Nilichosikia kongamano la kiisilamu arusha

Kilicho andikwa ni kweli tena kuna zaidi ya hayo..mfano halmashauri ya arusha imepewa mwezi mmoja iwe imerudisha kiwanja ambapo ndipo kilipo stand ndogo lasivyo watang'oa msumari moja baada ya mwingine na hakuna atakae wafanya kitu...

hakuna atayewafanya kitu? hivi ardhi katika nchi ni mali ya nani?
 
Mhh,,tulisema matamko ya maskofu yangeleta hisia za udini watu mkabisha.HAYA SASA MNAKUBALI KUNA UDINI?
Hizo bilion 600 wamepewa za nini?maelezo yanatakiwa hapa

1] Afya - taasisi za dini zinamiliki hospitali za rufaa zaidi ya 2 (KCMC, Bugando n.k), DDH kibao, hospital za kawaida, vituo vya afya na zahanati. Kwa kuwa siyo jukumu lao moja kwa moja, serikali inaingia na kuwa-support ili huduma kwa waTZ iendelee. Hebu chukulia mfano wa huduma ya mama na mtoto, hii inatakiwa iwe free, au magonjwa kama kifua kikuu na huduma kwa watoto chini ya miaka mitano. Hii nikumaanisha serikali inazigharamia hizi huduma kwa kupitia hosp., disp., n.k. zinazotumiwa na waTZ zinazomilikiwa na 'makanisa'.

Kwa hiyo serikali ili ku-support inatoa dawa, vifaa, watumishi, n.k.

2] Elimu - pia jukumu la serikali lakini imeshindwa kwa kiasi kikubwa kulitekeleza kikamilifu, taasisi za kidini zinasaidia na hivyo zinastahili support ya serikali kupunguziwa makali, ili nao wapunguze makali kwa waTZ watakonufaika na elimu itolewayo.

Kiwango hiki kinachotajwa kinahusisha, siyo fedha taslim iliyopewa kwa taasisi hizi, bali vitu kama vile madawa, vifaa, watumishi (mishahara yao), misamaha ya kodi, n.k.

3] Miradi mbalimbali ya maendeleo k.v. maji, misaada kwa PLWH+, hapa 'makanisa' hayapati fedha za moja kwa moja ila hupaa misamaha ya kodi katika kuingiza nchini vifaa na vitu vinavyofanana na hivyo.

Unless mimi nina 'upofu' unaochangiwa na mimi kuwa Mkristo, sioni udini unaingiaje hapo endapo serikali inawa-support wale wanaoisaidia serikali hiyo hiyo katika kutimiza majukumu yake ya msingi na huduma itolewayo haibagui dini.

Nawasilisha
 
  • Thanks
Reactions: Iza
Nilijiunga uislamu kwa kumpenda bint ambaye kwa sasa ni mama mtoto wangu.ktk miaka 6 niliyokaa kwenye dini hii najuta,kwa haya wanayofanya HAKUNA DINI HAPA!NAJUTA KUWA MWISLAMU

Sasa wategemea nini zaidi ya kujuta! :tape:
 
kama wanaita vita kwa mtindo huu nazani wakristo hatuna budi kusubiri hio siku ya vita tuone itakuwaje-hope nasi tutafanya counter attack-na as long nchi zote za EAC wakristo ni wengi-lazima tutapata covert support kutoka baadhi ya nchi-potelea mbali wakifa wachache-wataokaobaki wataendeleza mapambano-na nina imani tutashinda-KAMA WANATAKA NOMA NANA IWE NOMA-PU@#%$VU ZAO
 
Wakati habari juu ya babu huko Loliondo zinapumzika kidogo, naomba
> niwape na haya niliyoyasikia kwa masikio yangu kutoka redio Imani. Hii
> ni redio ya Waislamu ambayo inatangaza kutokea mkoa wa Morogoro. Sijui
> kama husikika nchi nzima au la. Hapa kwetu Arusha kulikuwa na
> kongamano kubwa la Waislamu wa madhehebu yote, jana Jpili na lilianza
> tangu asubuhi hadi jioni. Walikuwepo watoa mada mbalimbali, lakini
> mimi nilifanikiwa kumsikia mmoja, pamoja na immamu wa mkoa aliyetoa
> maazimio ya kongamano.Bila shaka magazeti yataripoti vizuri.
>
>
>
> Nimesukumwa kuandika tena kwa urefu kwani nilisikitika sana kusikia
> maneno ambayo sikuwahi kuyasikia tangu nizaliwe yakiongelewa hadharani
> ndani ya nchi yangu. Nakumbuka nilisoma maazimio ya Mwanza, lakini hii
> imenistua sana. Kama tunamwomba Mungu basi tuongeze nguvu, kama
> hatuombi basi tuanze. Kwa mtindo huu, ninawasiwasi na amani ya
> Tanzania ambayo tumejivunia miaka hamsini sasa. Mliopata neema ya
> kupata nafasi za juu serikalini, sijui serikali inayaonaje mambo haya.
> Hayajaanza leo, ila imeyaachia yaendelee. Makanisa yanazidi kuchomwa,
> hakuna msikiti uliwahi kuchomwa kama sijakosea. Wakristo wanavamiwa na
> kupigwa, hakuna mhadhara wa Waislamu uliwahi kuvamiwa. Redio Imani na
> magazeti ya Kiislamu (mfano Al-alnuur) yanazidi kumwaga sumu ya udini,
> na ubaguzi, na chuki, lakini sijawahi kusikia vyombo hivi vikikemewa.
> Huu, ukimya wa serikali na vyombo vyake, sijui maana yake ni nini?
> Sumu hii ikiishapandwa kuing’oa ni kazi. Jamaa hawa walifanya mambo
> yao sirini tangu enzi za Mwinyi, na sasa, wameamua kuyaweka wazi na
> kuhamasisha Watanzania waziwazi tuuane. Haiingii akilini mwangu. Je,
> viongozi wetu wa dini wanazo taaarifa za kutosha kuhusu mambo haya?
> Wanachukua hatua gani? Je, sisi tuchukue hatua gani?
>
>
>
> Shehe Ilunga Hassan ndiye niliyeweza kumsikia. Ameongea mambo mengi,
> lakini yote ni ya kupandikiza chuki ndani ya Watanzania. Ameanza kwa
> kutoa pongezi kwa kile Waislamu walichokifanya huko Mto wa mbu
> (Arusha) kwa kuwapiga wachungaji, na kuwajeruhi, nk. Amesisitiza kuwa
> Tanzania inaongozwa na mfumo Kristo. Na sasa umefika wakati mfumo huo
> uondolewe na hiyo ndiyo itakuwa pona ya Waislamu. Serikali inaongozwa
> na maaskofu. Wao ndiyo wanaweza kumwambia rais tunataka hiki au la.
> Amesisitiza kuwa amani tunayoiona TZ ipo kwa gharama ya Waislamu.
> Umefika wakati Waislamu waseme basi kwa mfumo Kristo ili na Wakristo
> wabebe gharama ya amani hii.
>
>
>
> Ametoa takwimu kuwa mwaka 1992 Serikali iliingia mkataba na Wakristo,
> na tangu hapo imekuwa ikitoa fedha za kuwaendeleza wao huko Waislamu
> wakibaki nyuma. Kwa mfano, mwaka 2009, serikali imetoa bilioni 45,
> mwaka 2010 bilioni 54, na mwaka huu kwa miezi miwili hii na siku
> imekwisha toa bilioni 611, zote hizi zikiwa ni kuwaendeleza Wakristo.
>
>
>
> Wakati serikali ikifanya hayo yote, Waislamu wameachwa nyuma na watoto
> wao wamezidi kuwa wamachinga huku watoto wa Wakristo wakiendesha
> baiskeli za kizungu na kufurahia beach. Amesema ifike mahali Waislamu
> waamue kama walivyofanya Wahutu dhidi ya Watutsi.
>
> Ati Kikwete hawezi kuongoza nchi bila maaskofu, maana kila analotaka
> kufanya lazima awaone.
>
>
>
> Amesema kuwa Chama cha kususa na maandamano kipo tu kwa ajili ya
> maslahi ya Wakristo. Waislamu wanadanganywa wakidhani hicho chama kipo
> kuwatetea WaTz kumbe kipo kwa ajili ya Wakristo. Makafiri wanasaidiana
> wao kwa wao hivyo waislamu waamke, waungane hili kuuondoa mfumo
> Kristo. Amesema mfumo huu ulianza zamani,kwani hata 1964, Nyerere
> aliwafunga kina Chief Fundikira na wenzake kwakuwa walikuwa Waislamu.
> Akaendelea kuwa hata Azimio la Arusha lilikuwa kiini macho kwani
> liliwalenga Waislamu hata mali zilizotaifishwa zilikuwa za Waislamu
> Wahindi kwani wakati huo wakristo wengi walikuwa makarani na hawakuwa
