FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,108
- 13,346
Kama pale Mwanza mjini wamejaa wachagga kibao wanarun biashara pale.. Mpaka yale mabasi yao waliyokuwa wanayapenda ya Kisbo ni ya north empire, Bar na Hotels na Hardware nyingi tu ni za north empire..Hii ni kweli tupu Mwanza wapo strategically potential lakini bado sana kwenye resources exploitation hawajautilize ipasavyo ukilinganisha na kaskazini empire ambao wapo mbele sana in every sector on top of that pia ni runners wa uchumi wa Mwanza yenyewe.