Niko kigoma

waaaoooo pole na safari .. nashukuru Mungu umefika salama .. dagaa nakuja mwenyewe kuchukuwa kwani kwenye PM Mods wanaweza wakaniibia hivi hivi ... siwamini ... Ahsante sana

Nimeipenda hii,kama ni kweli mchukia fisadi kamletea da naima dagaa,inapaswa kuigwa.
 
Fungwe,kigoma ndio mkoa pekee wenye FUNZA machachari kuliko wengine duniani kote.Sasa kwa nini husahaulike????hahahahahaha (Watalii si wangekuja kushuhudia)
E bwanaaa!!ye muga!!!Kigoma ni mujini,ila darisalama ni kiboko yake.
Aisee.Ukitaka kumjua mwenyeji wa kigoma halisi mpambanishe kesi na mhaya.mhhhhh!!wewewewewewe kesi haiishi.hahahahahahaha
Majita weeeeeeeee siku hizi funza wako kila mahali hata huko majita wako bwana.
Si kweli kwamba watu wa kigoma woooote wana funza.
Nooooo
wengi miguu yao niliichuguza iko sawa. Ebu angalia hawa niliowapiga picha kasuru huko. Chunguza vizuri.
Kweli wana funza?

Taifa la Kesho.jpg

Taifa la kesho-1.jpg

Nadhani wanashida kama ya watoto wengine wa Kitanzania. Maji shida hivyo nguo ikinunuliwa hadi ichanike hairuhusiwi kugusa maji.:)
 
...khaaaaa?, kumbe ndivyo alivyofanya? halafu akautaka na uraisi wa nchi, si ndio angetumaliza kabisa? ...anyway, "mcheza kwao hutunzwa, na mwamba ngoma huvutia kwake!..."



View attachment 2482
Mchongoma na Fungwe. Kigoma inapendeza saaaaaana kwa picha yako lakini naomba niwaonyeshe na baadhi ya mitaa ya mji wa Kigoma. Picha hii ni ya mtaa mmoja wapo huko katika eneo linaloitwa Mwanga.
Mtaa Mwanga.jpg
Kweli mji unapendeza.
 
Back
Top Bottom