Nilifikiri ni wanaume tu!!,Kumbe wanawake nao wanawagwaya hawa!!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Nilikuwa nasoma jarida moja la Kenya juzi,leo nikakutana na kisa kile kile kwenye jarida la Drum,kisa chenyewe ni kuwa,mabinti na wanawake huwatosa wanaume ambao jamii inawaona mahandsome kwa kuhofia kutokuwa peke yao kwenye mahusiano na wanaume hao kama vile wanaume wanavyowaogopa wanawake wenye sura na maumbo yanayodaiwa na jamii kuwa mazuri.Sijajua kama na hapa Tanzania ni hivyo hivyo!Hebu wanaume na wanawake mseme kuhusu hili!
 
ra nyingi hao wanaume hufanikiwa kuwapata wanawake wanaowataka, sema baadae mwanamke anapogundua ndo huwa anaamua kuachia ngazi.
 
Mwanamm handsome balaa na simtaki hasa zaidi akijua atakutia ugonjwa wa moyo.
 
ofu kozi, kuwa na patina anayevutia attension ya uma, No.

Kujipa mipresha ya bure.
 
  • Thanks
Reactions: Sal
Nilikuwa nasoma jarida moja la Kenya juzi,leo nikakutana na kisa kile kile kwenye jarida la Drum,kisa chenyewe ni kuwa,mabinti na wanawake huwatosa wanaume ambao jamii inawaona mahandsome kwa kuhofia kutokuwa peke yao kwenye mahusiano na wanaume hao kama vile wanaume wanavyowaogopa wanawake wenye sura na maumbo yanayodaiwa na jamii kuwa mazuri.Sijajua kama na hapa Tanzania ni hivyo hivyo!Hebu wanaume na wanawake mseme kuhusu hili!

kwa hiyo wewe ni undefined haupo kwenye men or women
 
Asante Mungu(aikaruwa1983)umenichekesha sana!
 
Mbona mimi sio handsome lakini siwapati kivile..................
Au ulikuwa unamaanisha...........Handsomemoney?
 
Unawayeyusha kina Nyumba kubwa ili wasikusake eeh? Wewe hawakupendi wanawake manake una pesa sana na uko handsome! Umetuponza hadi na sie wanaume hawatutaki!
Mbona mimi sio handsome lakini siwapati kivile..................
Au ulikuwa unamaanisha...........Handsomemoney?
 
Mtoa mada ,
hebu tusaidie vigezo ili mtu ajitambue yeye handsome ni kipi na kipi kiwe ndo ajijue yeye mzuri ?
 
vizuri lazima ufe kwa presha maana kama uko nae kila mtu macho kwake na wengine wanaweza kuomba hadi namba ya simu mbele yako
 
Mtoa mada ,
hebu tusaidie vigezo ili mtu ajitambue yeye handsome ni kipi na kipi kiwe ndo ajijue yeye mzuri ?

Nimesema wale jamii inayosema flan mzuri,so kama na wewe ni mwanajamii utakuwa unajua vigezo!
 
Back
Top Bottom