Nikwa nini wengi wetu tulimtumainia jakaya?kuliko mgombea yoyote

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Mimi najaribu kukumbuka uchaguzi wa mwaka 2005 Kwa jinsi watanzania walivyo kuwa na Imani kubwa kwa Rais J.Mrisho Kikwete kuliko mgombea yoyote yule!Nikwa nini?hatukuwa na imani na wagombes wengine??
Je nikwamba hakuna aliyekua na uwezo wakuongoza?
Je nikwasababu ccm kilikuwa nichama pekee chenye sifa?
Je vyama vilikuwa na ubinafsi au mipango isiyokuwa madhubuti?
Sasa je baada yakukaa miaka 2 mambo yote yaligeuka tofauti na matarajio yetu!
Sasa kwanini baada ya miaka 5 bado tukamrudisha madarakani?Je nikwasababu ya kukosa sifa za wagombea wengine?Mimi nawewe sielewi nikwanini!unafikiri nikwa nini??
 
Back
Top Bottom