niko very serious

comson

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
288
41
mimi ni kijana wa kiume (23) natafuta mchumba dini yoyote.... kabila mchaga, awe amfika angalau form six........... umri awe na miaka 18-23.......................................
tuache utani nataka nitumie forum hii kupata great thinker wa kujenga nae family................
 
wachumba hawapatikani internet. Very rare kupata ki2 kinachoeleweka!
 
Unakimbilia nini kuoa chief mbona kama bado ni chalii mdogo sana. Anywei ol the best.
 
Eti nipo seriouse alafu dini yoyote we unajua kucheza sebene la dini tofauti na mpz wako au?Tumsubilie Lizzy labda nae anatafuta mume alie serious kama wewe.
 
mimi ni kijana wa kiume (23) natafuta mchumba dini yoyote.... kabila mchaga, awe amfika angalau form six........... umri awe na miaka 18-23....................................... tuache utani nataka nitumie forum hii kupata great thinker wa kujenga nae family................
mmmh humu utaingia utazinguliwa tu
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom