Nisaidieni mawazo, niko mpweke sana

Pole sana! sometime maisha yanaweza kwenda kinyume na matarajio yako, so dont wory keep on pray , utampata mfariji wako atakaye kuangalia kwa macho matatu, note that kazi ndio maisha acha utani na maisha
 
Pole Sweetbaby! Ni vema kujichanganya na kumbuka kujichanganya si mpaka uende Disco usiku mpaka asubuhi au Baa. Kuna Vikundi wa Kidini (Kwaya, Fellowship, timu za mpira) zote hizo ni namna nzuri ya kujichanganya. Unaishi mkoa gani? I wish tuwasiliane zaidi. Mimi Frank Temu E-mail:franktemu123@yahoo.co.uk Simu 0759 333178
Yaani mangi umeamua kujilipua kabisa kabisa? hii kali!
 
sweetie, umesema we ni mchagga?
wachagga hatuna tabia ya kujisifu.. kwamba mi mzuri, ninapanga nyumba nzima, nina gari, nk ivo hatusemagi. we ungesema 2 tatizo moja kwa moja
kabila gani wana tabia ya kujisifu?
 
jamani wana jamii wenzangu embu nisaidieni mawazo.mie ni bint wa miaka 34 very attractive,nafanya kazi nina elimu yangu na ni mkristu mzuri.tatizo ni kwamba ninaishi mbali na watu wa familia yangu,na mie sio mtu wa kujichanganya sana,baada ya kuwa na uhusiano na vijana wawili na kukuta ni matapeli nimeamua sitaki tena uhusiano na mwanaume labda awe mchaga mwenzangu ni hi kwa sababu wale matapeli walikuwa wenyeji wa huku ninakoishi.tatizo kubwa sasa hivi nimekuwa mpweke sana yani ninataka kuwa mwenyewe muda wote nimepanga nyumba nzima sikai hata na house girl,siendi kwa mtu wala sikaribishi tena mtu kwangu nikitoka kazini sa nane sitoki ndani hadi kesho yake,hata rafiki akiniita out natoa excuse ya uongo wkend natoka kuosha gari na kusali tu,at list jamii forum is my near friend and Jesus whom i talk to everytime..je hi hali ni ya kawaida.?nifanye nini?
mh! Hata ushauri sikupi due to your ubaguzi
 
yani ninataka kuwa mwenyewe muda wote
Since unataka mwenyewe kuwa peke yako, swali linakuja.....
Are You Happy kwa kuwa mwenyewe sababu kama unafurahia kuwa peke yako then that is the way to go...,
Lakini kama unaona kuna kitu kinamiss na unahitaji mtu/watu..., basi solution unayo pokea hizo simu watu wakikuita na fanya hima tafuta mchagga wako.
 
Pole sana kwa hali hiyo
Jilazimishe kujichanganya na watu tu dada ndo suluhisho la tatizo lako
Kanisani au kazini kwako ndipo pakufaapo kwa hatua za awali.
Kama hutaki kusikiliza stori zihusuzo mambo ya mapenzi bado unaweza kuziepuka tu.
Si unajua mazungumzo mabaya huharibu tabia
Tena unaambiwa usikae barazani pa wenye mizaha?
Kwa kuwa ulianguka na ukatubu, nadhani kinachokusumbua ni kuwa huna hakika kuwa umesamehewa na hivyo bado unahubiriwa hivyo na umeyakubali mahubiri hayo. We mwambie shetani kuwa ameshindwa na Bwana nafasi ya kwanza maishani mwako, kisha wengine and then ufuate wewe. Si unajua huwezi kumpendeza Mungu usiyemuona kama wawachukia binadamu uwaonao?
Naishia hapa kwa leo
 
Tatizo wadada mnaendekeza pesa Sana. Yaan jtu akikukugusa tu lazima umpige mahela Kama yote
 
Jamani wanajamii wenzangu,

Embu nisaidieni mawazo.

Mimi ni binti wa miaka 34 very attractive, nafanya kazi nina elimu yangu na ni mkristu mzuri. Tatizo ni kwamba ninaishi mbali na watu wa familia yangu na mimi sio mtu wa kujichanganya sana, baada ya kuwa na uhusiano na vijana wawili na kukuta ni matapeli nimeamua sitaki tena uhusiano na mwanaume labda awe mchaga mwenzangu ni hi kwa sababu wale matapeli walikuwa wenyeji wa huku ninakoishi.

Tatizo kubwa sasa hivi nimekuwa mpweke sana yani ninataka kuwa mwenyewe muda wote nimepanga nyumba nzima sikai hata na house girl, siendi kwa mtu wala sikaribishi tena mtu kwangu nikitoka kazini sa nane sitoki ndani hadi kesho yake, hata rafiki akiniita out natoa excuse ya uongo, weekend natoka kuosha gari na kusali tu,bat list JamiiForums is my near friend and Jesus whom i talk to everytime.

Je, hii hali ni ya kawaida, nifanye nini?
Kawaida kabisa kwa mtu mwenye IQ kubwa. Usiishi maisha ambayo sio yako eti ili uonekane we mjanja. Utaishia kuwa mnafiki tu.

Una Yesu na una jipenda marafiki wengine wa kazi gani?

Ila unapaswa kuchagua moja kati ya dunia na Yesu. Ukiwa vuguvugu unaendelea kujiona mpweke. Chukua hatua madam
 
Back
Top Bottom