> na chochote. Kwa hiyo Azimio lililenga kuwakandamiza Waislamu.
> Wakristo na mfumo wao wamekanyaga nyoka mkia, au wanamkamata ng’e
> mkia.
>
>
>
> Aliendelea kusema kuwa imefika sasa Waislamu kuongea lugha wanayoilewa
> makafiri kwani wao hawataelewa kama waislamu wataendelea kuongea kwa
> njia ya makongamano kama haya. Kuendelea kudai haki kwa njia hii ya
> mikutano na makaongamano ni kama mtu anayemwambia mbuzi lugha ya
> kibinadamu wakati hailewi. Mbuzi lugha yake ni kupigwa ndipo huelewa.
> Ndivyo walivyo makafiri. Ifike wakati waislamu waseme basi.
>
> Usilamu hauna historia ya kushindwa. Allah alikwisha wahaidi
> waisalamu ahela, hivyo wao wana kazi mbili tu, KUUA au KUUAWA, na
> ndipo watapata zawadi ya ahela. Hivyo ndivyo wanaweza kuuondoa mfumo
> Kristo.
>
>
>
> Akasisitiza kuwa huko Rwanda ilifika ambapo ilipotakiwa kuubadili
> mfumo, Mtusi na Mhutu hakuna aliyelala ndani, sasa Waislamu waseme
> basi. Akasema kuwa hata kama kunasemwa mabadiliko ya katiba, nayo
> hayatakuwa na maana kama bado kuna mfumo Kristo. Akasema kwa mfano
> waislamu wanabaguliwa hata kama katiba inakataza ubaguzi, hivyo, shida
> si katiba bali ni mfumo Kristo.
>
>
>
> Amesisitiza kuwa Waislamu hawana historia ya kushindwa hivyo hata sasa
> watashinda tu. Amekiponda sana chama cha kususa na maandamano
> akiwasihi Waislamu wasikiunge mkono.
>
>
>
> Jamani yamesemwa mengi, laiti ningekuwa mwanahabari ningeadika mengi.
> Kwa ufupi yule bwana amehamasisha chuki, uuaji, kuchukia CHADEMA, nk.
>
> Muda wote wafuasi walikuwa wakishangilia kwa TAKBIR! TAKBIR! Yaani
> kama angesema sasa tunaaza kazi nakwambia kungekuwa na balaa hasa.
>
>
>
> Ndugu zangu, inaonyesha hawa jamaa wamefanya mikutano,
>
> Dar es Salaam, Kigoma, Tabora, Mwanza, Shinyanga, Morogoro, Singida,
> na sasa Arusha. Wanaendelea hadi nchi nzima wakihamasisha haya na
> Waislamu kuungana na kuondoa tofauti za madhehebu yao kwani mfumo huu,
> unawaathiri wote.
>
>
>
> Baada ya hapo alikaribishwa Imamu wa mkoa wa Arusha naye akatoa
> maazimio ambayo yaligawanyika katika makundi mawili.
>
>
>
> 1. MAAZIMIO YA KITAIFA
>
> i) Wanaunga mkono maazimio yote yaliyotangulia kutolewa katika mikoa
> mingine
>
> ii) Wanaunga mkono tamko la Immam mkuu (Shehe Issa Bin Simba)- sasa
> dhuluma basi
>
> iii) Wanaitaka serikali kuangalia uwiano wa kimadaraka katika ngazi
> zote za serikali
>
> iv) Wanaiagiza Wizara ya Elimu ifuatilie na kuhakikisha waraka wa
> mavazi (hijabu,nk), na ibada kwa Waislamu wanafunzi inatekelezwa.
>
> v) Wanamtaka waziri wa fedha kuthibitisha uhalali wa mkataba kati ya
> Wakristo na Serikali wa mwaka 1992.
>
> vi) Wanasema suala la mahakama ya kadhi si ombi ila ni lazima
> litekelezwe na pia TZ ijiunge na OIC
>
>
> vii) Wanaagiza ubalozi wa Vatican uondolewe nchini
>
>
>
> 2. MAAZIMIO YA KIMKOA
>
> i) Halmashauri ya Arusha imepewa mwezi mmoja irudishe mali za Waislamu
>
> ii) Waislamu wapewe kibali kujenga msikiti katika kiwanja cha NHC
> kilicho karibu na Mahali pa Kumbukumbu ya Azimio la Arusha.
>
> iii) Mahali ilipo stendi ya daladala ni mali ya Waislamu, irudishwe
> mara moja
>
> iv) Kwa kuwa serikali ya JK ni halali kwa mujibu wa sheria, wanaoleta
> chokochoko waache mara moja.
>
> v) Waislamu wanamuunga mkono Meya wa jiji la Arusha kuwa alichaguliwa
> kihalali, na wanamtambua kwa nguvu zote. Aachwe afanye kazi. Wao
> hawatakuwa tayari kuona upuuzi huo wa kumpinga.
>
> vi) Kama Chadema itaandamana kama ilivyotoa taarifa ya siku 21, basi
> nao watatoka ili wapambane nao ili kujihami kwani maandamano
> yaliyopita yaliwaathiri
>
> vii) Wanamwagiza IGP amrudishe kazini yule askari aliyesimamishwa kazi
> kwa kuwakamata wachungaji huko mto wa mbu. Pia mkuu wa kituo
> aliyehusika kumsimamisha kazi achunguzwe na kushughulikiwa.
>
>
>
> viii) Waislamu wanasema sasa dhuluma basi.
>
>
>
> Ni hayo kwa ufupi jamani.

ALIYE ARUSHA ATUJUZE NI KWELI AU UONGO, TUZIDI KUSALI JAMANI

Jamani wala msiwajari hao jamaa,,, huo ni ukali wa NANASi,, nje miba ndani TAMU......Tumezoea ngonjela zao! hata JK nae analalama udini jamani,,,, maana ukristo.
 
mh sio arusha tu jamani... jana jioni msikiti wa kibangu(jeshini) niliwasikia kwa masikio yangu mawili wakiyaendeleza haya maneno yao ya chuki. na kashfa kibaaaaao kwa ukristo.

swali langu ni moja tu... Ikiwa wanataka kuuhubiri uislam mbona wanatumia mihadhara yao kuutangaza ukristo? kuna kitu kimejificha hapo. maana ikiwa wangetoa mafunzo mazuri ya dini hii basi yule asie muislam angevutiwa ajiunge... ila kwao ni shari shari tu kutwa kucha.
jiulizeni
1. watoto wakipelekwa shule wanahimizwa kusoma koran....
2. wakiwa mtaani wanahimizwa KUCHINJA NA KUUA
3. watoto wa kike hakuna shule, sasa kama mama hana shule na ndie mlezi mkuu unadhani nini kinapandikizwa hapo. UDINI plus plus.
sasa wanadhani wanakandamizwa wakati chanzo ni wao.

hawataki shule wanakaa vibarazani kula kashata na halua jamani afu wanadai wanabaguliwa . mhhhhh kwa kweli kazi ni nzito.
 
1] Afya - taasisi za dini zinamiliki hospitali za rufaa zaidi ya 2 (KCMC, Bugando n.k), DDH kibao, hospital za kawaida, vituo vya afya na zahanati. Kwa kuwa siyo jukumu lao moja kwa moja, serikali inaingia na kuwa-support ili huduma kwa waTZ iendelee. Hebu chukulia mfano wa huduma ya mama na mtoto, hii inatakiwa iwe free, au magonjwa kama kifua kikuu na huduma kwa watoto chini ya miaka mitano. Hii nikumaanisha serikali inazigharamia hizi huduma kwa kupitia hosp., disp., n.k. zinazotumiwa na waTZ zinazomilikiwa na 'makanisa'.

Kwa hiyo serikali ili ku-support inatoa dawa, vifaa, watumishi, n.k.

2] Elimu - pia jukumu la serikali lakini imeshindwa kwa kiasi kikubwa kulitekeleza kikamilifu, taasisi za kidini zinasaidia na hivyo zinastahili support ya serikali kupunguziwa makali, ili nao wapunguze makali kwa waTZ watakonufaika na elimu itolewayo.

Kiwango hiki kinachotajwa kinahusisha, siyo fedha taslim iliyopewa kwa taasisi hizi, bali vitu kama vile madawa, vifaa, watumishi (mishahara yao), misamaha ya kodi, n.k.

3] Miradi mbalimbali ya maendeleo k.v. maji, misaada kwa PLWH+, hapa 'makanisa' hayapati fedha za moja kwa moja ila hupaa misamaha ya kodi katika kuingiza nchini vifaa na vitu vinavyofanana na hivyo.

Unless mimi nina 'upofu' unaochangiwa na mimi kuwa Mkristo, sioni udini unaingiaje hapo endapo serikali inawa-support wale wanaoisaidia serikali hiyo hiyo katika kutimiza majukumu yake ya msingi na huduma itolewayo haibagui dini.

Nawasilisha

na hizi shule na mahospital, vituo vya afya na huduma kibao zinazotolewa je hutolewa kwa wakristo tuuu? au ndo kwamba wamelewa harufu ya damu sasa wanatamani kuinywa zaidi jamni.

nikichunguza sana naona hizi hospitali zinatoa huduma kwa wote, iwe ajira au matibabu.
shule nazo hivo hivo.. mfano st agustine haibagui nani mkristo nani mwislam au mpagani, sekondari ndo kabsaaaa ma stz kumejaa watoto wa kiislam. sasa kama wanahudumiwa na haohao wasiowapenda mbona hawachangamki kuanzisha vyao ili no wapae.???badala ya kupanga vita wangepanga maendeleo na mkakati wakuwakwamua wenzao na kuwapeleka shule.
 
inaonekana shekhe ilunga na wenzake wanatafuta umaarufu na wananufaika na kuanzisha mijadala ya udini,hata osama wakati anapigwa walisema marekani anania ya kutokomeza uislam mpaka mwenyewe aliposema "this is not jihad,this is stricly bussiness.
 
Wana jf,
Mwenye datas kuwa wakristo wanapewa hayo mabilioni amwage hapa jamani! Elungata, una maana maaskofu ndo walisema wanapewa 600b?

Hutapata hizo data kwa kuwa hakuna pesa wanazopewa Wakristo peke yao na serikali. Ni UONGO,UONGO na UONGO!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom