Nilianza mbele

nickname

JF-Expert Member
Dec 20, 2009
544
147
Nilianza mbele kama kawaida! lakini akawa amechoka,nikamgeuza nyuma akawa analalamika mmh!,jasho likaanza kumtoka...

...nikataka nimuweke style nyingine ili nimuwekee mashine lol! Si akaanza kulia,ikabidi nimuache.Kweli kumnyoa nywele mtoto mdogo kaazi sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom