Nikueleweje mwenzangu wewe...

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,328
23,879
Jamani ni mkasa umenikumba nami naomba niende straight to the point.
tarehe 15 Aprili nilikuwa safarini, nikakutana naye (u r not 12 years so u know wat i mean)...nikarudi nyumbani..
Jana naona post on my facebook wall, "I'v got important news to tel u, lemmie know when u r online"
Nikamkol akanambia hawezi kuniambia "yet"..
jamani tarehe zenyewe ndo hizi..
nisaidieni, kunaweza kuwa na any other thing kutoa what am thinking right now!???
m so stressed now...:help::help::help:
 
2 wks ago u met mtu safarini,already ana kustress?!mi sijui ushamba utaniisha lini!pole mwaya,labda anataka kubembelezwa akuambie kitu,do ze nidifuli!
 
uko brief mno mpendwa,wengine tuna akili za kushikiwa kama mpini wa ndoo lol,ila i guess unatarajia kuwa baba kila la kheri mpendwa hayo ni mavuno ya ulichopanda usikwepe majukumu,ameogopa kukuambia kwa vile na yeye bado yuko kny 'shock'.....

kama sio mimba inayokustress nisamehe lol
 
okey, ni msichana tulisoma wote miaka kadhaa huko nairobi...juzi nilienda kusalimu ndugu na jamaa...nkakutana naye, i used to like her abit, didnt tek much maneno kumconvince, we did the nidful (and sinful!lol) tena bila...leo hii especially tarehe kama hizi (ladies mnanipata!) ananitumia message ana important news za kuniambia!!!!
cha kuntisha zaidi ni, nkimpigia anapokea na kukata ati hanisikii vizuri...
mmenipata sijui!??
 
Jamani ni mkasa umenikumba nami naomba niende straight to the point.
tarehe 15 Aprili nilikuwa safarini, nikakutana naye (u r not 12 years so u know wat i mean)...nikarudi nyumbani..
Jana naona post on my facebook wall, "I'v got important news to tel u, lemmie know when u r online"
Nikamkol akanambia hawezi kuniambia "yet"..
jamani tarehe zenyewe ndo hizi..
nisaidieni, kunaweza kuwa na any other thing kutoa what am thinking right now!???
m so stressed now...:help::help::help:

Mentor katika red highlighted statement - tel me what u meant pleeease. Cause if you are talking about pregnancy mdada akiamua akupe hio news, hatoi kwa vifungu.
 
uko brief mno mpendwa,wengine tuna akili za kushikiwa kama mpini wa ndoo lol,ila i guess unatarajia kuwa baba kila la kheri mpendwa hayo ni mavuno ya ulichopanda usikwepe majukumu,ameogopa kukuambia kwa vile na yeye bado yuko kny 'shock'.....

kama sio mimba inayokustress nisamehe lol

exactly wat i was thinking, but si aniambie tu!?? ki kweli am nt ready kuwa baba but the suspense is too much, ama unaonaje wewe!??
du kumbe ndani ya 2 wiks unaeza jua....!????
 
Mentor katika red highlighted statement - tel me what u meant pleeease. Cause if you are talking about pregnancy mdada akiamua akupe hio news, hatoi kwa vifungu.

unanfanya nifurahi lakini.....
 
okey, ni msichana tulisoma wote miaka kadhaa huko nairobi...juzi nilienda kusalimu ndugu na jamaa...nkakutana naye, i used to like her abit, didnt tek much maneno kumconvince, we did the nidful (and sinful!lol) tena bila...leo hii especially tarehe kama hizi (ladies mnanipata!) ananitumia message ana important news za kuniambia!!!!
cha kuntisha zaidi ni, nkimpigia anapokea na kukata ati hanisikii vizuri...
mmenipata sijui!??

nimekupata.
Umempa umeneja eeh!
Jiandae kulelea. Wiki mbili unajua kabisa hata vipimo vinaonesha.
 
mhh inaonekana una mshawasha sana!

mshawasha as in hamu ya kuwa baba au!??? nina hamu ya kujua hizo habari zitoke tu kichwani hzi weird thots...amenfanya nihisi ata ni ngoma ama STDs...yani najuta vibaya siku nzima ata sijaenjoy sikukkuu yetu wafanyakazi...!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
nimekupata.
Umempa umeneja eeh!
Jiandae kulelea. Wiki mbili unajua kabisa hata vipimo vinaonesha.

Lakini dada asha kasema kama ni habari hizo mwanamk hakupi nusunusu....
 
mshawasha as in hamu ya kuwa baba au!??? nina hamu ya kujua hizo habari zitoke tu kichwani hzi weird thots...amenfanya nihisi ata ni ngoma ama STDs...yani najuta vibaya siku nzima ata sijaenjoy sikukkuu yetu wafanyakazi...!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
acha mcheche huyo anataka kukusifia jambo fulani,we vuta pumzi si unajua wanawake tunahaya fulani hivi.
 
Mentor au umemdondokea sana unataka awe nayo na hizo zote ni tension ya ku hope anayo....

kwa kweli ni mzuri, mpole and has all those qualities...but sikuwahi kumweka sana akilini as a prospective candidate for me! i used to when i was there (i.e up to 2009) na hapo alikuwa first year first semester mi nikiondoka...! so we never really got to know each other. In the right time and place ningefurahi kama angekuwa na ujauzito wangu..but not now (no uhuni meant)!
hapokei simu yangu tena...this time kagoma! sijui kwa nini imenipa mawazo hivi mwenzenu...
hii part ya "Hpe i ddnt shtua u so much too. so now hata nimechange mind i' cant tel u watsup yet..."
 
exactly wat i was thinking, but si aniambie tu!?? ki kweli am nt ready kuwa baba but the suspense is too much, ama unaonaje wewe!??
du kumbe ndani ya 2 wiks unaeza jua....!????

utumie mpira siku nyengine,mtoto unaweza kulea HIV je???:smile-big:
 
Back
Top Bottom