Nilham rasheed

Asante Kimey, nami nakuitikia.

Hivi Avatar naona zimezuwa-baa humu ndani.....lakini wakikuwa wataacha au vipi
 
Bossi Kubwa katangaza kuwa mambo yote kesho. Sasa kazi kwako

Aisee afazali...hivi kule si hakuna avatar? Manake isijekuwa tabu tena.

Mwalimu nimekosa vipindi vyako sana....damn!
 
Asante Kimey, nami nakuitikia.

Hivi Avatar naona zimezuwa-baa humu ndani.....lakini wakikuwa wataacha au vipi
Acha tu mwalimu wengine wana fall in love na signature! Ivi mwalimu hiyo avatar yako hujapata usumbufu? Au wanaogopa "literature Study"? Lol
 
Duh kule kukiwa na Avatar kweli vijana watateketea....:)

(btw siku hizi off topic wapigwa ban........)

Aisee afazali...hivi kule si hakuna avatar? Manake isijekuwa tabu tena.

Mwalimu nimekosa vipindi vyako sana....damn!
 
Acha tu mwalimu wengine wana fall in love na signature! Ivi mwalimu hiyo avatar yako hujapata usumbufu? Au wanaogopa "literature Study"? Lol
Watu wanaogopa kupewa assignment na mwalimu wanaogopa wataambiwa waandike RESEARCH PAPERZ
 
Hii kitu nimeikosa siku nyingi sana. Ngoja niihifadhi hapa manake mwalimu wangu hachelewi kubadili mawazo akainyofoa.

:clap2::clap2::clap2:

The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:

Gaijin (Today)
 
Hahaha Avatar inatisha hii......wanajua hapa tunaweza kuanza kuulizwa ya Shaaban Roberts ikawa tabu, wanajua I don' wanna be a stupid girl

Acha tu mwalimu wengine wana fall in love na signature! Ivi mwalimu hiyo avatar yako hujapata usumbufu? Au wanaogopa "literature Study"? Lol
 
Last edited by a moderator:
Aisee afazali...hivi kule si hakuna avatar? Manake isijekuwa tabu tena.

Mwalimu nimekosa vipindi vyako sana....damn!
Hivi hommie ushaanda ratiba ya masomo? Naomba uweke kipaumbele somo la kiswahili! Mi bado changanya sana!
 
Duh kule kukiwa na Avatar kweli vijana watateketea....:)

(btw siku hizi off topic wapigwa ban........)

Hahaha....aisee si utani!

Hivi hapa tuko ofu topiki? turudi kwenye mjadala. Hivi tunajadili nini hapa?

btw...hiyo avatar yako sijui kama ulishawahi japo kutumiwa PM. Manake vijana hawataki misahafu! LOLZ -
 
Anafaa aanze na sayansi jamii lakini wewe Kimey unafaa unze na kazi ya mkono :p

Hivi hommie ushaanda ratiba ya masomo? Naomba uweke kipaumbele somo la kiswahili! Mi bado changanya sana!

Hahaha....aisee si utani!

Hivi hapa tuko ofu topiki? turudi kwenye mjadala. Hivi tunajadili nini hapa?

btw...hiyo avatar yako sijui kama ulishawahi japo kutumiwa PM. Manake vijana hawataki misahafu! LOLZ -
 
Asprin, Kimey

Hapa topic ni Avatar ya Nilham kwa kuwakumbusha tu :)

Unless of course iwe kazi ya mikono ni somo kuhusu matumizi ya photo shop kupendezesha Avatar na Sayansi Jamii ni somo kuhusu 'namna ya kujipigia debe'
 
Matthew 22:37–39
Jesus said to him, 'You shall love the LORD your God with all your heart, with all your soul, and with all your mind.' This is the first and great commandment. And the second is like it: 'You shall love your neighbor as yourself.'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom