Nilichokiona leo mwenge stand

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
Pale mwenge stand kuna ndg yetu albino anauza magzeti,sasa sijui ni amri ya nani na kwa malipo gani nmekuta ameyageuza magazeti ya mwanahali upande wa michezo ndio ulikuwa ukionekana kwa wapita njia na wasoma vichwa vya habari vya magazeti
gazeti la leo la mwanahali ni kali ni jitihada zao za kulihujumu hazitafanikiwa kwani watanzania si mabwege
 
Vichwa vinasema hivi;

Kikwete tumbo moto.
  • Ahofia mtandao wa wikileaks
  • Alikutana na Frazer mara nyingi.
  • Hoseah azidi kumpasua kichwa.
 
Tunapenda sana kusisimua mambo hata yasiyokuwepo. Je wauza magazeti wote hapo Mwenge ndio wamefanya hivyo ama umemuona Albino mmoja tu kafanya hivyo basi imeishakuwa ni 'Jitihada zao kulihujumu'? Wangesubiri mpaka lifike kwa Ndugu yetu alibino?? Tusipendeze sana kukuza mambo hata yasiyostahili kukuzwa jamani!
Baadhi ya wauza magazeti huwa wanayageuza magazeti yao ili yasipaushwe na jua upand wa mbele.
 
Duuuuh ndo maana leo kwenye mgawo wetu sijaliona, ngoja nichomoke nikasake mtaani.
 
Humu javini ikiandikwa habari ya Udini au habari ya kumponda/kumsifia Dr. Silaa kuna wanajf wanakasirika/wanafurahi, vile vile habari mbaya inayomhusu Mh. h.c Dk. Kikwete kuna wanaokasirika au wanaofurahi. Lkn niwaambie jinsi utavyoendelea kuchangia ujue ndio hiyo habari itaendelea kuwepo.
 
Watu wengine bwana??
 
Vichwa vinasema hivi;

Kikwete tumbo moto.

  • Ahofia mtandao wa wikileaks
  • Alikutana na Frazer mara nyingi.
  • Hoseah azidi kumpasua kichwa.
kuna mtu kampima presidaa temperature ya tumbo au ndio ushabiki maandazi
 
Tunapenda sana kusisimua mambo hata yasiyokuwepo. Je wauza magazeti wote hapo Mwenge ndio wamefanya hivyo ama umemuona Albino mmoja tu kafanya hivyo basi imeishakuwa ni 'Jitihada zao kulihujumu'? Wangesubiri mpaka lifike kwa Ndugu yetu alibino?? Tusipendeze sana kukuza mambo hata yasiyostahili kukuzwa jamani!
Baadhi ya wauza magazeti huwa wanayageuza magazeti yao ili yasipaushwe na jua upand wa mbele.

kwa hiyo mbona kafanya kwa mwanahali tu?
 
huku mwanza tumeshalisoma kitaaaaaaaaaaambo!

"Zitto for Sale" wasiliana nasi kwa namba 022 666666666,usichelewe wanunuzi ni wengi.
 
kama kilango alipata tuzo ya mwanamke jasiri,napendekeza si ubalozi wa marekani bali watanzania kuandaa tuzo ya vyombo vya habari jasiri
 
acid hiyo ni lugha ya picha na moja ya namna ya kufikisha ujumbe kwa umma kwa rahisi zaidi

Mwache inaonekana wakati watu wanasoma Riwaya na tamsilia alikuwa anakacha vipindi vya kiswahili akidhani akiongea kiswahili cha kikwere na kizaramo anajiona anajua,... Leo kaumbuka jamvini!
 
Back
Top Bottom