Nilianza mwaka kwa kufumaniwa.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,457
154,324
Ni tarehe ishirini na sita mwezi wa kumi na mbili mwaka jana, kwa kizungu boksing dei, anaingia msichana mrembo kutoka Sydney Australia. Alikuwa huko kwa ajili ya masomo, ni mwanasheria na amehitimu shahada yake ya pili na sasa amerejea nyumbani.
Siku hiyo mi nlikuwa kijijini kwetu Kamsamba wilayani Mbozi mkoani Mbeya, hivyo basi sikuweza kwenda kumpokea.
Tarehe 31 jioni na mimi nikawa naingia dar es salaam kwa basi la Okoa linalofanya safari zake kati ya Tunduma na Dar. Kituoni Ubungo nilimkuta mrembo wangu aliyekuwa Sydney amekuja kunipoa.
Ilikuwa ni siku ya furaha kubwa sana kwangu. tukaenda nyumbani kwangu mitaa ya Mwananyamala kwa Manjunju, tukakaa huko hadi saa nne usiku ambapo nikamrudisha kwao Mbezi Beach. huku tukipeana ahadi za mimi kwenda kumchukua kwao kesho yake saa nne asubuhi.
kesho yake mzee nikatimba hadi kwao, nikapaki kimkweche changu nje ya geti lao nami nikazama ndani.
Tukawa tumejinafasi tukifurahia mahaba yaliyojaa umaridadi na ujuzi wa kamsamba na ule wa sydney. Riha zikatuzidia, sikumbuki hata ni muda gani vivazi vikawa vimetuponyoka.
katikati ya mchezo, tukiwa hapo sebuleni, mara tukaona mlango umefunguliwa, huku mzee mrefu mwenye misuli mikubwa ya kimazoezi akiwa amesimama mbele yangu.
Niliinuka, nikatoka nduki sijui nilifikaje kwetu Mwananyamala.
Usiku ndipo nikakumbuka kuwa nimeacha gari langu Mbezi Beach.
kweli huu mwaka niliuanza kwa staili ya tofauti sana.
 
ina maaana wewe ndo ulikuwa mwiziiii.... au njemba lilokukuta unamega ndo jizi...
mmie nahis wewe ulikuwa magendo...ingekuwa unakula vyako usingetoka mbio na kyupi mkononi...!!:welcome:
 
Huyo jamaa alikuwa ni dingi wake demu, ndo maana nikatoka nduki
ina maaana wewe ndo ulikuwa mwiziiii.... au njemba lilokukuta unamega ndo jizi...
mmie nahis wewe ulikuwa magendo...ingekuwa unakula vyako usingetoka mbio na kyupi mkononi...!!:welcome:
 
Pole sana,vipi ulienda kulichukua hilo gari au ndo liko huko hadi leo?Next time mchukue mpeleke kwako bwana,au nako unaogopa usijefumaniwa na koloni lingine???:eyeroll1:
 
Yaani wewe hueshi vituko. Ukafanyaje sasa na gari liko mbezi wewe uko mwananyamala?? Nguo ulivaa saa ngapi???
 
Funguo niliziacha mezani, bibie akaniletea gari usiku, tukakaa na kuanza kureview kisa kilichotokea mchana wake.
Pole sana,vipi ulienda kulichukua hilo gari au ndo liko huko hadi leo?Next time mchukue mpeleke kwako bwana,au nako unaogopa usijefumaniwa na koloni lingine???:eyeroll1:
 
hahahaha.... umenunua goli moja kwa gari lako....! Sasa tuseme nani kafungwa, na ni ngapi kwa ngapi?
 
ah ah ah uncle chelulute ukome!Tena ntakata na hiyo dudu kabisa maana unaichezea ovyo.
 
Jamaa angechezea kichapo, na kuswekwa rumande.
hata baada ya kutoka huko angeenda na washenga posa yake ingepigwa chini.
ni mzazi gani mwenye kutaka mkwe mroho wa uchi hadi akashindwa kujizuia tamaa zake za mwili?
ungtuliza tu...ule kichapo kwanza... afu next tym unarudi n washenga..unatngaza ndoa...!utapea mke bila mahari!!
 
Jamaa angechezea kichapo, na kuswekwa rumande.
hata baada ya kutoka huko angeenda na washenga posa yake ingepigwa chini.
ni mzazi gani mwenye kutaka mkwe mroho wa uchi hadi akashindwa kujizuia tamaa zake za mwili?
mie nahisi aliamua kuwa 'muwazi' zaidi... wakwe wajue binti yao anaenda kutumika ka greda la city...!!
 
Kaka nakushauri uuze gari lako.
kama unashindwa kulitumia gari lako kama ufisi ya kupunguza mihemko ya kihasarahasara basi hilo gari halina kazi.
back to the point, umesha maliza msala na wakwe zako?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom