Niko njia panda jamani! Nisaidieni

Mwana JF

Member
Jul 27, 2012
26
1
Mambo wana JF?
Mi nna mpenzi wng ambae kwakeli nilimpenda sana. Ila tatizo la uyo demu ni kwamba ye ni mtu wa dini sana kiasi cha kwamba nkimwambia tusex anakataa anasema 2subiri mpk ndoa.
Sasa cha ajabu uyo demu ht nkimwambia anikiss anadai hajazoea na hawezi kufny ivyo ila hajui kwanini.
Sasa juzi nlikaa sehem na mshkaji wng wa kiume mara yule demu akatokea na cha kwanza alichofny ni kumkiss mshkaji wng coz wanajuana then mi akanpa salamu ya kawaida 2.
Kiukwel iliniuma sana yani mm mwny demu cjawai kupigwa kiss coz anasm hajazoea then anafny k2 hiko kwa mtu mwngne mbele ya macho yng.
Mi nlichoamua ni kuvunja uhusiano naye ila bado cjamwambia.
Je waungwana huo naotaka kuchukua ni uamuzi sahihi? Nshaurini jamani coz nipo njia panda cjui ht nfanyeje.
 
Huyo rafiki yako alipewa denda au kiss gani hasahasa?
 
kiss tu la shavuni but mimi hajawai kunfanyia ivyo hata siku moja.
Naomba nikuulize, kama angemkisi kaka yako ukiwa naye bado ungeona wivu?

Hivi unajua kuna busu la kawaida na busu la kimapenzi? Unajua yako na tofauti kubwa?
 
Yan hapo huyo mwanamke anaweza akawa ana kupenda kwa dhati tu na anacho fanya ni wazi ana jaribu kukupima tu!

Hebu jaribu kuwa mvumilivu wala usioneshe tamaa ya kupata kiss au penzi minana uhakika atakupa mwenyewe na hapo anachofanya ni kujaribu kupima upendo wako kwake!

Angekuwa ana nia mbaya wala asingefanya mbele yako wala yeye si mjinga kiasi hicho!

Jaribu kuonesha unamuelewa na kiss hilo atakupa mwenyewe bila kulazimisha!
 
Mambo wana JF?
Mi nna mpenzi wng ambae kwakeli nilimpenda sana. Ila tatizo la uyo demu ni kwamba ye ni mtu wa dini sana kiasi cha kwamba nkimwambia tusex anakataa anasema 2subiri mpk ndoa.
Sasa cha ajabu uyo demu ht nkimwambia anikiss anadai hajazoea na hawezi kufny ivyo ila hajui kwanini.
Sasa juzi nlikaa sehem na mshkaji wng wa kiume mara yule demu akatokea na cha kwanza alichofny ni kumkiss mshkaji wng coz wanajuana then mi akanpa salamu ya kawaida 2.
Kiukwel iliniuma sana yani mm mwny demu cjawai kupigwa kiss coz anasm hajazoea then anafny k2 hiko kwa mtu mwngne mbele ya macho yng.
Mi nlichoamua ni kuvunja uhusiano naye ila bado cjamwambia.
Je waungwana huo naotaka kuchukua ni uamuzi sahihi? Nshaurini jamani coz nipo njia panda cjui ht nfanyeje.
e bwana apo full utata kwanza kabaisa yako mambo mbili unaweza fikiria, kwamba anakutega,,
au anamaanisha. kama anamaanisha anakupenda na anataka mpaka muoane kama yalivo maadili ya mafundisho ya kanisa lao
pili kama anakutega ndo ivo tena, anataka aone msimamo wako, hw far can ya go when she want you to
jingine ni kama alivosema kiumbe apo juu busu la mpenzi ni tofauti na la rafiki au mwanafamilia yeyote, hivo kumhug na kumbusu wa pembeni
ni rahisi ila mpenzi ina sensational nyingi stand to be corrected,
take ya time angalia upepo unaelekea wapi
 
Kaka ishawahi kunitokea incident kama hiyo.. Dawa yake ndogo sana.. Tafuta kidumu cha kuegemea for the mean tym.. Huku ukiendelea kumsoma.. Smtyms women r very complex creatures.. Unaweza kusema anakupenda kumbe kuna njema anakula mambo afu ww unashika mapembe AU anakupenda kiukweli na anaofia akikupa utasepa fasta na hataki akupoteze

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mwana hakuna kitu kama hiyo, wewe hajawahi kukukis halafu friend eti anampa friend kiss, huo upuuzi hasa kwa kizazi cha leo usimwamini mtu, anatikisa kiberiti, sasa usimpte attention kubwa jifanye uko bize na mishemishe zako salam mpe tu kisha mu ignore wala usimjali wala kuongelea mapenzi, atakaa kwenye mstari tu. nani wa kusubiri ndoa karne hii wizi mtupu.
 
mfuate mwambie live ulichofanya na ulivyojisikia......
reaction yake itakupa jibu kamili..........
 
Hajazoea kwaku tu huyo kwa wengine kashazoea...wake up

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Mh..haya mapenzi haya!!!
I dream of a world where there will b true love n open honest...if it never comes i am never getting married.
Back to topic: unamjua vyema demu wako she could b serious na anakupenda. She could b playing u..bt as I said..u know her better..better than we know her..better than babu Asprin knows her...hahahah stuka!
 
Last edited by a moderator:
Haya Ujinga Kama alimkiss mbele yako shida mini? Uhusiano wenu waweza mbali akikukiss Wewe kuliko huyo Anajua ataloose control, Wivu mwingine Wa kifala balaa

Mambo wana JF?
Mi nna mpenzi wng ambae kwakeli nilimpenda sana. Ila tatizo la uyo demu ni kwamba ye ni mtu wa dini sana kiasi cha kwamba nkimwambia tusex anakataa anasema 2subiri mpk ndoa.
Sasa cha ajabu uyo demu ht nkimwambia anikiss anadai hajazoea na hawezi kufny ivyo ila hajui kwanini.
Sasa juzi nlikaa sehem na mshkaji wng wa kiume mara yule demu akatokea na cha kwanza alichofny ni kumkiss mshkaji wng coz wanajuana then mi akanpa salamu ya kawaida 2.
Kiukwel iliniuma sana yani mm mwny demu cjawai kupigwa kiss coz anasm hajazoea then anafny k2 hiko kwa mtu mwngne mbele ya macho yng.
Mi nlichoamua ni kuvunja uhusiano naye ila bado cjamwambia.
Je waungwana huo naotaka kuchukua ni uamuzi sahihi? Nshaurini jamani coz nipo njia panda cjui ht nfanyeje.
 
"Kwenye mapenzi ya kweli watu hufanya yasiyotegemewa" sembuse kujifunza kukukiss?huyo msanii tu?ila hiyo hali ya kumuacha bila kumwambia ni utoto unaoambatana na kutojiamini,kwa nini usimwambie unadhamiria kufanya nini na kwa sababu gani?kama she is serious into you,she will give you even the lame excuse to try to hold you back!
 
Kilichoniudhi ni uandishi wako wa kitoto...Mpaka kiwango cha kuwa na demu maana yake wewe mkubwa bwana ebo!
 
Back
Top Bottom