Nilifikiri ni wanaume tu!!,Kumbe wanawake nao wanawagwaya hawa!!

Dada,nipo salama ila juzi kati ka kichwa kalitaka kuleta tabu!Ila sasa poa....Kuhusu kufall in love,bado..!
 
kuna baadhi ya rafiki zangu wa kike walishaniambia/wananiambia kuwa mimi ni handsome lakini nilishamtongoza demu mmoja almost 3years hakuelewa somo! sasa hapo what might be a reason behind??:A S embarassed:
 
Back
Top Bottom