Nisaidieni mawazo, niko mpweke sana

jamani wana jamii wenzangu embu nisaidieni mawazo.mie ni bint wa miaka 34 very attractive,nafanya kazi nina elimu yangu na ni mkristu mzuri.tatizo ni kwamba ninaishi mbali na watu wa familia yangu,na mie sio mtu wa kujichanganya sana,baada ya kuwa na uhusiano na vijana wawili na kukuta ni matapeli nimeamua sitaki tena uhusiano na mwanaume labda awe mchaga mwenzangu ni hi kwa sababu wale matapeli walikuwa wenyeji wa huku ninakoishi.tatizo kubwa sasa hivi nimekuwa mpweke sana yani ninataka kuwa mwenyewe muda wote nimepanga nyumba nzima sikai hata na house girl,siendi kwa mtu wala sikaribishi tena mtu kwangu nikitoka kazini sa nane sitoki ndani hadi kesho yake,hata rafiki akiniita out natoa excuse ya uongo wkend natoka kuosha gari na kusali tu,at list jamii forum is my near friend and Jesus whom i talk to everytime..je hi hali ni ya kawaida.?nifanye nini?

I know what is going' on over your mind.. Nilishawahi kuwa kwenye same state..kama hiyo..kuna vitu vingi vinachangia kikubwa ni background life ..toka utotoni ..shule hadi sasa.. Nakumbuka wakati niko mdogo nilikuwa napenda kujificha chini ya meza na hasa wakija wageni..wakati niko sekondari nilikuwa nakimbilia chumbani...yaani kwa mtoto wa kiume ni kituko....wakati niko chuo nilikuwa napenda ku-enjoy kuoberve wenzangu wakiwa active nami kuingilia tu pale tu inapobidi ..baada ya kuwachora sana....baadaye masomo....kazi..blah blah..Anyway..sometime you feel like having two souls inside yourself..the one enjoying to see things over the top..but reluctant to take actions..but other very active and would like to go out and open itself with the external factors..Then, what happens...friends, folks in the office, relatives.. will never understand who you are..Outside..yes..big smile, reserved, intelligent etc.. Inside..two forces confronting each other..What I would like to advise you is to go back and listen to your confronting souls.. It is not a matter of faith..society or whatsoever..It is a matter of human instinct ..it is a normal feeling..you need to compromise yourself with your confronting souls.. No one here will help you..it is yourself..when you break your chain..please come back tell us you have managed to reunite two souls together.. You may not notice changes and it could take some time.. But you will notice peace in your mind .....Good luck ya!:smiling:
 
I know what is going' on over your mind.. Nilishawahi kuwa kwenye same state..kama hiyo..kuna vitu vingi vinachangia kikubwa ni background life ..toka utotoni ..shule hadi sasa.. Nakumbuka wakati niko mdogo nilikuwa napenda kujificha chini ya meza na hasa wakija wageni..wakati niko sekondari nilikuwa nakimbilia chumbani...yaani kwa mtoto wa kiume ni kituko....wakati niko chuo nilikuwa napenda ku-enjoy kuoberve wenzangu wakiwa active nami kuingilia tu pale tu inapobidi ..baada ya kuwachora sana....baadaye masomo....kazi..blah blah..Anyway..sometime you feel like having two souls inside yourself..the one enjoying to see things over the top..but reluctant to take actions..but other very active and would like to go out and open itself with the external factors..Then, what happens...friends, folks in the office, relatives.. will never understand who your are..Outside..yes..big smile, reserved, intelligent etc.. Inside..two forces confronting each other..What I would like to advise you is to go back and listen to your confronting souls.. It is not a matter of faith..society or whatsoever..It is a matter of human instinct ..it is a normal feel..you need to compromise yourself with your confronting souls.. No one here will help you..it is yourself..when you break your chain..please come back tell us you have managed to reunite two souls together.. You may not not notice and it could take some time.. But you will notice peace in your mind .....Good luck ya!:smiling:

Ushauri mzuri, as for me naomba uniPM niweze kukueleza vizuri. Usikate tamaa na baadhi ya criticisms zilizotolewa.Ikiwezekana nitakueleza kwa lugha yetu kama unaifahamu. Pole sana..
 
