Elections 2010 Nilichokiona kwenye mikutano ya Dr. Slaa

Its time for change, Dr Slaa anaweza Tunamwamini anaweza na tunamhitaji. Katika wagombea waliopo ulingoni namuona ndo anafaa zaidi kuliko wengine kutokana na uwezo wake wa kujenga hoja na kiutendaji.

Tumpe kura october 31, akishindwa tunawengine watajitokeza tunampiga chini, lakini imani ataweza. Ikulu hakuna mwenyewe wakuu, hata mimi naweza kuingia nakuongoza kama watz watanikubali.
 
My take
---> Kukubali kwamba watu wanapenda mabadiliko it is obvious
---> Kuelewa kwamba CHADEMA isipopata 30% ya kura za urais kwamba sio udhaifu wa Dr. Slaa bali ni kwamba people needs to process and assess credibility of changes they want to make.
---> Personally I won't give CHADEMA presidencial vote, b'se they were not serious in picking up the running mate, also they will not able to form government even if Dr. Slaa be a president per our current constitution zaidi ya kwamba watakwamishwa na chama kitakachokuwa na wabunge wengi which is obvious CCM.
--->Kura ya Mbunge na Diwani yes nitawapa wapinzani b'se I need them to build that credibility to be given vote for change.
--->Indeed kuipa CHADEMA urais sasa ni kuamini only one person can run a country... bila kuwa na nguzo nyuma!

Mbona unajichanganya mwenyewe. Hao wabunge na madiwani unawapa kura za nini kama hawawezi na kama wanaweza kwa nini udhani mtu mmoja tu ataendesha nchi? Tafakari. Chukua hatua........ Saa ya ukombozi ni sasa. VOTE FOR DR. SLAA
 
Kasheshe,

..call me crazy, but I have been dreaming of the day when our President would come frm a party that does not have a majority in the parliament.

..mwanzo nilikuwa naomba CCM wa-lose majority of the seats, lakini inavyoelekea ni rahisi zaidi, in the near future, kwa vyama vya upinzani kupata Raisi, kuliko majority ya bunge la muungano.

..naamini mfumo wetu wa utawala na bunge utafanya kazi vizuri zaidi ikiwa Raisi atatoka kwenye chama kisicho na majority bungeni, au tukiwa na situation ambapo the majority is very slim in the parliament.

..uchaguzi huu kura yangu ya Uraisi ni kwa Dr.Wilbroad Slaa.
Mkuu umenigusa penyewe wala sina la kuongezea.

Kuhusiana na mada hii mwandishi kanivuta pale aliponipa hadithi ya Mama muuza ndizi na kitu kimoja tu kimeniacha hoi...
Katika imani yangu ya Watu na Mazingira, mkuu wangu alipokula ndizi nne alimuuliza yule mama kama anajua amekula ndizi ngapi yeye akifikiria kwamba mama hakuona kumbe huko kwetu mashambani wakulima huhesabu maganda ya ndizi baada ya wewe kula hawana haja wala sababu ya kulinda au kukutazama unafanya nini..

Hali hiii ipo hata katika maamuzi mengi ya kimaisha. Watu wa vijijini sii wajinga kama JK anavyofikiria. wao wamemwachia akifanya anayofanya wanasubiri tu kuhesabu maganda. Na siku ya kura CCM na JK watashangaa kupewa gharama ya madudu waliyoyafanya kwa sababu walifikiria wananchi wa vijijini hawaoni...
 
Mkulu umefanya tathmini na kuiwasilisha kwa umahiri uliotukuka, ila tu kwenye kutafsiri ile nukuu ya msemo "Its choice - not chance" nadhani tafsiri sahihi ni "ni chaguo- si bahati". kama unaweza kuedit tafadhal ili utamu wa thread yako utiririke hadi mwisho.

Laiti uandishi wa aina hii ungekuwepo kwenye magazeti mengi mabadiliko ya kifikra yasingekuwa magumu. Bravo.
 
WATU WANAOKUBALI KUDANGANYWA HAWANA MAONO JUU YA MAISHA YAO WENYEWE," Arch bishop Dr. Mokiwa, ACT
msidanganyike, twendeni kupiga kura.
 
Key message thanks!!!

Kuna kitu kimoja tu niwaongezee, kwamba although watu hawapendi changes/mageuzi kwenye mambo mbalimbali kiasili. Watu hao hao wanapenda mageuzi kwenye siasa sana!

Mfano ukiangalia jina la chama kinaitwa CCM litakueleza kwamba always in politics people like changes.... but they need realiable change ... not change b'se it is change!!!

Dr. Slaa ni tumaini katika kuona hizo changes, and people listen carefully to ensure reliability of change promised!!! Of course washabiki wanaenda mbali zaidi kuamini tayari wasikilizani wameshakubali!!! well a certain percentage yes, but still majority will need be assured whether promised changes will is reliable and credible.

Mfano wa kuonyesha wananchi wanapenda mageuzi ni wazee walikuwa wamefanya makubwa kwenye majimbo yao kama Mzee SJM, lakini akaondolewa na kijana... walifanya hivyo tu pale walipogundua kijana ana uwezo, na walifanya hivyo sio kwa sababa Mzee SJM hakuwa ana-uwezo no, it was b'se changes in politics is inenvitable.

My take
---> Kukubali kwamba watu wanapenda mabadiliko it is obvious
---> Kuelewa kwamba CHADEMA isipopata 30% ya kura za urais kwamba sio udhaifu wa Dr. Slaa bali ni kwamba people needs to process and assess credibility of changes they want to make.
---> Personally I won't give CHADEMA presidencial vote, b'se they were not serious in picking up the running mate, also they will not able to form government even if Dr. Slaa be a president per our current constitution zaidi ya kwamba watakwamishwa na chama kitakachokuwa na wabunge wengi which is obvious CCM.
--->Kura ya Mbunge na Diwani yes nitawapa wapinzani b'se I need them to build that credibility to be given vote for change.
--->Indeed kuipa CHADEMA urais sasa ni kuamini only one person can run a country... bila kuwa na nguzo nyuma!

Big, Big mistake, Huge.....................!!!!!
 
article imenivutia sana.......umeenda katika uchambuzi zaidi ya matumizi ya hisia, umejiuliza kwa nini, umeangalia ukaona ukasikia ukaongea pia!

change is inevitable!
 
Kaka nimekusoma! Ninatamani sana watu wengine nao wangepata walau nafasi yakupitisha macho yao kwenye makala haya! Ujumbe umefika!
 
[/COLOR]

Mbona unajichanganya mwenyewe. Hao wabunge na madiwani unawapa kura za nini kama hawawezi na kama wanaweza kwa nini udhani mtu mmoja tu ataendesha nchi? Tafakari. Chukua hatua........ Saa ya ukombozi ni sasa. VOTE FOR DR. SLAA

mkuu ndo maana tunasema ukiwa CCM unakuwa kama kipofu, unafikiri wakati wote kuwa magari yapo kama tembo, na wananchi wote wanaona unachoona kwa sababu umekisema ukiwa serious...........Kasheshe amejichanganya!
 
Key message thanks!!!

My take
---> Kukubali kwamba watu wanapenda mabadiliko it is obvious
---> Kuelewa kwamba CHADEMA isipopata 30% ya kura za urais kwamba sio udhaifu wa Dr. Slaa bali ni kwamba people needs to process and assess credibility of changes they want to make.
---> Personally I won't give CHADEMA presidencial vote, b'se they were not serious in picking up the running mate, also they will not able to form government even if Dr. Slaa be a president per our current constitution zaidi ya kwamba watakwamishwa na chama kitakachokuwa na wabunge wengi which is obvious CCM.
--->Kura ya Mbunge na Diwani yes nitawapa wapinzani b'se I need them to build that credibility to be given vote for change.
--->Indeed kuipa CHADEMA urais sasa ni kuamini only one person can run a country... bila kuwa na nguzo nyuma!

Mkuu Kasheshe tatizo langu CCM hawakuwa makini katika kuchagua mgombea URAIS na sio mgembea mwenza
 
CCM wana pesa

Wana pesa za kuwalipa mamluki wakaja huku na kutuchafua kwa hoja zao za kipuuzi, zisizo na nguvu wala msingi. Nawaita "agent provocateurs"!

Wana pesa za kuzilipa NGO "feki", kama REDET, kutoa ripoti za utafiti "hewa", kuonesha kwamba JK anakubalika, huku wakiujua ukweli!

Wana pesa za kukodisha mabasi na malori, ya kuwapeleka "wapiga debe na washangiliaji" kwenye mikutano ya kampeni za JK!

Wana pesa za kuwalipa vijana wasio na kazi kushika mapanga, sime na mawe, kwenda kuwashambulia wagombea ubunge wa CHADEMA na vyama vingine vya upinzani.

Wana pesa za kuweka mabango huku na kule, kila upitapo, barabarani, hata kwenye kuta za nyumba zetu.

CCM wana pesa.

