Niko njiapanda Sijielewi Jamani

Huo ni utegemezi wa kihisia mkuu, ni ugonjwa mbaya hakuna hapa duniani na kama ukilazimisha kumuoa huyo Leah atakuendesha kweli kweli kwa sababu anajua wewe ni dhaifu kwake yaani umemfia na hapo ndipo watu husema umelishwa LIMBWATA.Unahitaji kupata ushauri kutoka kwa mtaalamu wa mambo ya mahusiano, nadhani siku hizi vipo vituo vya kutoa huduma hizo.............sina uhakika vipo wapi lakini kama kuna mtu humu anafahamu anaweza kukusaidia...............

Hata haya niliyoyapata kwenye hii thread yanasaidia sana,ingawa nikijua hizo centre itakuwa vizuri zaidi.Mtambuzi,hayo unayoyasema hata mimi hua nawashauri watu wengine.Tatizo moyo
 
Mkuu Michael,
Hilo linawezekana? na kama ndo hivyo dalili zake ni nini? kama lipo tiba yake ni nini?

Ulikuwa na penzi la kweli lenye kufikirika zaidi kuliko uhalisia...mtafute huyo leah just kumsalimia(ikibidi ongozana na huyo wa sasa)...naamini leah uliye naye kichwani siyo huyo utakayemwona leo na unawezajiona mjinga kwa kuhangaika na shati kukuu unaloliveka ubora usiostahili..
 
Hata haya niliyoyapata kwenye hii thread yanasaidia sana,ingawa nikijua hizo centre itakuwa vizuri zaidi.Mtambuzi,hayo unayoyasema hata mimi hua nawashauri watu wengine.Tatizo moyo

Mkuu ushauri tuliokupa hapa ni zaidi ya huo uakaoenda kuupata kwenye hivyo vituo
Zingatia haya na utaona mabadiliko
Ruudi nyumbani kwako jioni ya leo na anza kujiulkza maswali mengi sana kuhusu maisha yako ya kimapenzi
Je unampenda yule uliye nae
Je Leah alikupa nini mpaka amekufanya usimsahau
Je ni haki kumuwaza Leah wakati aliondoka wakati unamuhitaji sana
Je ni haki kumpenda na kumuwaza Leah wakati una mpenzi mwingine anayekupenda kwa moyo wote
Ni haki kutoa penzi lako unalopewa na mpenzi wako kumpa mtu mwingine
Je ungekuwa umeoa je ungemkubali Leah avuruge nzoa yako
Jibu likiwa ni hapana yafanyie kazi maisha yako ya kimapenzi
 
Moria;
Hii pia ni point.I will consider trying it
 
Alafu jamaa yetu alingizwa choo cha kike na Leah! unaweza kuta alikuwa anamegwa nje akija kwa jamaa anaambulia maromance ya kufa mtu, alivyonogewa akajua mchizi ataishtukia labda alimtangazia mie bikra! kumbe hamna kitu.
Labda Freeland atusaidie kama dada alimwambia bikra?
Nikiwa ndio nimetoka huko KIPATIMO na tongotongo zangu za ushamba, nishawahi kupigwa hilo changa la macho, nilijikoki kwa kabinti ka Kimanyema kakaniambia ni Bikra, kumbe pale mtaani kameshagawa na kumegwa hadi tigo mpaka kakawa chuma chakavu, mie acha nihudumie weeeee, acha nichunwe weeeee.... nikijua siku moja nitakula tunda kipya kinyemi, nillipokuja pewa taarifa zake, nguvu ziliniishia................ Hela zangu nilizomhonga ziliniuma kweli.......................... Wanawake hawa bana, we acha tu................

Hii ilimtokea afkiyangu.................LOL
 
Ulikuwa na penzi la kweli lenye kufikirika zaidi kuliko uhalisia...mtafute huyo leah just kumsalimia(ikibidi ongozana na huyo wa sasa)...naamini leah uliye naye kichwani siyo huyo utakayemwona leo na unawezajiona mjinga kwa kuhangaika na shati kukuu unaloliveka ubora usiostahili..
Maneno yako MORIA yamejaa utambuzi uliotukuka................................Huyu jamaa hahitaji tena mshauri nasaha. Ushauri wa hapa JF umejitosheleza.
 
Mkuu ushauri tuliokupa hapa ni zaidi ya huo uakaoenda kuupata kwenye hivyo vituo
Zingatia haya na utaona mabadiliko
Ruudi nyumbani kwako jioni ya leo na anza kujiulkza maswali mengi sana kuhusu maisha yako ya kimapenzi
Je unampenda yule uliye nae
Je Leah alikupa nini mpaka amekufanya usimsahau
Je ni haki kumuwaza Leah wakati aliondoka wakati unamuhitaji sana
Je ni haki kumpenda na kumuwaza Leah wakati una mpenzi mwingine anayekupenda kwa moyo wote
Ni haki kutoa penzi lako unalopewa na mpenzi wako kumpa mtu mwingine
Je ungekuwa umeoa je ungemkubali Leah avuruge nzoa yako
Jibu likiwa ni hapana yafanyie kazi maisha yako ya kimapenzi

