Niko singo

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,738
155,423
Hivi kwanini mwanamke akimuuliza mwanaume je una mtu huwa anajibu haraka kuwa niko singo, nilisha achwa na yule niliyekuwa naye na sasa niko peke yangu hata kama nyumbani ana mke na pembeni ana nyumba ndogo?
 
Kumbe ndio zenu hizooo, tangu sasa simuamini mtu anayesema yuko singo
 
Natangaza rasmi kwa wanawake wote JF sipo singo ninae wangu kanituliza nafsi yangu mwengine sitamani.....................
 
Halafu ukija zifumania sms zangu za kimapenzi, naanza kukweleza kuwa hao ni wanawake wangu nilio letewa na mizimu ya mababu kwa ajili ya ulinzi shirikishi wa nafsi yangu, na bila ya hao naweza kufa, hivyo basi usiendelee kuniuliza mwaswali mengi. (maneno haya nitakwambia tayari nimesha jivinjari na wewe kama mara 12)
hehehehhhe utanambia uko singo lol... :pop2:
 
Halafu ukija zifumania sms zangu za kimapenzi, naanza kukweleza kuwa hao ni wanawake wangu nilio letewa na mizimu ya mababu kwa ajili ya ulinzi shirikishi wa nafsi yangu, na bila ya hao naweza kufa, hivyo basi usiendelee kuniuliza mwaswali mengi. (maneno haya nitakwambia tayari nimesha jivinjari na wewe kama mara 12)

Hahaaaa! Majibu baada ya kuchakachua! Safi sana.
 
Kaka kweli wewe ni profesheno...
Hii mbinu yako lazima itoe matunda , yaani unaisingizia MIZIMU hivi hivi?
Halafu ukija zifumania sms zangu za kimapenzi, naanza kukweleza kuwa hao ni wanawake wangu nilio letewa na mizimu ya mababu kwa ajili ya ulinzi shirikishi wa nafsi yangu, na bila ya hao naweza kufa, hivyo basi usiendelee kuniuliza mwaswali mengi. (maneno haya nitakwambia tayari nimesha jivinjari na wewe kama mara 12)
 
Maswali maswali yanini bana kwenye infiii?? Gonga kitu unakula kona mambo ya kujuana juana sana hayapo.

We na uzee wote huo ukanikute singo nani kasema??
 
Lakini kumbuka Bujibuji kuwa unatakiwa uulize na other side kwa mwanamke!!!
The same answer utapata kutoka kwao.

Back
Top Bottom