Lakini CCM hawana vitu hivi:

Hawana mapenzi ya watu, wanaofurika kwa mamia na maelfu, kwenye mikutano ya Dr. Slaa na wagombea wengine wa CHADEMA!

Hawana utashi wa watu walioamua, kufa na kupona, kumpigia kura Dk. Slaa, na KUZILINDA kura hizo zisichanganywe na zile feki, usiku, wakati wa kuhesabu kura kwenye vituo.

Hawana uamuzi wa watu walioamua kuichangia na kuisaidia CHADEMA, kwa hali na mali.

Hawana kauli ya watu wanaolalama, huku na kule, wakiilaani Serikali (ya CCM) na kiongozi wak (JK), kwa kuwapuuza, kuwanyanyasa na kuwadhihaki, miaka nenda rudi, wakitoa ahadi zisizotekelezwa na zisizotekelezeka.

Hawana kionambali cha watu wanaotaka mabadiliko, baada ya kushinda juani kutwa, wakilala sakafuni usiku, miaka nenda rudi, na baada ya utawala wa miaka 50, wamesema, SASA NI ZAMU YETU!

Tanzania itarudi mikononi mwa Watanzania, CCM walikubali hili... vinginevyo, kitachachotokea WATAKUWA LAWAMANI!

-> Mwana wa Haki
 
Mkulu umefanya tathmini na kuiwasilisha kwa umahiri uliotukuka, ila tu kwenye kutafsiri ile nukuu ya msemo "Its choice - not chance" nadhani tafsiri sahihi ni "ni chaguo- si bahati". kama unaweza kuedit tafadhal ili utamu wa thread yako utiririke hadi mwisho.

Laiti uandishi wa aina hii ungekuwepo kwenye magazeti mengi mabadiliko ya kifikra yasingekuwa magumu. Bravo.

Hili nimelisoma katika gazeti la raia mwema la tar 6/10/2010

Ni makala yenye mvuto na ukweli mzito. Kuna kitu kinatake place, kuna siku kitadhihirika. Let us wait for it.
 
CCM wana pesa

Wana pesa za kuwalipa mamluki wakaja huku na kutuchafua kwa hoja zao za kipuuzi, zisizo na nguvu wala msingi. Nawaita "agent provocateurs"!

Wana pesa za kuzilipa NGO "feki", kama REDET, kutoa ripoti za utafiti "hewa", kuonesha kwamba JK anakubalika, huku wakiujua ukweli!

Wana pesa za kukodisha mabasi na malori, ya kuwapeleka "wapiga debe na washangiliaji" kwenye mikutano ya kampeni za JK!

Wana pesa za kuwalipa vijana wasio na kazi kushika mapanga, sime na mawe, kwenda kuwashambulia wagombea ubunge wa CHADEMA na vyama vingine vya upinzani.

Wana pesa za kuweka mabango huku na kule, kila upitapo, barabarani, hata kwenye kuta za nyumba zetu.

CCM wana pesa.

Lakini CCM hawana vitu hivi:

Hawana mapenzi ya watu, wanaofurika kwa mamia na maelfu, kwenye mikutano ya Dr. Slaa na wagombea wengine wa CHADEMA!

Hawana utashi wa watu walioamua, kufa na kupona, kumpigia kura Dk. Slaa, na KUZILINDA kura hizo zisichanganywe na zile feki, usiku, wakati wa kuhesabu kura kwenye vituo.

Hawana uamuzi wa watu walioamua kuichangia na kuisaidia CHADEMA, kwa hali na mali.

Hawana kauli ya watu wanaolalama, huku na kule, wakiilaani Serikali (ya CCM) na kiongozi wak (JK), kwa kuwapuuza, kuwanyanyasa na kuwadhihaki, miaka nenda rudi, wakitoa ahadi zisizotekelezwa na zisizotekelezeka.

Hawana kionambali cha watu wanaotaka mabadiliko, baada ya kushinda juani kutwa, wakilala sakafuni usiku, miaka nenda rudi, na baada ya utawala wa miaka 50, wamesema, SASA NI ZAMU YETU!

Tanzania itarudi mikononi mwa Watanzania, CCM walikubali hili... vinginevyo, kitachachotokea WATAKUWA LAWAMANI!

-> Mwana wa Haki

Mkuu,
Hili ungeileta kama thread mpya, naiona imekaa vizuri ikiwa mpya ilituichangie kivyake.
 
Sinaga historia ya kusoma article ndefu hivi, but leo hii yako nimeiona fupi, as if I was listenin to Dr. Slaa..,
It touches...)))
 
Ok
sasa nenda kwenye mikutano ya SiSieMu uone jinsi inavyoboa! hasa wakati wa hotuba!
 
Key message thanks!!!

Kuna kitu kimoja tu niwaongezee, kwamba although watu hawapendi changes/mageuzi kwenye mambo mbalimbali kiasili. Watu hao hao wanapenda mageuzi kwenye siasa sana!

Mfano ukiangalia jina la chama kinaitwa CCM litakueleza kwamba always in politics people like changes.... but they need realiable change ... not change b'se it is change!!!

Dr. Slaa ni tumaini katika kuona hizo changes, and people listen carefully to ensure reliability of change promised!!! Of course washabiki wanaenda mbali zaidi kuamini tayari wasikilizani wameshakubali!!! well a certain percentage yes, but still majority will need be assured whether promised changes will is reliable and credible.

Mfano wa kuonyesha wananchi wanapenda mageuzi ni wazee walikuwa wamefanya makubwa kwenye majimbo yao kama Mzee SJM, lakini akaondolewa na kijana... walifanya hivyo tu pale walipogundua kijana ana uwezo, na walifanya hivyo sio kwa sababa Mzee SJM hakuwa ana-uwezo no, it was b'se changes in politics is inenvitable.

My take
---> Kukubali kwamba watu wanapenda mabadiliko it is obvious
---> Kuelewa kwamba CHADEMA isipopata 30% ya kura za urais kwamba sio udhaifu wa Dr. Slaa bali ni kwamba people needs to process and assess credibility of changes they want to make.
---> Personally I won't give CHADEMA presidencial vote, b'se they were not serious in picking up the running mate, also they will not able to form government even if Dr. Slaa be a president per our current constitution zaidi ya kwamba watakwamishwa na chama kitakachokuwa na wabunge wengi which is obvious CCM.
--->Kura ya Mbunge na Diwani yes nitawapa wapinzani b'se I need them to build that credibility to be given vote for change.
--->Indeed kuipa CHADEMA urais sasa ni kuamini only one person can run a country... bila kuwa na nguzo nyuma!

Mubezi, hongera,
wanaJF they are happy with such a best, wonderful, true article.
it touches my heart, soul, spirit, mind, i repeat a couple of time an i saved for my reference, oooh God...!!!!!! nikasema moyoni huku tears almost coming out, wana wa israel wanapata taabu na mateso Misri, god help them, DR ndiye atatuvusha bahari turudi kwetu, yaani Tz iliyo na neema kwa wote, na tutashinda, WATU HAWA WA CCM NI WACHACHE, MSIJALI, NA WENGINE WANATUUNGA MKONO DAY AFTER DAY, FOR 50 YRS SASA BASIIIIIIIII, CCM MAFISADI, MAJAMBAZI, CHAMA CHA WANAFAMILIA, WANYONYAJI, WAFANYABIASHARA, WANATUDIDIMIZA KILA SIKU, WANA VX V8 WANA FULL VIYOYOZI, AHADI KIBAO ZOTE ZERO, ILA 31 OCT KUNA KITU KITATOKEA, TUNAACHANA NA UTUMWA BYEEEE, CHANGE FOR TZ, DR GOOOOOOOOOOOOOO, songa mbele kanyaga twendeeeeeeeee ikidi hadi mbinguni tutafika,

ww Kasheshe, my free advice, look ur self, kama uashibia CCM is ok, mpe Jk,
lakini labda umeshiba mwenyewe, je wazazi wako, ndugu zako, shangazi, shemeji., umpendaye, wa wale wote unaowapenda, hali zao zikoje? bila kunijibu hali za WATz inajulikana usinidanganye, ni hohe hahe, ngumu, leo ikipita hajui kesho itakuaje for everything, endelea kwa kutokujua kuwaharibia maisha hao niliowataja, wake up man, let's be one, ur last sentance it shows me how sleeping or duwanzi ulivyo. wake up, wake up, narudia if ur beneficiary of CCM then don't waste my time ciao.
 
Key message thanks!!!

My take
Personally I won't give CHADEMA presidencial vote, b'se they were not serious in picking up the running mate, also they will not able to form government even if Dr. Slaa be a president per our current constitution zaidi ya kwamba watakwamishwa na chama kitakachokuwa na wabunge wengi which is obvious CCM

Hivi ni mbunge gani serious wa CCM atabaki CCM pindi Dr. Slaa akishinda........? Imagine inafanyika amendment kwenye constitution kuwa mbunge akibadilisha chama hapotezi ubunge wake, then CCM inamong'onyoka yote.........inabaki CCM-mafisadi wakisubiri kesi mahakamani.
 
Back
Top Bottom