  • Je unampenda yule uliye nae- Nampenda lakini sio sana-Inabidi nijifunze zaidi according to ur ushauri
  • Je Leah alikupa nini mpaka amekufanya usimsahau-I don't know
  • Je ni haki kumuwaza Leah wakati aliondoka wakati unamuhitaji sana-Sio sawa
  • Je ni haki kumpenda na kumuwaza Leah wakati una mpenzi mwingine anayekupenda kwa moyo wote-Sio haki hata kibinadamu but uhalisia nilionao sio huo,inabidi nibadilike katika hili.
  • Ni haki kutoa penzi lako unalopewa na mpenzi wako kumpa mtu mwingine-Sio haki
  • Je ungekuwa umeoa je ungemkubali Leah avuruge nzoa yako-Katu nisingekubali lakini ingenisumbua ndo maana natamani kupenda zaidi ya nilivyompenda leah
Asante kwa advice yako
 
majibu yote yanalead kwenye NO
Then yafanyie kazi maisha yako ya kimapenzi na jitahidi sana kurudisha penzi lako kwa yule uliye nae sasa hivi
 
Nikiwa ndio nimetoka huko KIPATIMO na tongotongo zangu za ushamba, nishawahi kupigwa hilo changa la macho, nilijikoki kwa kabinti ka Kimanyema kakaniambia ni Bikra, kumbe pale mtaani kameshagawa na kumegwa hadi tigo mpaka kakawa chuma chakavu, mie acha nihudumie weeeee, acha nichunwe weeeee.... nikijua siku moja nitakula tunda kipya kinyemi, nillipokuja pewa taarifa zake, nguvu ziliniishia................ Hela zangu nilizomhonga ziliniuma kweli.......................... Wanawake hawa bana, we acha tu................

Hii ilimtokea afkiyangu.................LOL

Huyu binti bwana aliniambia wazi kuwa yeye sio bikra ingawa wakati huo mimi nilikua bado.Unajua the way tulivyokuwa pamoja and all the time,it looked like so real.Alikua ananidanganya lakini basi she was so intelligent.
 
Hata haya niliyoyapata kwenye hii thread yanasaidia sana,ingawa nikijua hizo centre itakuwa vizuri zaidi.Mtambuzi,hayo unayoyasema hata mimi hua nawashauri watu wengine.Tatizo moyo
Kaka Mganga hajigangi hata siku moja....................Mimi mwenyewe kuna wakati naweza toka kwenda kuomba TUMBAKU kwa jirani........... Ikiwa maji yamezidi unga. Kumbuka kwamba sisi sio Malaika na kama JF ikitumiwa effectively, itasaidia sana kutatua matatizo mengi ya ndoa na uhusiano ambayo yapo miongoni mwetu. Mwingiliano wa tamaduni na matatizo ya kiuchumi yamesababisha ndoa na mahusiano yetu kupogoka sana, watu hawaaminiani na yale mambo ya Mume kuwa kichwa cha nyumba nayo yameonekana kushtukiwa na wenza wetu.............. Kwa kifupi ni kwamba DUNIA IMEKUWA NI MSONGAMANO.
 
Huyu binti bwana aliniambia wazi kuwa yeye sio bikra ingawa wakati huo mimi nilikua bado.Unajua the way tulivyokuwa pamoja and all the time,it looked like so real.Alikua ananidanganya lakini basi she was so intelligent.

Usimpe Credit banahakuwa intelligent bali alikuwa ni mjinga!
 
Kaka Mganga hajigangi hata siku moja....................Mimi mwenyewe kuna wakati naweza toka kwenda kuomba TUMBAKU kwa jirani........... Ikiwa maji yamezidi unga. Kumbuka kwamba sisi sio Malaika na kama JF ikitumiwa effectively, itasaidia sana kutatua matatizo mengi ya ndoa na uhusiano ambayo yapo miongoni mwetu. Mwingiliano wa tamaduni na matatizo ya kiuchumi yamesababisha ndoa na mahusiano yetu kupogoka sana, watu hawaaminiani na yale mambo ya Mume kuwa kichwa cha nyumba nayo yameonekana kushtukiwa na wenza wetu.............. Kwa kifupi ni kwamba DUNIA IMEKUWA NI MSONGAMANO.

Katika Bold nakubaliana na wewe 100%.Kama hili jukwaa leo limenisaidia kwa kiasi kikubwa ingawa kazi natakiwa niifanye mimi kwa kufanya liberation from my heart and my mind
 
majibu yote yanalead kwenye NO
Then yafanyie kazi maisha yako ya kimapenzi na jitahidi sana kurudisha penzi lako kwa yule uliye nae sasa hivi

Good,Kulirudisha hiyo ndo kazi kubwa zaidi na ngumu na inahitaji kujikataa kaka.I know
 
haya ndio matatizo ya kuanza mambo ya mahusiano ukiwa tayari akili imekomaa. 1st love mara nyingi inapagawisha. kucharuka mapema kuna faida zake, hakuna kupagawishana, mtu akikuzingua, tosa kule songa mbele, hakuna kuwaza wala nini, kwani huyo leah ndio kabeba maisha yako? mwanake umekutana nae na meno ya 32 mdomoni leo anakufanya utake kufukuzwa kazi. hebu songa mbele. hata kama ameanza kukupigia, achana nae..!! hakukufikiria wakati wewe unamuhitaji, sasa leo wa nini. huyo hata ukimuoa atakuchezea akili, amka kijana.
 
maji yakimwagika hayazoleki golden chance uliyonayo sasa usiipoteze utajuta leah anakula maraha mpe mwenzio maraha ukionyesha ushirikiano hata huyo x wako utamsahau kaibisa for good
 
SUMAI,
Thanks, nakubaliana na wewe lakini kanikaa sana Leah,ntajitahidi kumwondoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom