Niko njia panda nahitaji msaada wa haraka sana

dah,labda alikujaribu,sitaki kuamamini jamaa ni mjinga kiasi hicho!muendelee tu,toa simu katika flight mode na iweke kwenye daladala mode

hahaaa haaaa nilishaitoa mkuu naendelea na mambo yangu, from today i trust none
 
lola
Endelea nae tu,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
kama kashaachana na huyo Rachel, what is the problem then? Granted he was and has been up to no good but rarely you will find men with such honesty! My advise is jimwage nae ila usiache kumpa joto ya jiwe so he can learn that you are not his to use and dump when he pleases to!!!

...but please be extra careful...ukishaumwa na nyoka ukiona unyoya.....Kila la heri.

huyo akufahi kabisa mpendwa tena mkimbie haraka sana hana msimamo ni adui wako kwenye mapenzi tena muogpe, ni si kweli uenda alifan nya naye mapenzi tena bila condom
 
sasa kidume kimefunguka na kukueleza ukweli
na kimeomba msamaha....na wewe unauliza ufanyaje?

ukimsamehe si ndo poa?

mnatufanya tushindwe 'kukiri' na kuomba msamaha
kwa sababu mnatumia 'kukiri na kuomba msamaha' kama silaha ya kutuadhibu...

wanaume wengi wakisoma hii post watasema huyo jamaa yako
'alikosea mno' kukueleza ukweli
angejirudisha kimya kimya bila wewe kujua kilichotokea....
Safi sana Boss!Lola,msikilize Boss alichosema,mtu akiamua kuwa honest,heshimu hilo!Belivdat
 
lola
Endelea nae tu,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kama kashaachana na huyo Rachel, what is the problem then? Granted he was and has been up to no good but rarely you will find men with such honesty! My advise is jimwage nae ila usiache kumpa joto ya jiwe so he can learn that you are not his to use and dump when he pleases to!!!
Nemo Nemo Nemo............How did you calculate his honesty?? You do not even know the guy.
 
Kama alivyosema Senetor huyo jamaa ni zuzu BIG TIME. Hakukuwa na haja ya kuleta hizo hadithi zote unless of coz the guy has something different in mind. Na kuna uwezekano huyo jamaa ana lake jambo, men generally do not do that hata TB anafahamu hivyo lol.
 
husinyo hata kama nitamuuliza na akanieleza itanisaidia nini si nitaendelea kuumia tu?

itakusaidia kujua wapi ulikosea hadi mwenzio akateleza kwa rachel ili ujirekebishe na nini cha ziada alichonacho rachel ili ujifunze. Kama atakupa sababu ambazo zinatokana na makosa yanayorekebishika msamehe na muendeleze mambo.
 
sasa kidume kimefunguka na kukueleza ukweli
na kimeomba msamaha....na wewe unauliza ufanyaje?

ukimsamehe si ndo poa?

mnatufanya tushindwe 'kukiri' na kuomba msamaha
kwa sababu mnatumia 'kukiri na kuomba msamaha' kama silaha ya kutuadhibu...

wanaume wengi wakisoma hii post watasema huyo jamaa yako
'alikosea mno' kukueleza ukweli
angejirudisha kimya kimya bila wewe kujua kilichotokea....

u are right in the right way........, ndivyo wanaume tulivyo...!
 
huyo akufahi kabisa mpendwa tena mkimbie haraka sana hana msimamo ni adui wako kwenye mapenzi tena muogpe, ni si kweli uenda alifan nya naye mapenzi tena bila condom

Ama kweli mapenz yana run Dunia........!
 
Huyo jamaa nae ni zuzu,kwa nin asingerudi kimya kimya tu?

Au akasema ukweli nusu! Ukweli mwingine sio tu unauma bali unassbabisha trust kutoweka kbs. Kumsamehe anaweza lkn ikitokea tena lazima atarefer that incident!

Nakubaliana nawe angerudi kimya kimya!
 
itakusaidia kujua wapi ulikosea hadi mwenzio akateleza kwa rachel ili ujirekebishe na nini cha ziada alichonacho rachel ili ujifunze. Kama atakupa sababu ambazo zinatokana na makosa yanayorekebishika msamehe na muendeleze mambo.

Hussy ni lini mtaacha kuwalaumu/kujilaumu kwa cheating za wanaume? Men cheat because they want to. Full stop! Adam alijitetea kwa Mungu kuwa Eva ndiye kampa tunda; kwanini hakujataa? Kwani alimlisha kwa nguvu?

That man is the jackass! End of story!
 
ni lini wanawake tutaukubali ukweli kuwa wanaume zetu huwa wanatucheat?
Ni lini tutaanza kutafuta solution mbadala ukiacha kuachana? Wanaume karibia wote wanacheat. Binafsi siamini kama kuna mwanaume wa peke yako. Kama hujamkamata mwanaume wako ujue yupo makini au na yeye ni mmoja kati ya wachache sana wasiocheat.
 
Leo nimempigia simu kumwambia sina pesa nahitaji kama laki tatu, haraka haraka kanitumia, amenipigia simu nyingi sana na ameniandikia sms akinitaka niende arusha kumtembelea amenisihi sana lakini nikamwambia "nilikuja hukunichangamkia wala hukionesha kunijali kweli sijisikii kuja"amenisihi sana lakini nikamwambia kwa sasa sina muda kuna mambo yamebana sana labda Holiday za Xmass na mwaka mpya.

Hiyo kilo 3 mbona mchizi hajaiongelea kabisa, baadala yake anakuita????

Ninakushauri hivi, take your time, usiamue kwa pupa, mwambie akupe muda na utamjibu, stay a week or two then usikilize moyo wako. coz jamaa anaweza kuwa yuko desperate kule amepigwa chini au amemfumania Rachel so anaamua ku buy time na wewe tu, Ukicheza utaumia tena
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom