Nilham rasheed

Kuna maombi ya jukwaa mahsusi kwa ambao processor zao bado zina-scan.
Demand ni kubwa sana nashauri Mods wafanye fast tracking.

Naona watu hawalali usiku lakini wanamuota Nilham.
Mwenye dada hakosi shemeji, kazi kwako dada!!!!!!!!!!!!
 
alhamdulillah abuy illa kheyr nashkur.... inshallah iendelee kung'aa mpaka nikiiondoka jf..maana niko matatani tuu ,,,raha hakuna tena...
Amen, Mungu akujaalie hekima na busara utoke kwenye huu utata uwe na raha badala ya kharaha!
 
nilham...watu wakinywa maji wanakuona kwenye glass...usingizi hawapati...wanakuota wewe...lol..mamiee usiwatese wenzako...
 
images

Tell them haters!!
 
Nilham...watu wakinywa maji wanakuona kwenye Glass....usingizi hawapati wanakuota wewe.....lol..Nilham...umetisha...
 
Duh Asprin comment yako kwa mwanzo kwenye thread hii hata kui-quote nimeshindwa, nimeogopa nimeona itanitoa udhu!!! hahahah
 
Duh Asprin comment yako kwa mwanzo kwenye thread hii hata kui-quote nimeshindwa, nimeogopa nimeona itanitoa udhu!!! hahahah

Shkamoo mwalimu wangu. Hivi lile ombi letu ni mpaka tufanye yaliyojiri Cairo?
 
Hahaha Mfadhili anacheki na kudadavua wapi apige "come this way" ogopa sana wafadhili dezaini ya Manji.
Hahahaha!!! Naona anapitia ili aweze kufanya reference vizuri akiingia humu wote mnapigwa vikumbo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom