Nilibebeshwa msalaba kwa ajiri ya maslahi ya chama na nikaubeba leo hii eti......?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Kukiwa na sintojua ndani ya CCM hasa CC juu ya hatua gani zichukuliwe kwa makada nguli wa CCM wanaonekana ni mzigo mkubwa kwa chama imefika mahali CC imekaa mara mbili bila ya kupata muafaka juu ya nini kifanyike ili kutimiza lengo lilotangazwa hapo awali na msemaji wa chama cha CCM Nape Mnauye baada yakusema CCM itatoa maamzi magumu ya kuwavua gamba wale wote ambao wakashifa ndani ya serikali na chama,

Baade Mbunge wa Igunga Rostam Aziz alijiudhulu ubunge wa chama hicho kwa madai ya Siasa uchwala,

Katika ya safu iliyotajwa ilikuwa ni Mbunge wa Bariadi Anderw Chenge,Mbunge wa Monduli Edward Lowassa,Katika hali isiyo yakawaida imeonekana wananguvu kubwa kichama hadi CC kushindwa kuwatolea maamzi ya kuwavua gamba hadi sasa!

Habari kutoka Dodoma zilisema Edward Lowassa alisikika kwa watu wakaribu kwamba yeye alibebeshwa msalaba na akakubali kuubeba leo hii eti wanataka kumfukuza kwenye chama ngoja nione huyo ninani mwenye uwezo huu nakama ni mbinu chafu basi tusubiri tuone kama kutabaki salama!

Vyanzo visivyokuwa rasmi:
 
Back
Top Bottom