Nileteeni bili yangu.

Senator p

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
282
43
Kulkua na walevi mlevi akinywa baa,baada ya hapo alienda kwenye part ya harus ya ndugu yke,wakat sherehe imekwisha wakamwambia twende nyumban akawajibu hv;Mimi ni mcha mungu sipend wizi wala kuzurumu niitien muhudumu anipe bili yangu nilipe.Jamaa akan'gan'gania mpka akaletewa bili hewa akalpa.

Ulevi noma.
 
Back
Top Bottom