Niko njiapanda Sijielewi Jamani

Kwa mfano wewe ungekuwa umeshaonana na Leah ungekuwa na the same character
Ili kumridhisha uliye nae ungekuwa unamkumbuka kwanza Leah na ndio mambo mengine yapande

ha ha ha ha.Life z really crazy.Nyuma ya pazia kuna mambo mengi sana
 
HAhahahaha tushawahi kulala pale tena kwenye gari hadi saa kumi alfajiri basi likapita ndo wakaturuhusu
Ni noma wale afande wanajifafanya wakatili na wanajali usalama mbaya klumbe wenyewe wanashirikiana na mijamaa huko mbele ya kuwafanyizia watu

Mkuu I'm verry funny, alafu nashangaa hawa jamaa kitufe cha "LIKE" sijui kinamiguu au wanafikiria na sisi tunatumia cm
 
Mkuu Pole sana,

Kila mwanaume amepitia katika issue kama yako.Kwa hio usijichukulie kwamba wewe ni tofauti sana.Unatakiwe kuwa na uwezo wa ku handle difficult times na maisha yaendelee.Sio kila kitu tunachokitaka tunakipata.Wakati mwingine Mungu anatuondolea vitu vizuri tunavyovipenda,sisi tunaona kama anatunyang'anya kumbe anatuepusha na mengi.Kuwa imara jipe moyo,Mwombe Mungu,Utashinda.Mpende Gilfriend wako wa sasa.Rocki amekwambia jifunze kupenda,wanaume tunaweza.
 
Mkuu kama ulikuwepo ni home kabisa!

Leo naona kama kuna katatizo JF kwani mchana niltaka kujiunga nikatumia karibu dakika kadhaa ndio nikawa online JF.

Haya mkuu
Mengine tutafahamishana kwa karibu
Tumsaidie mshkaji hapa aachane na mawazo mgando hayo
 
ha ha ha ha.Life z really crazy.Nyuma ya pazia kuna mambo mengi sana

Ndani ya ndoa kuna mambo, na yote kunahitaji busara yako mwanaume, Kuna siku natoka safari tumbo limenikaza ile mbaya nafika tu mama anataka kumuomba nijpumzishe ugomvi "huna hamu na mimi"

Mzee mzima mbona ilinibidi kuzama Phamacy faster kitu super viagra, kwa mara moja ili nyumba iwe na usalama ndani.

kuwa wangu Freeland ndoa ndoano.
 
Huo ni utegemezi wa kihisia mkuu, ni ugonjwa mbaya hakuna hapa duniani na kama ukilazimisha kumuoa huyo Leah atakuendesha kweli kweli kwa sababu anajua wewe ni dhaifu kwake yaani umemfia na hapo ndipo watu husema umelishwa LIMBWATA.Unahitaji kupata ushauri kutoka kwa mtaalamu wa mambo ya mahusiano, nadhani siku hizi vipo vituo vya kutoa huduma hizo.............sina uhakika vipo wapi lakini kama kuna mtu humu anafahamu anaweza kukusaidia...............
 
Ndani ya ndoa kuna mambo, na yote kunahitaji busara yako mwanaume, Kuna siku natoka safari tumbo limenikaza ile mbaya nafika tu mama anataka kumuomba nijpumzishe ugomvi "huna hamu na mimi"

Mzee mzima mbona ilinibidi kuzama Phamacy faster kitu super viagra, kwa mara moja ili nyumba iwe na usalama ndani.

kuwa wangu Freeland ndoa ndoano.

Mkuu hakujali uchovu wa safari na mambo mengine
Alitaka akuue aise
Umepigizwa kiuno barabarani na unafika home mama anakuambia aise nina hamu na wewe
Yaani unatamani sijue usemeje
na ukiwa na low perfomance ujieleze pia imekuwaje
 
poa mkuu!
Jamaa yetu inabidi akubaliane na hali jinsi ilivyo.

Mkuu bado ni mchanga kwenye mapenzi
Na amekumbana na kisa cha kupendwa mara moja basi akaona kila kitu kiko sawa
Kumbe hakugundua kuna kuachwa na kuacha
na ukiachwa life goes on kama kawaida
 
Mkuu,Ndio ni LEAH. Ukiniuliza ni kipi hasa sitaweza kukisema hasa na hata mimi sikijui ni kipi hasa.Kwa sababu kama ni uzuri wa sura huyu wa saivi kamfunika,tabia jibu sina kwa aliyoyatenda.Lakini moyo wangu unakuwaga na amani na furaha ya pekee ninapokuwa nae hata kabla sijafanya nae mapenzi.Ndo hivo mkuu

Mkuu acha hizo ww, au unataka huyo leah aje tena akufilisi visent vyako then asepe?!

Achana nae mkuu. Tulia na wa sasa.
 
Huo ni utegemezi wa kihisia mkuu, ni ugonjwa mbaya hakuna hapa duniani na kama ukilazimisha kumuoa atakuendesha kweli kwa sababu anajua wewe ni dhaifu kwake yaani umemfia na hapo ndipo watu husema umelishwa LIMBWATA.
Ndio maana tunajitahidi kumuelewesha ndugu yetu hapa!

quote_icon.png
By Mr.Rocky
Mkuu hakujali uchovu wa safari na mambo mengine
Alitaka akuue aise
Umepigizwa kiuno barabarani na unafika home mama anakuambia aise nina hamu na wewe
Yaani unatamani sijue usemeje
na ukiwa na low perfomance ujieleze pia imekuwaje
Mkuu we acha na hivi wenzetu wanamawazo mabaya juu yetu, yaani usipompa ile kitu hakuelewi kabisa.
 
Ndio maana tunajitahidi kumuelewesha ndugu yetu hapa!

Mkuu we acha na hivi wenzetu wanamawazo mabaya juu yetu, yaani usipompa ile kitu hakuelewi kabisa.

hahahahaha
Mkuu wacha mambo mengine sio ya kusema
Kwa sisi wenye ndoa mambo mengine tunavumilia wala hatuyatoi nje
Unaweza shangaa mzee mzima umejitahidi weee then unakuja kuambiwa jana perfomance yako ilikuwa zero
 
Mkuu bado ni mchanga kwenye mapenzi
Na amekumbana na kisa cha kupendwa mara moja basi akaona kila kitu kiko sawa
Kumbe hakugundua kuna kuachwa na kuacha
na ukiachwa life goes on kama kawaida
Alafu jamaa yetu alingizwa choo cha kike na Leah! unaweza kuta alikuwa anamegwa nje akija kwa jamaa anaambulia maromance ya kufa mtu, alivyonogewa akajua mchizi ataishtukia labda alimtangazia mie bikra! kumbe hamna kitu.
Labda Freeland atusaidie kama dada alimwambia bikra?
 
Mkuu, hivi ukimkosa Leah, dunia itasimama? Shika ulichonacho sasa. Suppose huyu uliyenaye anayeonyesha kukupenda kwa dhati, ataamua kukupiga chini kwa ajili ya kutomjali! Nadhani utaokota makopo mkuu. Achana na Leah, songa mbele kamanda.
 
hahahahaha
Mkuu wacha mambo mengine sio ya kusema
Kwa sisi wenye ndoa mambo mengine tunavumilia wala hatuyatoi nje
Unaweza shangaa mzee mzima umejitahidi weee then unakuja kuambiwa jana perfomance yako ilikuwa zero

Teeh teeeeeh teeeeeh! ndio hivyo mkuu alafu sababu kibao! mara unajua tumbo! nina mchango mara nini............
 
Alafu jamaa yetu alingizwa choo cha kike na Leah! unaweza kuta alikuwa anamegwa nje akija kwa jamaa anaambulia maromance ya kufa mtu, alivyonogewa akajua mchizi ataishtukia labda alimtangazia mie bikra! kumbe hamna kitu.
Labda Freeland atusaidie kama dada alimwambia bikra?

Inawezekana alikuw aanapigwa changa la macho muda wote anapewa tuu romance
Mwanaume anajipinda kutoa matumizi na ahadi kuwa tutafanya siku tukioana
kumbe hakuna kitu kashatwaliwa na mwingine
 
Teeh teeeeeh teeeeeh! ndio hivyo mkuu alafu sababu kibao! mara unajua tumbo! nina mchango mara nini............

hukosi utetezi aise
mara jana nilikuwa na stresskuna jamaa aliniudhi
Mara sikuwa vizuri nina deni nadaiwa
kumbe mkuu mambo si mambo
 
hahahahaha
Mkuu wacha mambo mengine sio ya kusema
Kwa sisi wenye ndoa mambo mengine tunavumilia wala hatuyatoi nje
Unaweza shangaa mzee mzima umejitahidi weee then unakuja kuambiwa jana perfomance yako ilikuwa zero

Bora Zero, unaweza kuambulia 'negative'!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom