Nikweli masister du hawapendi watu wajue kama wana watoto?

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
Je nikweli masister du hawapendi watu wajue kama wana watoto? kwani nimelisikia kwenye kituo kimoja cha redio nikaona niweke humu Jf ili masista du na wote mnaowajua masista du mtujuze kama kuna ukweli ndani yake

nawakilisha
 
Mukubwa! Kwani hilo ni la kuuliza? Ni kama vile wauliza msuli (kikoi) Pemba! .
Eeebwanae mimi my Uncle alioa kabisa mke tukijua (akijua) ni fresh kumbe kwao ameacha mtoto na mtoto huyo kuanzia infant alishawekewa a certain protocoal kwamba mamie amwite Aunt.
Aidha mtoto afanyiwapo practise tangu utoto lazima iwe hivyo.
Siri hiyo tumekuja kubaini wakati mtoto wa kwanza kwa mwanamke huyo aliezaa na mjombaangu keshafika form 1 wakati yeye mwanamke firstbone wake yuko UDOM, sasa hii ni moja bt there so much cases abt this circumstance!
 
Asilimia kubwa huwa wanaficha ingawa wapo wachache ambao huwa wakweli.
 
Back
Top Bottom