Nilichokiona Fiesta Kahama.. Ujinga ujinga tuu

Hahahaa! Watu wa mikoani bhana... utasikia, "Oh, hiyo Singeli itabamba huko huko kwa Wanaume wa Dar... muziki gani huu!" Hadi sasa ishadhihirika Wasukuma mnashikwa mmoja baada ya mwingine... tunasubiri feedback kutoka kwa "wagumu" wa A-City sasa!!
fiesta haiji kwa sisi wagumu mwaka kama wa nne huu
 
Kichwa cha habari kilipaswa kisomeke "Sholo Mwamba geu,chuma,steel wire,Man Fongo,na Msami walifunika Kahama"
 
Hahahaa! Watu wa mikoani bhana... utasikia, "Oh, hiyo Singeli itabamba huko huko kwa Wanaume wa Dar... muziki gani huu!" Hadi sasa ishadhihirika Wasukuma mnashikwa mmoja baada ya mwingine... tunasubiri feedback kutoka kwa "wagumu" wa A-City sasa!!
Tamasha la fiesta haliwez kufanyika arusha asee uku ni wagumu kweli kweli (in magufuli's voice )
 
Are you serious? Fiesta ya mwisho kulizuka mtiti; au?!
fiesta ya mwisho nahic ilikuwa 2011 tena ilifanyika sa nne asubuh ila iliisha sa nne watu walibakwa wengne kuibiwa ilifanyika shekh abeid stadium kuanzia hapo ruge na wenzake waliapa kutoileta huwa inaturuka inaenda moshi..kuhusu ugumu na ubabe hatuigiz ni jadi ndo mana matamasha yetu ni jcb...chindo..waturutumbi..fidoooo...na wagumu kama hao mana tunawezana kuanzia mwanzo wa shooo mpaka mwisho kijiti kinawashwa
 
Nyie bhana nilipowaona hamna lolote ilikuwa 2012! Baada ya mfululizo wa ubabe wa serikali ya CCM Arusha, mkapiga bonge la mkwara kwamba JK hana ubavu wa kunusa A-Town, na akikanyaga tu, lazima mumpopoe mawe!! Mi nikaona YES, ngoja tuone machali wa A-Town! Hee!! Siku ya siku JK anatimba Arusha... e bhana eh! Si nyomi hilo!
A-Town.png

A-Town 2.png

Tangu hiyo siku, nimeacha kabisa kuwaamini machalii wa Arusha...!! Tena Mkuu Shark anadai Singeli inabamba kishenzi pande hizo...!! Sema kwenye mmea, mpo vizuri na kama ugumu wenyewe ni kwenye kula mmea, basi sawa ingawaje huku kitaani kwetu nako, mnh... utafikiri nchi haina sirikali!!
 
View attachment 389111
View attachment 389112

Tangu hiyo siku, nimeacha kabisa kuwaamini machalii wa Arusha...!! Tena Mkuu Shark anadai Singeli inabamba kishenzi pande hizo...!! Sema kwenye mmea, mpo vizuri na kama ugumu wenyewe ni kwenye kula mmea, basi sawa ingawaje huku kitaani kwetu nako, mnh... utafikiri nchi haina sirikali!!
kuhusu siasa kiukweli hakuna wakumzuia kiongoz yyte wa nchi kufika arusha na pia arusha wanaccm wapo kwahyo kujaaa kwa watu isikufanye utuondolee uhalisia wetu pia jua kuwa ccm na serikal huwa natabia yakusomba watu.

turud kwenye point kuhusu burudan arusha tunamiziki yetu kwakweli hiyo singeli sijui kiduku huku haibambi tarabu ipo lakn si kivile
 
Ukipitia viota vya burudani Arusha kuanzia Empire, Pin point,Sky lounge, tripple A,Zest na hata Club D ikipigwa nyimbo ya Man Fongo utasikia shangwe kubwa afu still wanasema hawapendi Singeli
 
fiesta ya mwisho nahic ilikuwa 2011 tena ilifanyika sa nne asubuh ila iliisha sa nne watu walibakwa wengne kuibiwa ilifanyika shekh abeid stadium kuanzia hapo ruge na wenzake waliapa kutoileta huwa inaturuka inaenda moshi..kuhusu ugumu na ubabe hatuigiz ni jadi ndo mana matamasha yetu ni jcb...chindo..waturutumbi..fidoooo...na wagumu kama hao mana tunawezana kuanzia mwanzo wa shooo mpaka mwisho kijiti kinawashwa
Acha uzushi wewe !inajulikana country wide kama sio world wide kuwa watu wa Arusha hata ngoma ya kwa maana ya midundo ya jadi hawana !wao ni kupiga makelele kama wako msibani na kurukaruka mdio ngoma zao !watavutiwaje na mitrindimo ya fiesta ?
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom