Nilifikiri ni wanaume tu!!,Kumbe wanawake nao wanawagwaya hawa!!

Wanawake wazuri sana ni wa kustarehe nao 2,ktk kuoa ni yule wa kawaida aliye simple kwani ataimudu mikikimikiki na hali halisi ya maisha ya mtanzania wa kawaida,wasichana wazuri hawana wanachokijua zaidi ya uzuri wao!
 
Mwanaume kuambiwa mzuri mtaani ni issue
Ila kuna uhalisia fulani kwenye hii habari maana watu wanaogopa sana ile hali kwamba kila mmoja anamuona analipa so kugombaniwa kwingi so mtu anaogopa ile ushindani
 
Mbona mimi sio handsome lakini siwapati kivile..................
Au ulikuwa unamaanisha...........Handsomemoney?

Hahaha!mzee gustavo bana!yan mpaka sasa hujua uhandsome wako ndio unakuponza!ona sasa mpaka watoto tunajuta kufanana na ww lol!
 
Siku hizi mambo yamebadilika,salvado wangu anafanana na avatara ya nitonye but still watu wanamtolea mimacho!hata cjui angekua handsome ingekuaje lol!mie nadhan mtu kutoka na kila mwanaume au mwanamke ni tabia tu ya mtu wala haina uhusiano na sura au umbo,km anajiheshimu anajiheshim tu na km macho juu hata awe mbaya ndio ivo tena!
 
Nilikuwa nasoma jarida moja la Kenya juzi,leo nikakutana na kisa kile kile kwenye jarida la Drum,kisa chenyewe ni kuwa,mabinti na wanawake huwatosa wanaume ambao jamii inawaona mahandsome kwa kuhofia kutokuwa peke yao kwenye mahusiano na wanaume hao kama vile wanaume wanavyowaogopa wanawake wenye sura na maumbo yanayodaiwa na jamii kuwa mazuri.Sijajua kama na hapa Tanzania ni hivyo hivyo!Hebu wanaume na wanawake mseme kuhusu hili!

Eiyer ni kweli kabisaa!ila kwenye guys wazuri kuna two groups:wale wazuri and wako humble(flow with the rythm) na kuna wale wako wazuri but kila saa am handsome,am handsome,hao ndo shida bcoz not only do you have to deal with the pressure outside but also from him,na mara nyingi wao hawajui kusifia spouses wao(hapo kwa some women wanaeza loose self esteem na kustep down taratibu) ..ukipata kuona couple that wote wako good looking,ujue kuna mmoja either anajishusha au yuko na pesa zaidi(competitive advantage juu ya uzuri)..
 
Kabaya kangu!kumbe wengine wanapendwa kwa kuonewa huruma?@Husninyo

sio huruma, mi nimefanya kautafiti kangu nimegundua wanaume wabaya huwa wanawajali wapenzi wao, hawana pozi na dharau na ni wanyenyekevu.
 
Canta,mambo?Mi nazungumzia tatizo la watu wanaodaiwa wazuri kukwepwa.Sio mtu kubadilisha wapenzi!
 
Tracy,nimependa maelezo yako,umeeleza vyema sana!
 
Mwanaume mwenye uzuri ulokithiri utafikiri mtoto wa kike... Huofii kua peke yako tu... Unahofia kua hata wanaume wenzie wanamshawishi buree....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom