Niko katik mkutano wa kutoa maoni

Mr. Bigman

JF-Expert Member
May 7, 2011
2,560
1,299
Nahudhuria live sasa hivi. Najikuta nimezungukwa na sura za kimagamba tu huku kijijini sijui kama patatolewa maoni significant. Siwaoni wanaharakati hapa,wapi Jukwaa la siasa? Nafasi hii itatekwa nyara na magamba I'm sure maana wapo wengi eti
 
Back
Top Bottom