jamani wana jamii wenzangu embu nisaidieni mawazo.mie ni bint wa miaka 34 very attractive,nafanya kazi nina elimu yangu na ni mkristu mzuri.tatizo ni kwamba ninaishi mbali na watu wa familia yangu,na mie sio mtu wa kujichanganya sana,baada ya kuwa na uhusiano na vijana wawili na kukuta ni matapeli nimeamua sitaki tena uhusiano na mwanaume labda awe mchaga mwenzangu ni hi kwa sababu wale matapeli walikuwa wenyeji wa huku ninakoishi.tatizo kubwa sasa hivi nimekuwa mpweke sana yani ninataka kuwa mwenyewe muda wote nimepanga nyumba nzima sikai hata na house girl,siendi kwa mtu wala sikaribishi tena mtu kwangu nikitoka kazini sa nane sitoki ndani hadi kesho yake,hata rafiki akiniita out natoa excuse ya uongo wkend natoka kuosha gari na kusali tu,at list jamii forum is my near friend and Jesus whom i talk to everytime..je hi hali ni ya kawaida.?nifanye nini?

Haiwezi kuwa tatizo iwapo umeamua mwenyewe iwe hivyo.

Tayari ushabainisha Unautumia muda mwingi JamiiForums,
na kuongea na Yesu! Ni mabadiliko ya maisha kulingana na umri
na yale unayoyapa umuhimu maishani.

'Mateja' (addicts) wengi wa JamiiForums hasa wale waliopo mbali na familia
iwe ni ughaibuni au mikoani, hutumia muda mwingi ndani (indoors) kama wewe.
Na hivi kuna JF Mobile ndio kabisaaa,...hata 'wakitoka' nje kufunga hewa, akili yote
kwa 'Imaginary friends!'
 
I know what is going' on over your mind.. Nilishawahi kuwa kwenye same state..kama hiyo..kuna vitu vingi vinachangia kikubwa ni background life ..toka utotoni ..shule hadi sasa.. Nakumbuka wakati niko mdogo nilikuwa napenda kujificha chini ya meza na hasa wakija wageni..wakati niko sekondari nilikuwa nakimbilia chumbani...yaani kwa mtoto wa kiume ni kituko....wakati niko chuo nilikuwa napenda ku-enjoy kuoberve wenzangu wakiwa active nami kuingilia tu pale tu inapobidi ..baada ya kuwachora sana....baadaye masomo....kazi..blah blah..Anyway..sometime you feel like having two souls inside yourself..the one enjoying to see things over the top..but reluctant to take actions..but other very active and would like to go out and open itself with the external factors..Then, what happens...friends, folks in the office, relatives.. will never understand who you are..Outside..yes..big smile, reserved, intelligent etc.. Inside..two forces confronting each other..What I would like to advise you is to go back and listen to your confronting souls.. It is not a matter of faith..society or whatsoever..It is a matter of human instinct ..it is a normal feeling..you need to compromise yourself with your confronting souls.. No one here will help you..it is yourself..when you break your chain..please come back tell us you have managed to reunite two souls together.. You may not notice changes and it could take some time.. But you will notice peace in your mind .....Good luck ya!:smiling:

Duuh, mshikaji nimeipenda hii philosophical view point! ushauri mzuri.
 
Haiwezi kuwa tatizo iwapo umeamua mwenyewe iwe hivyo.

Tayari ushabainisha Unautumia muda mwingi JamiiForums,
na kuongea na Yesu! Ni mabadiliko ya maisha kulingana na umri
na yale unayoyapa umuhimu maishani.

'Mateja' (addicts) wengi wa JamiiForums hasa wale waliopo mbali na familia
iwe ni ughaibuni au mikoani, hutumia muda mwingi ndani (indoors) kama wewe.
Na hivi kuna JF Mobile ndio kabisaaa,...hata 'wakitoka' nje kufunga hewa, akili yote
kwa 'Imaginary friends!'
Hivi hii inawezekana ee nahisi naanza kuwa addictive kidogokidogo, kwanza nilikuwa naingia week end tu, sasa hivi natafita hata free time nikiwa ofisini
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
I know what is going' on over your mind.. Nilishawahi kuwa kwenye same state..kama hiyo..kuna vitu vingi vinachangia kikubwa ni background life ..toka utotoni ..shule hadi sasa.. Nakumbuka wakati niko mdogo nilikuwa napenda kujificha chini ya meza na hasa wakija wageni..wakati niko sekondari nilikuwa nakimbilia chumbani...yaani kwa mtoto wa kiume ni kituko....wakati niko chuo nilikuwa napenda ku-enjoy kuoberve wenzangu wakiwa active nami kuingilia tu pale tu inapobidi ..baada ya kuwachora sana....baadaye masomo....kazi..blah blah..Anyway..sometime you feel like having two souls inside yourself..the one enjoying to see things over the top..but reluctant to take actions..but other very active and would like to go out and open itself with the external factors..Then, what happens...friends, folks in the office, relatives.. will never understand who you are..Outside..yes..big smile, reserved, intelligent etc.. Inside..two forces confronting each other..What I would like to advise you is to go back and listen to your confronting souls.. It is not a matter of faith..society or whatsoever..It is a matter of human instinct ..it is a normal feeling..you need to compromise yourself with your confronting souls.. No one here will help you..it is yourself..when you break your chain..please come back tell us you have managed to reunite two souls together.. You may not notice changes and it could take some time.. But you will notice peace in your mind .....Good luck ya!:smiling:
Zumbukuku yaani umeelezea vizuri sana , anatakiwa ajivue gamba ili aanze kujichanganya na wenzake
 
you need love but you don't need one to lov you (except mchaga), You MUST BE KICHAA!,

kwanza unaonekana una roho mbaya na unajiona mzuri zaidi ya wengine ndio maana huna rafiki hata mwanamke mwenzio!, urafiki wa ukweli huwa unakuja wenyewe hautafutwi kwa nguvu kubwa sana!

Jiulize umewahi kumchekea mtu usiemjua lini kwa mara ya mwisho? Hata ukiolewa bila kuwapenda watu upweke upo pale pale na utaachwa tu! Kipimo cha kujua kama una upendo angalia kama watoto wanakupenda au la!, sio tu hapo ulipo, bali angalia hata sehemu mbali mbali ulizopita!

Mwanamke kama si mkarimu, mchangamfu, mcheshi, mpole na mwenye upendo, hata kama unasali usiku na mchana uhusiano wako na watu/Mungu hautakua mzuri kamwe!

Kumbuka kupendana ni amri ya MUNGU, Kuolewa ni mpango wa MUNGU na kuzaa ni agizo la MUNGU!,

kwa tathmini yangu hapo juu, nakuhakikishia wewe sio Mkiristo mzuri wala sio binti attractive kama unavyodhani!, matatizo yako ndani yako mwenyewe, jirekebishe haraka kabla hujapata matatizo makubwa zaidi

Kuchana na upumbavu ulionao hatua ya kwanza uwe na upendo na watu wengine. Hasa anza na kuongeza members kwenye nyumba yako!, chukua hata mtoto yatima au mtoto wa ndugu yako akae kwako, kama mazingira ya nchi/sehemu uliyopo hayaruhusu, basi kapange nyumba zenye watu wengine wengi uishi nao kijamii/kijamaa (sio kibepari kama unavyoishi sasa)

Upweke unaua mamaa!
 
jamani wana jamii wenzangu embu nisaidieni mawazo.mie ni bint wa miaka 34 very attractive,nafanya kazi nina elimu yangu na ni mkristu mzuri.tatizo ni kwamba ninaishi mbali na watu wa familia yangu,na mie sio mtu wa kujichanganya sana,baada ya kuwa na uhusiano na vijana wawili na kukuta ni matapeli nimeamua sitaki tena uhusiano na mwanaume labda awe mchaga mwenzangu ni hi kwa sababu wale matapeli walikuwa wenyeji wa huku ninakoishi.tatizo kubwa sasa hivi nimekuwa mpweke sana yani ninataka kuwa mwenyewe muda wote nimepanga nyumba nzima sikai hata na house girl,siendi kwa mtu wala sikaribishi tena mtu kwangu nikitoka kazini sa nane sitoki ndani hadi kesho yake,hata rafiki akiniita out natoa excuse ya uongo wkend natoka kuosha gari na kusali tu,at list jamii forum is my near friend and Jesus whom i talk to everytime..je hi hali ni ya kawaida.?nifanye nini?

Mbona mkali dada? Acha Urasist wewe wa kikabila...sema nyie wasichana wengine mnakimbilia wale wanajiita handsome matokeo yake ndo hayo...hit and run hao...
 
Sweetbaby kitu cha kwanza ni vizuri umeona tatizo sasa inabidi ulitatue na kujichanganya na watu hakutasaidia kabla hujaongea na mtaalam,na sio lazima utapewa dawa ataongea na wewe kuhusu toka ulipo kuwa mdogo,familia yako,mahusiano,kazi na kadhalika nakuhakikishia baada ya ushauri wake utajisikia vizuri.Hizi ni dalili za depression na usipopata msaada tatizo litakuwa kubwa mpaka utataka kuacha kazi na kujifungia ndani jumla kama unavyowaza kurudi nyumbani kwa wazazi.Kama umependa sana dini unaweza kuamua maisha yako yote utumikie dini na watu wenye matatizo hili pia litakupa utulivu,lakini kama una ndoto za kuolewa na kuishi na mume na baadae kupata watoto inabidi upata ushauri haraka.
 
you need love but you don't need one to lov you (except mchaga), You MUST BE KICHAA!,

kwanza unaonekana una roho mbaya na unajiona mzuri zaidi ya wengine ndio maana huna rafiki hata mwanamke mwenzio!, urafiki wa ukweli huwa unakuja wenyewe hautafutwi kwa nguvu kubwa sana!

Jiulize umewahi kumchekea mtu usiemjua lini kwa mara ya mwisho? Hata ukiolewa bila kuwapenda watu upweke upo pale pale na utaachwa tu! Kipimo cha kujua kama una upendo angalia kama watoto wanakupenda au la!, sio tu hapo ulipo, bali angalia hata sehemu mbali mbali ulizopita!

Mwanamke kama si mkarimu, mchangamfu, mcheshi, mpole na mwenye upendo, hata kama unasali usiku na mchana uhusiano wako na watu/Mungu hautakua mzuri kamwe!

Kumbuka kupendana ni amri ya MUNGU, Kuolewa ni mpango wa MUNGU na kuzaa ni agizo la MUNGU!,

kwa tathmini yangu hapo juu, nakuhakikishia wewe sio Mkiristo mzuri wala sio binti attractive kama unavyodhani!, matatizo yako ndani yako mwenyewe, jirekebishe haraka kabla hujapata matatizo makubwa zaidi

Kuchana na upumbavu ulionao hatua ya kwanza uwe na upendo na watu wengine. Hasa anza na kuongeza members kwenye nyumba yako!, chukua hata mtoto yatima au mtoto wa ndugu yako akae kwako, kama mazingira ya nchi/sehemu uliyopo hayaruhusu, basi kapange nyumba zenye watu wengine wengi uishi nao kijamii/kijamaa (sio kibepari kama unavyoishi sasa)

Upweke unaua mamaa!
Du umeelezea kwa hasira ila nimependa sana uko muwazi umechana kisawasawa, gari na nyumba havileti furaha peke yake vina hitaji attached files ili mambo yawe muswano
 
Kweli huyu ana mambo ya ajabu. at 34, wewe ni screpa, sasa unajiitaje binti? aargh! the game is over, we anza tu kusali na kama hujawa mlokole anza sasa. Umenipata sasa eeh?
wewe ni binti miaka 34??acha utani!!wewe ni mwanamke acha mambo ya ajabuuu
 
Hivi wewe capital,binti wa miaka 34 ukimwita screpa, mama yako mzazi utamwita nani?Bibi yako je?The lady is already frustrated and you want to add more probs to her.If you dont have useful ideas y dont you keep quiet?Hatujadili wala kutoa hoja kuhusu neno BINTI hapa.Kama unafahamu vizuri kiswahili anzisha mada yako utuelimishe na sio kuongea pumba
 
thanks for all who shows a realy concern,cna pety my dear c unajua nyumba za kupanga

mmh! kweli ni tatizo jitahidi kujichangamya my dear kwani kwa kujifungia unaweza ishia kucommit suicide. Huwezi jua your mr. right utakutana naye wapi, so kutana na wato, give yourself an outing na Mwombe Mungu sana atakutimizia
 
hio ni depression,muone daktari atakupa medicine au atakurefer kwa suport groups pole sana.....:confused2:
 
sweetie, umesema we ni mchagga?
wachagga hatuna tabia ya kujisifu.. kwamba mi mzuri, ninapanga nyumba nzima, nina gari, nk ivo hatusemagi. we ungesema 2 tatizo moja kwa moja
 
Sweetbaby....una matatizo yoyote ya kisaikolojia?? Una sababu yoyote inayokufanya usijiamini?kwa nini unajipa upweke wa kujitakia?? Umekaa muda gani huko? yaani hata ofcn huna rafiki ambaye unaweza kumwalika kwako?? Umeshawahi kujiuliza kwa nini unaturn-off mialiko kutoka kwa friends??
 
Back
Top Bottom