NILHAM RASHED lini unarudi mpenzi?

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
3,988
1,301

Nakupenda sana mpezni wangu Mungu atakupa shifaa tutaonana kwa furaha.

  1. Si kitu kunipuuza, kwako tamaa sikati
    Kilio sitogeuza, roho yangu mahtuti
    Nilani utavyoweza, lakini sikubanduki
  2. Usirudi japo mwaka, Mimi nitakungojea
    Ukirudi nakutaka, wala sitoona haya
    Moyo wangu meridhika, sichoki kuvumiliya
  3. Wajuwa ninakupenda, ndio maana waniringiya
    . Unanifanyia inda, mapenzi kuyasusiya
    Baada ya hichi kidonda, na moto unakitiya
  4. Anayependa kikweli, hachoki kuvumiliya,
    Habadilishi kauli, hata ukimchukiya
    .

A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
A%20S%20465.gif
true love never die
A%20S%20465.gif
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif

Nimefurahi sana kunitumia ujumbe kuwa umefika salama, najua unanijali sana na elewa nakupenda sana and no words can say how much I love you.
 
I'd still embrace it for I know that in between those thorns, there is a rose that's worth all the pain.
 
Soon and very soon we are going to have her back here.....InshaAllah......subira kidogo my brother,we are almost there.....:roll:
 
Mvumilivu ula mbivu, vumilia tu she will be back, very soon she will be back just keep hangin in there
 
Mvumilivu ula mbivu, vumilia tu she will be back, very soon she will be back just keep hangin in there

Kaka usiombe kuchomeshwa mahindi ni nouma, hivi AD alikusikiliza for how long? unajua mvumbika mbivu hula mbovu lakini?
 
Kaka usiombe kuchomeshwa mahindi ni nouma, hivi AD alikusikiliza for how long? unajua mvumbika mbivu hula mbovu lakini?
I did an extra JOB for AD si unajua wadada huwa wanakuwa na wasiwasi wanahisi tutacheza mioyo yao kwahiyo lazima uchomeshwe mahindi kwanza akupe mtihani fulani aone kama ni kweli au unazuga tu ili mradi
 
Nakupenda sana mpezni wangu Mungu atakupa shifaa tutaonana kwa furaha.

  1. Si kitu kunipuuza, kwako tamaa sikati
    Kilio sitogeuza, roho yangu mahtuti
    Nilani utavyoweza, lakini sikubanduki
  2. Usirudi japo mwaka, Mimi nitakungojea
    Ukirudi nakutaka, wala sitoona haya
    Moyo wangu meridhika, sichoki kuvumiliya
  3. Wajuwa ninakupenda, ndio maana waniringiya
    Unanifanyia inda, mapenzi kuyasusiya
    Baada ya hichi kidonda, na moto unakitiya
  4. Anayependa kikweli, hachoki kuvumiliya,
    Habadilishi kauli, hata ukimchukiya
    .

A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
A%20S%20465.gif
true love never die
A%20S%20465.gif
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif

Bwana Mkubwa usisahau kuandika source ya tungo yako siku nyengine.
 
Labda attention imemtisha...., wengine huwa ni Solitary na tuko scared of attention tusijemfanya akabadilisha ID
 
Mohammed Shossi usijali, Nilhama yuko salama,
Mola ni mwema kula ugali, Usije kufa kwa njaa,
Usiwe na hofu kwa kweli, umpendae yupo salama.

Mmmmh, ngoja nikimbie, manake fani nyingine sio za kuiga.
Msije mkani:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:bureeeeeee
 
I did an extra JOB for AD si unajua wadada huwa wanakuwa na wasiwasi wanahisi tutacheza mioyo yao kwahiyo lazima uchomeshwe mahindi kwanza akupe mtihani fulani aone kama ni kweli au unazuga tu ili mradi

Kama ni hivyo basi nitasubiri tu mkuu maana mie ndio muhitaji..............
 
Mohammed Shossi usijali, Nilhama yuko salama,
Mola ni mwema kula ugali, Usije kufa kwa njaa,
Usiwe na hofu kwa kweli, umpendae yupo salama.

Mmmmh, ngoja nikimbie, manake fani nyingine sio za kuiga.
Msije mkani:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:bureeeeeee

Namshukuru Mungu mwingi wa Rahma maneno yako ni kweli, nimewasiliana nae yupo salama na InshaAllah kesho tutakuwa nae hapa jamvini.
 
Labda attention imemtisha...., wengine huwa ni Solitary na tuko scared of attention tusijemfanya akabadilisha ID

Hapana mkuu Nilham hayupo hivyo ni matatizo tu ya kibinadam alikuwa nayo na aliwaaga watu wote na namshukuru Mungu amerudi salama kwenye matibabu yake na tutakuwa nae hapa jamvini hivi punde.
 
Back
Top Bottom