewe live kwenye chumba cha guest house na inaonekana mkewe alikuwa anamfuatilia bila jamaa kujijua.

Katika kusuluhisha hayo maswala ya fumanizi ilibidi wenye busara wawaombe wakayazungumzie home kuliko kuyasambaza zaidi mitaani, mke mtu alikubali na kuongozana na mumewe home wakimwacha mfumaniwa (mwanamke) akiondoka zake.

Katika kutafuta suluhu zao hapo nyumbani, mwanaume alijitetea kuwa hakuwa na nia mbaya ila kwa yule mwanamke alifuata tigo tu kwa sababu ni mchezo anaoupenda sana na kumfanyia yeye mkewe aliona kama atamdhalilisha kwa kuwa ni mke wake wa ndoa thus why akawa na kimada wa kumfanyia hivyo.

Ninvyoandika hapa mke mtu yupo kwao Arusha tangu jana na amegoma kurudi kwa mumewe katu katu hasa ikizingatiwa kuwa alimfumania na mwanamke mwenye makalio makubwa sana (sidhani kama ni mchina) kitu kinachopelekea hii inshu kuelemea kwenye ukweli fulani!!

Have a nice time wana JF
 
<Kwenye ndoa kuna majaribu ya kila namna!...Kwa situation kama hii kweli ni njiapanda kubwa sana!...Huyo mwanamke asije aka'yield, yaani kuanza mchezo huo kwa nia ya kumridhisha bwana huyo ili abaki ndani, maana habataki ndani, atatamani kuwajaribisha na wa nje!...kAMA IKITOKEA WANAHITAJI KURUDIANA, suluhisho ni moja tu, huyo mtu aahidi kwa machozi kuacha tabia hiyo ya SHETANI...Vinginevyo ndoa hii imeshindikana, hata kama ni ya Kikristo!
 
oooh ndoa hizi jamani zina mambo ,mengi na mitihani mingi sana ..pole za huyu bibie ..nashindwa kutoa maamuzi yangu hapa .:mmph::mmph:
 
oooh ndoa hizi jamani zina mambo ,mengi na mitihani mingi sana ..pole za huyu bibie ..nashindwa kutoa maamuzi yangu hapa .:mmph::mmph:
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
inaweza ikawa ni excuse tu na tigo sio sababu iliyompeleka.

yawezekana alipata kimada wakakaa muda ndio akaonjeshwa tigo.

yawezekana hata hajaonja tigo lakini kaamua kujitoa kimasomaso tu

hizi sheria za kuwa ndoa zisivunjwe nazo sometimes ngumu .............................:mmph:
 
shughuli kubwa! ndio mana nasemaga hao vimada kazi yao ni kudhalilishwa tu na mwanaume mwenye akili zake timabmu hawezi kumwomba mkewe hicho kitu, wataharibiwa sana kwa tamaa zao, hapo hata ingekuwa mie nngeenda mahali kupumzika kidogo then ndio nitajua cha kufanya.
 
oooh ndoa hizi jamani zina mambo ,mengi na mitihani mingi sana ..pole za huyu bibie ..nashindwa kutoa maamuzi yangu hapa .:mmph::mmph:

Nampa pole huyo mama....

FL1... njoo chemba unipe maamuzi yako ili nipate kumshauri vizuri
 
Hii kali sana sasa huyu jamaa anataka mkewe afanyaje tena manake kwakusema ulifuata jicho sio utetezi kabisa
manake amezidi kujiharibia anaonyesha yeye anafanya hayo mambo machafu sana.Ushauri wangu huyo dada ale
kona tu asijekutwa na hilo balaa jamaa hafai kabisa
 
These are last days. Hii dhambi mnayoiita TIGO ndo ilisababisha Mungu aiteketeze sodoma na Gomora. Ni uchafu unaomchukiza Mungu sana na mtu anayesumbuliwa na kitu hiki anahitaji msaada wa Mungu kuweza kushinda.
 
6051_1072140733623_1529296104_30152510_3463688_n.jpg

tiGo si kwa vijana hata wazee wamo!
 
Huyo dada mwenye mume arudi tu wajenge familia, la maana ampe mwenzie hicho anachofata huko nje
 
Hizo tiGo zinazotumika hovyo kila siku zimesajiliwa lakini maana mwisho wa kutumia ndo leo saa 6 usiku...........................huyo mume ni kiazi tena kile kiazi kikuu kisichoiva anafuata kitu gani hicho nje ya ndoa???
 
ee bana wee mlani shetani huyo , jambo kubwa hapa ni kua ikiwa ni muislamu basi
automatic ndoa yao ime vunjika na hana njia ya kurudiana nae tena
 
Back
Top Bottom