Niliahidi kuja Tz...mh! nilioyaona!

Hahahahahahhaaaaaaaa,kweli ana KIRANGA huyooo,ndevu 8
Waacheni wabwate, wengine safari ndio wanaanza na walikuwa hawana ndoto hata za kutoka kijijini kwao. Kwa hiyo hata the basics of netiquette na decorum hawajui.Unasoma thread unaona kabisa huyu mtu katoka chini ya jiwe. Wewe unasafiri unaenda mpaka bongo ndiyo unajua kuna tatizo la umeme? Huna utashi au internet?Au ndiyo kutukoga tu siye wengine kina Kakamiye?
 
Jf bwana ina mambo. siku jokes kila juwakaa sio siasa sio intelligence kila sehemu watu wanapos jokes tu
 
mpenzi hujambo.......lini tunaenda ile hanemuni ili nitoe thread mapema kabla hujachakachua......maana samtaim sikuamini ujue

dah! Laazizi! Nilikuwa naumwa lakini afazali umetokea nimepona! khaaa! mapenzi ni ugonjwa wajameni! tusubiri hiki kiama feki part 2 kipite halaf tukajitawanye boznia!
 
Haya humu naamini watamsema sana!
Maana kuna msamaria mmoja kwenye jukwaa la Love Connect ameahidi kusaidia mpz bila ku-do! Huko wamemuandama ...najiuliza sipati jibu. Kwani kuna wasi wasi mtu kuepo huko au kusaidia?
Huyu jamaa nami mara nyingi alisha wahi kuwasiliana nami kwa namba +514 zilianzia hivyo kama sijasahau.
 
ngoja tumpaishe....BULGARIA

soma hapa chini, hii code number si ya msumbiji hii?

Haya humu naamini watamsema sana!
Maana kuna msamaria mmoja kwenye jukwaa la Love Connect ameahidi kusaidia mpz bila ku-do! Huko wamemuandama ...najiuliza sipati jibu. Kwani kuna wasi wasi mtu kuepo huko au kusaidia?
Huyu jamaa nami mara nyingi alisha wahi kuwasiliana nami kwa namba +514 zilianzia hivyo kama sijasahau.
 
Majitu mengne bwana,kwani uliombwa uje huku??2ache na shida ze2 bana,we endelea 2 kupga box huko uliko.
mwambie huyo, porojo nyingi oh boardguard ooh umeme , maji shida, ucjishaue hapa kwan ulikuwa huyajui huko? beba box huko
 
Jamani hamjamuelewa huyo ndugu, kilichomfanya kukimbia baada ya siku 3 ni kukuta mpaka machangudoa wana mikoko aina ya vits, wakati yeye alidhani baiskeli aina ya BMX aliyonunuwa ingekuwa dili, pili alidhani bongo atatingisha kwa pamba, kupita kariakoo mpaka sinza ni pamba za kufa mtu kutoka Thailand sasa kwa nini asikimbie?
Sisi tuko bongo tunapeta na wala hatusumbuliwi na ugonjwa wa home fever. mwacheni arudi huko huko akachakachuwe vibibi vizee na wanawake wasiokuwa na shape, sisi bongo tunakula uroda na vimodel kwa raha zetu.
 
Shosti, klorokwini wameshaidaka hii thread bado aje Lizzy & co, basi hii thread is dead and buried.
Dah! hii sredi kila ukiichakachua nazani ndio unaifanyia favour. Infact nafkiri tunadeserve kupongezwa kwa kuchangia sredi kama hii hata kama ni off topic. Inahitaji ujasiri kweli kucomment kwenye sredi kama hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom